BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
- Thread starter
- #141
Hahahahaha lol!!!! Yule alikuwa anafurahia ubwabwa ndio furaha yake kubwa aliyokuwa nayo ikabidi mpaka ajigaraze kwenye mavumbi 🙂🙂...Chezeya utamu wa ubwabwa weye!!!! tena wa Nazi 🙂🙂
Mkuu BAK inabidi usherehekee kwa kucheza ile ngoma ya kugaragara kwenye mavumbi kama ya yule mama mbunge wa Songea alivyofanya jana