KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,601
- 6,271
Huu ni uzi wangu wa kwanza kubandika kwa kutumia id yangu mpya baada ya ile niliyokuwa natumia tokea 2010 kusahau nywila yake. mwaka 2016 ilikuwa mwisho kuitumia nikawa nje, niliporudi mwaka 2024 nikasahau vitu mhimu nilivyotumia kufungulia hyo akaunti..hivyo nikafungua mpya.
Kabla ya kuanza kubandika nyuzi mpya, kwa leo uliza chochote kiuchumi, kijamii na kisiasa
Uliza kwa staha na ujibiwe kwa staha
KARIBU.
Kabla ya kuanza kubandika nyuzi mpya, kwa leo uliza chochote kiuchumi, kijamii na kisiasa
Uliza kwa staha na ujibiwe kwa staha
KARIBU.