Shukrani kwa marafiki

Shukrani kwa marafiki

BAK karibu sana mkuu! Karibu sana...

I guess nimebaki mimi tu kupewa ban...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Karibu sana BAK!!! Aise Ban inauma sana!!! Kuna siku nilipata ya masaa, offcourse illuwa ya kama wiki mbili ila nikalialia kwa kuwa mtu mwenyewe niliyegongana naye magari ni wakati ule wa kifo cha Daudi Mwangosi!!! Unakumbuka watu Fulani na ID zao hapa walikuwa wanafurahia kile kifo, kwa hiyo nilikoroma na keyboard yangu sana hadi mapovu. Mwishowe nikarusha kombora!!! Aise, nikala gereza la muda.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
BAK welcome again buddy i was so shocked to receive your being banned news coz i couldn't think of any reson on earth to make a silent and a wise person like you receiving a ban,but all in all am happy to see you back you are welcome.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
BAK, na wewe ulifungiwa jamani, pole but karibu tena
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
huyo mtu hadi mimi nilishapata ban yake kwa name calling na lile ambalo siku hizi halionekani kuna Avatar ya toto lina kichwa kikubwa na cheusi......!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
pole sana mkuu , kule maeneo ya pasua kichwa wale jamaa wa upande mwingine kazi yao ni kuprovock wengine ili uteleze halafu wakuripoti abuse kwa mamods,,,,,,,,,,,

pole tena na karibu mjengoni.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Missed u too Dr, thanks a lot for your efforts. I saw some of your contributions kule pasua kichwa, I am impressed and please keep it up.

jamani me nililishwa ban hapa sikuhurumiwa,,,,,,why u BAK,UMEFANYAJE UKARUDISHWA???
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Karibu tena, ban ni upepo tu. Pamoja na sie kukutetetea historia yako hapa jamvini pia imekutetea. Keep doing you!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ujue hata mahakamani historia ya mtuhumiwa huwa inahusu? Ndio maana mtu akiwa convicted anapewa muda wa kujielewa na unasikia 'mh hakimu, hili ni kosa langu la kwanza na ninategemewa na familia, hivyo naomba kupunguziwa adhabu'


Tehe mimi sipendi
BAK aendelee kuwa Lupango ila nina wasi wasi kwamba kunaweza kukatokea double standard katika ku-enforce taratibu za JF
 
Hey BAK, kumbe ulikumbwa na matatizo. Nikasema mtu gani ameweza kukuficha kiasi kile mpaka sikukuona kwenye Man U vs Arsenal..!
Pole kwa ban na kile kipigo tulichowapa. Welcome back jamvini besti!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom