Shukrani kwa marafiki

Shukrani kwa marafiki

Niliona umepotea nikajua tu labda umebanwa na wanajeshi au umezuka sehemu sehemu kufuatilia mambo muhimu, nashukuru sana Mkuu. Mimi mwenyewe nilikuwa shocked lol! fikiria unataka kuingia huku unakuta umetundikiwa hicho kitanzi kwamba umepewa kibano lol!!! kisa "name calling"

you have been banned for the following reason:
We give ZERO Tolerance for Name Calling! Follow Forum Rules [Mohamed Mwaupete AKA Taswira AKA gaidi mwigulu] Date the ban will be lifted: 10th December 2013, 08:00


basi nikamwambia pacha wako na unamjua na upole wake akaniambia BAK umekosa omba samahani yaishe, sasa mie nikamwambia samahani siombi maana sioni kosa langu lol!!!! acha atake kuangusha mchozi hahahahahah akaanza kunitafsiria sheria za JF ili nilielewe kosa langu utadhani na yeye ni MOD lol!!!! mpaka nikamuonea huruma dah!!!! lakini namshukuru sana yeye na wote waliohusika katika kupunguza kibano changu.
Hahahahahahahaha umenichekesha pacha wangu hapendi kabisa makuu ndio maana alikua anajaribu kukupa review ya sheria na huenda ilibaki kidogo Fixed Point akuombee msamaha , chezea nguvu ya upendo wewe hata kama usingekua na kosa pacha angekwambia omba msamaha tu ili yaishe. Sio siri BAK wengi tulikumiss aisee, sijui inakuwaje unaposikia habari mbaya wala hupendi kuamini ,unajua sikutaka kuamini
 
Last edited by a moderator:
Mie niko hapa tangu 2007 banaaa nakumbuka nyingi ya purukushani zako lol!!!! lakini zimeshapita zile siku hizi umekuwa Mtakatifu Nyani Ngabu lol!!!! Kuna uzi ulianzishwa hapa kama sikosei mwaka juzi ukitaka wanachama wamchague mtu ambaye amebadilika sana kitabia (in a positive way) hapa jamvini na wengi walikuchagua wewe mimi pia nilikubaliana nao. Sijabadili jina langu banaaa tangu niingie hapa. Member wa kwanza kutumia jina la BAK alikuwa ni jirani yangu wa ukweeee WomanOfSubstance baada ya mimi kuanza kutumia WOS, member mwingine akaanzisha uzi hapa kuhusu wanachama wenye majina marefu na mimi nikawemo 🙂🙂 ndio nikaamua kufupisha jina langu na kutumia abbreviations only.

Wewe mbona umenikuta nishatulia. Unless labda ulikuwepo 2006, 2007, na 2008 kwa jina jingine.

Lakini kuanzia 2009 na kuendelea me no longer a badass. I have mellowed dramatically.
 
Last edited by a moderator:
BAK karibu sana mkuu. Dah kweli tulipambana kuwaomba mods wafupishe kifungo chako na ni furaha sana wamekubaliana na ombi letu. Karibu sana mkuu BAK
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
LoL!!!! Mie nina wasiwasi aliomba samahani mara nyingi tu kwa MODS 🙂🙂, ngoja aje hapa afunguke...Yaani pacha wako Mhhhhh!!! ni mpole kupita kiasi dah!!!!! Yeye ataomba samahani hata pale ambapo hastahili kuomba samahani au atakwambia ahaaaa acha tu nipotezee hiyo badala ya kuumiza kichwa changu bure....Kuna binadamu wengine Mungu kawajalia sana na huyu pacha wako ni mmoja wao. Mie niliwamiss wengi pia...unajua JF imeshakuwa kijiwe maarufu sana chenye burudani za kila aina na ni shule pia ya aina yake.

Hahahahahahahaha umenichekesha pacha wangu hapendi kabisa makuu ndio maana alikua anajaribu kukupa review ya sheria na huenda ilibaki kidogo Fixed Point akuombee msamaha , chezea nguvu ya upendo wewe hata kama usingekua na kosa pacha angekwambia omba msamaha tu ili yaishe. Sio siri BAK wengi tulikumiss aisee, sijui inakuwaje unaposikia habari mbaya wala hupendi kuamini ,unajua sikutaka kuamini
 
Ahsante sana Mkuu Rocky kwa jitihada zako/zenu.

BAK karibu sana mkuu. Dah kweli tulipambana kuwaomba mods wafupishe kifungo chako na ni furaha sana wamekubaliana na ombi letu. Karibu sana mkuu BAK
 
Last edited by a moderator:
Hahaha trainer my eye has been on the sparrow toka enzi za darhotwire ujue. Nimeshawahi hata kukusihi a few times uache kulumbana na mtu. You had a bad temper but it has faded in a beautiful way. Najua hata Mwali alichangia kukubadilisha lol. You should never buy a gun aisee..
Wewe mbona umenikuta nishatulia. Unless labda ulikuwepo 2006, 2007, na 2008 kwa jina jingine.

Lakini kuanzia 2009 na kuendelea me no longer a badass. I have mellowed dramatically.
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! hunitakii mema weye!!!! unataka nirudi lupango hata kabla masaa 24 hayajakatika, hata watu wa kukaa rufaa watachoka tena lol!!!! lakini ukiweza kupata jina lake nitonye kwa kupitia PM hahahahah :behindsofa:

Welcome back Bro. Nitajie jina la Moderator aliyekupiga ban. Nataka nimuongezee jikojoleo cha jinsi nyingine
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! hunitakii mema weye!!!! unataka nirudi lupango hata kabla masaa 24 hayajakatika, hata watu wa kukaa rufaa watachoka tena lol!!!! lakini ukiweza kupata jina lake nitonye kwa kupitia PM hahahahah :behindsofa:
Hahahahahaha hataweza kukurejesha lupango kwa sababu atakuwa amechanganyikiwa kwa sababu tayari atakuwa na vikojoleo viwili. Ataomba kujiuzulu umoderator. We ntajie tu jina lake.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahahaha lol!!!! :noidea::noidea::noidea:

Hahahahahaha hataweza kukurejesha lupango kwa sababu atakuwa amechanganyikiwa kwa sababu tayari atakuwa na vikojoleo viwili. Ataomba kujiuzulu umoderator. We ntajie tu jina lake.
 
Pole sana BAK
Lakini jua wazi kuvunjika kwa mwiko
sio mwisho wa kusonga Ugali kamwe!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole sana na karib tena!
...
Sasa mbona umerudia kosa?????????
Hihihihihiiiii!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole sana mkuu...tema tumchape!
Karibu uraini..u were missed!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
.....badala ya kuchezea wiki nne lupango nimekaa lupango wiki moja tu hivyo kufupishwa kwa kifungo changu kwa wiki tatu..........
Ngoja namimi nivunje taratibu za JF kumbe adhabu inaweza kupunguzwa???? na hii nitaitumia kama reference kwa kesi yangu.

Ila wasi wasi wangu ni je kuna mtu atafungua thread kuomba nitolewe lupango?

Nakala: Invisible
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom