Shukrani kwa marafiki

Shukrani kwa marafiki

Hilo lipo banaaa wala sikufichi maana nilikusanya ushahidi wa kuonyesha double standards za kufuata sheria za JF. Kusema kweli nimeshangazwa sana na kuona wengine wanarusha mpaka matusi ya nguoni lakini walaaa hawaguswi kabisa. Mtu mmoja alimwambia mwenzie anataka kumgeuza nyuma mzazi wa mwenzie!!!! hakuguswa kabisa, lakini baada ya kufunguliwa huo ushahidi sitauweka hapa maana mengi yalishaandikwa katika uzi ulioanzishwa na Mkuu Rocky huu hapa chini.

https://www.jamiiforums.com/mahusia...a-mmu-tushirikiane-kuboresha-jukwaa-letu.html



Tehe mimi sipendi
BAK aendelee kuwa Lupango ila nina wasi wasi kwamba kunaweza kukatokea double standard katika ku-enforce taratibu za JF
 
Last edited by a moderator:
Bora sikutokezea banaaa lol!!! hahahahahah waliniudhi sana wale Arsenal maana ile mechi tulistahili kushinda hata kwa bao 3-1 kama siyo zaidi 🙂🙂 lakini niliuangalia mchezo wote huku kila dakika zilivyokuwa zinayoyoma ndiyo nilizidi kuwa restless lol!!!! Ahsante sana Best bila shaka umesikia au uliviona vitu vilivyofanywa na Wafaransa jana, wamenipa furaha kubwa sana.

Hey BAK, kumbe ulikumbwa na matatizo. Nikasema mtu gani ameweza kukuficha kiasi kile mpaka sikukuona kwenye Man U vs Arsenal..!Pole kwa ban na kile kipigo tulichowapa. Welcome back jamvini besti!!
 
Hatimaye BAK is back...nimefurahi jamani:
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Sikufanya chochote Mkuu, naona muda wa kuwa lupango ulipunguzwa sana kutokana na rufaa za hao niliowataja hapo juu na wengineo.

jamani me nililishwa ban hapa sikuhurumiwa,,,,,,why u BAK,UMEFANYAJE UKARUDISHWA???
 
Nahhhhhh!!!! bado wako wengi banaaaa....Kama Mkuu Mbu, Rocky na wengine wengi tu. Endelea kubaki katika kundi hilo la "Wasamaria wema"...stay far away from sincity "name calling" lol!!!! hahahahahah

BAK karibu sana mkuu! Karibu sana...

I guess nimebaki mimi tu kupewa ban...
 
Last edited by a moderator:
Kila la heri Mkuu, lakini kuvunja sheria kwa kukusudia huku ukijua madhara yake ni kosa juu ya kosa unaweza kucheza lupango miezi mitatu. Mie ushauri wangu, usithubutu kufanya hivyo hasa kama uko addicted na kii kitu inaitwa JF.

Ngoja namimi nivunje taratibu za JF kumbe adhabu inaweza kupunguzwa???? na hii nitaitumia kama reference kwa kesi yangu.

Ila wasi wasi wangu ni je kuna mtu atafungua thread kuomba nitolewe lupango?

Nakala: Invisible
 
[FONT=century
gothic]Kila la heri Mkuu, lakini kuvunja sheria kwa kukusudia
huku ukijua madhara yake ni kosa juu ya kosa unaweza kucheza lupango
miezi mitatu. Mie ushauri wangu, usithubutu kufanya hivyo hasa
kama huko addicted na kii kitu inaitwa JF.
[/FONT]

Pole kwa kifungo mkuu.
Karibu tena
 
  • Thanks
Reactions: BAK
LoL!!!! Mie nina wasiwasi aliomba samahani mara nyingi tu kwa MODS 🙂🙂, ngoja aje hapa afunguke...Yaani pacha wako Mhhhhh!!! ni mpole kupita kiasi dah!!!!! Yeye ataomba samahani hata pale ambapo hastahili kuomba samahani au atakwambia ahaaaa acha tu nipotezee hiyo badala ya kuumiza kichwa changu bure....Kuna binadamu wengine Mungu kawajalia sana na huyu pacha wako ni mmoja wao. Mie niliwamiss wengi pia...unajua JF imeshakuwa kijiwe maarufu sana chenye burudani za kila aina na ni shule pia ya aina yake.
Ni kweli Jf ni kijiwe kizuri na ni sehemu ya kujifunza na kujua mengi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
karibu sana rafiki BAK....
Ukweli tulikumiss sana yaani.....
nimefurahi maombi yetu yamesikilizwa na wakuu wamekufungulia.......
karibu tena life saver......
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Karibu BAK....pole sana na kifungo....
 

Attachments

  • 1384933135172.jpg
    1384933135172.jpg
    22.6 KB · Views: 49
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Nahhhhhh!!!! bado wako wengi banaaaa....Kama Mkuu Mbu, Rocky na wengine wengi tu. Endelea kubaki katika kundi hilo la "Wasamaria wema"...stay far away from sincity "name calling" lol!!!! hahahahahah

......hahahahh....
I wonder ukipewa kifungo huko huwa mnapewa #Futari na #Daku namimi ni apply hiyo #BootCamp ?
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena rafiki BAK

Tulikumisimo

Pole sana na uthirudie teena eeh!:smile-big:
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom