Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.
Ahaaa haaaaaaaaa acha kuzuga mkuu mpo wengi tu ndani ya JF mnafahamika!! Ufisadi upo Chadema labda ningekushauri anzisha chama chako mbona hujajibu ufisadi wa kina mh. Mbowe na Dr. Slaa? Somo limeeleweka

Chama
Gongo la mboto DSM
tuko wengi JF tunaofahamika kuwa?...Again,chadema siyo nchi na mimi sina chama,ama hujui ninasimamia maslahi gani humu?Kama huo ufisadi wanao chadema,basi wawachukulie hatua hao viongozi wao,hilo si jukumu langu,lakini ufisadi wa Taifa ntalia na nyie.BTW mbona hujarespond kule kwenye thread niliyowahi kuianzisha ya ccm?
 
Jmushi1
Hivi unaelewa unachosema? Dr. Slaa na Mbowe wameshatuonyesha ni watu wa namna gani hivi wakikabidhiwa hazina si wafanya madudu kuliko hayo tunayoyaona? Mwizi ni mwizi pitia thread ya Tuntemeke hiyo issue inajulikana .Irudishe tena thread ya CCM.

mkuu angalia kwenye notifications,nilikumention kwenye thread niliyoifungua mwaka 2008 yenye heading "ccm ifanyiwe mabadiliko" Kuhusu hayo ya ufisadi wa Slaa na Mbowe,bado ni majungu tu.Sijawahi kuona hoja iliyoletwa hapa yenye facts ama ushahidi.
 
Asante umepost mada nzuri sana. Watanzania mtambue Zitto kama kibaraka wa ccm na ana sifa zifuatazo:
1.Anapenda sifa sana.
2. Kalikula rushwa tangu alivoteuliwa na baba mkwe wake kwenye kamati ya madini (Bomani)

3.Nia ya Zitto si kujenga chama bali kukibomoa kwani ushaidi upo kwamba ana mawasiliano ya karibu na watu wa uharibifu wa taifa.

4.Zitto ana kundi kubwa la waislamu nyuma ili akifukuzwa ionekane kafukuzwa chadema kwa sababu ya uislamu wake na si upuuzi anaoufanya!

5. Ni mhuni tu ndo maana bado ana utoto mwingi.

6. Ni mnafiki maana kila siku ni mtu wa kujipendekeza kwa JK. Naomba afukuzwe mara moja kwa mda huu chadema ina wabunge makini kuliko huyo mnafiki! Tuna lissu, mnyika, mdee, wenje, msigwa,nasse, sugu,n.k.

wewe ndio mnafiki,hebu jiulize,ww umeifanyia nn chadema hadi hapo ilipofika sasa.wote hao ulowataja wamemkuta zitto akipambana kwny chama so ujinga wako peleka huko.
 
Zitto anakutana na vikwazo chadema kwa sababu hatoki kaskazini na kwa sababu ya imani yake.,
 
zitto anakutana na vikwazo chadema kwa sababu hatoki kaskazini na kwa sababu ya imani yake.,

hapo umenena mkuu. Tatizo zitto anahofiwa na wa kaskazini kwakuwa anakubalika kwa busara zake. Mimi binafsi ninamsupport zitto saaaaaaaaaana tu. Nae tundu nusu inabidi awe makini asikubali kutumika na baadhi ya watu ndani ya chama kwa maslahi fulani dhidi ya zitto. Zitto unatiiiiiiiiiisha ndani ya cdm, aluta continuaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Kwa ilipofika chadema,viongozi wa kamati kuu watakua na lakufanya!Zito ni mtu ambaye anaheshimika sana kisiasa nje na ndani ya nchi! na kizuri zaidi amekua akipinga ufisadi wa aina yoyote ile!na wote wanaoitakia mema nchi hii wanajua.sasa kama itadhihilika ni kweli na pasipo shaka yoyote,basi zito itabidi aende mwenyewe kwenye chama cha kijani,habari za kusema kuna watu wanataka cheo chake ni hoja nyepesi sana na ikumbukwe kuwa chadema inaweza kwenda bila ya zito!maana siku za karibuni binafsi simuelewi!! hatuta kubali wanachama kuyumbishwa na mtu yoyote,ilikua ni wakati mzuri yeye na wenzake kama,mnyika,lissu,wenje,msigwa,mbowe na wingine kupambana bungeni mpaka makinda aone kiti cha moto! sasa anamuachia lissu, kwakweli hata kama hausiki ni lazima tuone tofauti yake na wale wa kijani!!!!!!!!!!!!!
 
mbona Mheshimiwa Magale shibuda aliyetangaza kugombea urais CDM kwenye mkutano wa CCM mmeshindwa kumtimua au hata kum-Wangwe?.

Kila ugonjwa una tiba yake. By the way Zitto hajaonyesha Ujinga kama MS.Zitto ni arrogant,selfish na irresponsible kwa mambo makubwa ambayo yeye anayachukulia kama mzaha.Ila mwisho wa siku bado ni Kijana mwenye prospective future ambayo kila mtu angependa apewe nafasi ya kaanza jishape.

By the way hizi approaches za black mailing si nzuri, watetezi wa Zitto humu ndani wanajaribu mlinganisha na uovu unaofikiriwa kufanywa na wengine.Hii ni quite illogical/irrationala na mna demonise zaidi. Kwanini msimlinganishe na mazuri ya viongozi makini CDM?Ingawa hata CCM wanaweza kuwepo viongozi wazuri ila ni irresponsible mpinzani kuwasifia bila umakini kama kuna kiongozi wa CDM anafanya kama au zaidi hao wazuri.Si unajua sifa za mpinzani wako sometimes zinakuwa amplified.So usischangae sifa ya mpinzani hasa CDM kwa CCM huwa wanajisikia raha irudia .So busara na akili inahitajika ku comliment mpinzani wako, kwani baadaye utakuwa na kazi kufuta kauli atakapoanza misuse kauli yako.

Kuna mengi nimekuwa nikibishana hata Mkuu Mkandara katika hili.Ni makini sana ila hakuonekana kuali hili la "blackmailing","conspiracy theories" na ile big fear kuwa CCM haishindwi katika mipango haramu waifanyayo katika background na mingi huwa ina inflict damage kwao kuliko wajuavyo.Ndio wanazidi changanyikiwa katika kipindi walipaswa tumia akili wakidhnai wenzao walitumia nguvu zaidi yao. Black mailing ni kama anayelalamika kwa kusema" nimeua mtu 1 umenihumuku kifo sawa na mtu aliyeuwa watu 100 ", au si mimi tuu niliyekosea kuna wengine pia walikosea na uhsahidi ninao" ,Logic ya kutaja mkosefu mwingine na kupata unafuu ilitumika na police au serikali ili kushawishi mkosaji mmoja aweze wataja wahalifu wengine ambao ndio walio hatari in a long run.Ila haiondoi kosa.Pia watu wengi wanaoamini kila kitu ni conspiracy huwa wanakuwa kam vile watu superstitious, kuna uwezekano pakawa na mambo mengi sana yanayosaabishwa na watu kujaa tamaa na ujinga na hawajapata challenges za kutosha kuonyesha undani wao kabla ya kuingia katika sehemu muhimu.Ila kwa watu wanaoamini katika conspiracy hawakosi maelezo yanayomhusisha adui wao wa kufikirika.

Nimeona watu walioaminishwa na wazazi wao kuhsu watu fulani kuwa ni wachawi, basi pamekuwa na coincidences nyingi katik ya huyo mchawi mhisiwa na hao watoto.Km mmoja wa hao watoto kubadili njia na kupita njia yenye utelezi katika kipindi cha mvua halafu akateleza na kuanguka vibaya.Kukutana na mchawi mhisiwa akienda kuuza mbuzi na baadaye kupita bar kupata moja na baadaye akapata zaidi, akajisahau na kujieleza nia ya kuuza mbuzi zake zote na kutaja idadi.Then wajanja wakamwongezea kinywaji na baadaye mwibia.Kwa fikra za hawa vijana waliozaliwa katik ahizi hisia na hii imani na kuishi katika fears kwa miaka, haya yalitosha kuweka mizizi ya imani hiyo.

Kuna mambo mengi sana ambayo huwa binadamu hupenda tafuta wa kumbambikiza.Ama shetani, au mwingine.Chukulia mfano wa wizi, maamuzi mabovu, kukosa uzalendo watu kutojitambua kuwa sisi kama nchi tupo nyuma ya time sana katika maeneo tofauti na hivyo tunachelewa jenga misingi na mitaji kiuchumi, kijamii, kisiasa ambayo itatusaidia kutupa nguvu siku zote za kuweza pata na kuchukua fursa zitakazojitokeza miaka ijayo.Watu wenye mitaji na mipangilio mizuri huwa wanaweza create soko out of nothing.Sijasikia watanzania wakitafuta njia ya kuwashindanisha mataifa katika kutoa bei nzuri kwa rasilimali zetu.Si tunajichagulia mchuuuzi halafu tunamiwta rafiki.hembu fikiria inakuweje upita pale ubungo umkute mpiga debe/muuza ticketi umwite rafiki yangu mkuu nikuaminiye hembu nipe bei ya Ticketi leo naenda mwanza huku una lafudhi ya msukuma/masai?

Tuumize mbongo bila ku play victim na tuje na majibu au maswali yanayo reflect reality.
 
Nicolas Hivi mkuu wangu ujajua maana ya Blackmail au unalitumia tu hili neno ili mradi ufikishe ujumbe..Mimi nam blackmail nani na ili nipate kitu gani?..
 
Last edited by a moderator:
Unaongelea mwanahalisi la Said au mwanahalisi lingine. Inabidi uwe makini na vyanzo vyako vya habari vitakufanya uonekane mzandiki wakati mwingine

YES naongelea Mwanahalisi la Saed Kubenea, na kwataarifa yako baadae Rostam alienda voda kupiga mkwara na kumtafuta aliyetoa call records. Acha uoga wako kijana kuwa mwanaume kama ni mwanaume, au mwanamke kama ni mwanamke.
 
By the way hizi approaches za black mailing si nzuri, watetezi wa Zitto humu ndani wanajaribu mlinganisha na uovu unaofikiriwa kufanywa na wengine.Hii ni quite illogical/irrationala na mna demonise zaidi. Kwanini msimlinganishe na mazuri ya viongozi makini CDM?Ingawa hata CCM wanaweza kuwepo viongozi wazuri ila ni irresponsible mpinzani kuwasifia bila umakini kama kuna kiongozi wa CDM anafanya kama au zaidi hao wazuri.Si unajua sifa za mpinzani wako sometimes zinakuwa amplified.So usischangae sifa ya mpinzani hasa CDM kwa CCM huwa wanajisikia raha irudia .So busara na akili inahitajika ku comliment mpinzani wako, kwani baadaye utakuwa na kazi kufuta kauli atakapoanza misuse kauli yako.

Tuumize mbongo bila ku play victim na tuje na majibu au maswali yanayo reflect reality.

Kwa Viongozi wa juu wa CHADEMA ZITTO ni lazima aondoke iwe kwa kisingizio cha rushwa au mchezo mchafu. Musiki wa kufukuzwa kwa ZITTO , CHADEMA ni marudio ya kila mwezi kama si kila wiki. Wanachokiogopa Viongozi wa CHADEMA ni kukiuwa CHAMA, ukizingatia umaarufu aliokuwa nao Zitto kwa watanzania, sizungumzii wafuasi wa CHADEMA TU BALI WATANZANIA KWA UJUMLA.

Tofauti ya Zitto na wanasiasa wengine kama Tindu Lissu, Lema, Mbowe na Slaa, ni hilo alilolizungumzia ndugu Nicholas katika Quote. Kitendo cha kuweka Maslahi ya nchi mbele kuliko CHAMA. Eti Dhambi yake ni kuvisifia vyama Pinzani pale vinapofanya vizuri katika baadhi ya maeneo. Huku ni kukomaa kisiasa na si dhambi, na vyama vinahitajiwa kufanya hivyo pale nchi inapokuwa mbele kuliko chama.

Idiolojia ya CHADEMA NI kutukana CHAMA pinzani hata pale inapofanya vizuri. Ukiwauliza CHADEMA ni nini (hata kimoja) CCM imefanya katika kipindi cha uraisi wa Kikwete. JIbu- Hakuna. Hata kuweka bajeti kwa ajili ya SENSA, wao husema ni upotevu wa pesa (rejea mazungumzu ya bajeti) japo SENSA haikuanza leo, na wao wanafahamu umuhimu wa sensa. Ukikiunga mkono CHAMA tawala wewe ni CCM-B. Idiolojia hii ni lazima CHADEMA waivue.

Kabwe anaeleza KATIKA tweeter, atakwenda kwa KATIBU MKUU anatarajia nini wakati ametangaza kugombea Uraisi nafasi ambayo katibu mkuu ameihodhi. Hali halisi ni kuwa Anahitajiwa kuondolewa CHAMANI kwa Udi na uvumba, hasa katika kipindi hiki cha miaka mitatu mpaka uchaguzi. Akishinda kipindi hiki, kabwe ataimiliki CHADEMA. Na ninaimani atashinda.
 
Kwa ilipofika chadema,viongozi wa kamati kuu watakua na lakufanya!Zito ni mtu ambaye anaheshimika sana kisiasa nje na ndani ya nchi! na kizuri zaidi amekua akipinga ufisadi wa aina yoyote ile!na wote wanaoitakia mema nchi hii wanajua.sasa kama itadhihilika ni kweli na pasipo shaka yoyote,basi zito itabidi aende mwenyewe kwenye chama cha kijani,habari za kusema kuna watu wanataka cheo chake ni hoja nyepesi sana na ikumbukwe kuwa chadema inaweza kwenda bila ya zito!maana siku za karibuni binafsi simuelewi!! hatuta kubali wanachama kuyumbishwa na mtu yoyote,ilikua ni wakati mzuri yeye na wenzake kama,mnyika,lissu,wenje,msigwa,mbowe na wingine kupambana bungeni mpaka makinda aone kiti cha moto! sasa anamuachia lissu, kwakweli hata kama hausiki ni lazima tuone tofauti yake na wale wa kijani!!!!!!!!!!!!!
Hivi mkuu unaweza kuniambia ni kivipi hiyo nafasi ya uenyekiti wa POAC ama hata ile kamati ya madini vimekisaidia vipi chama chake zaidi ya yeye binafsi?Kwahiyo kusema kuwa watu wengine wanaitamani hiyo nafasi,hilo linakisaidia vipi chama na wakati mwanzoni kabisa tulisema haya ya kuingizwa kwenye hizo kamati first ni a divide and rule method na pia ni ili kuwa neutralise.Tulishangazwa mwanzoni kufahamu wanavyolipwa nk,na tukaona ni another mazingaombwe,sasa tumeshazoea na siasa ni kuoneana wivu,ndo hayo ya divide and rule yametimia.Kiukweli,hao walioko kwenye hizo kamati ni kama wanaifanyia kazi serikali ya ccm...hivyo kuna uwezekano mkubwa sana maamuzi yao yakawa bias.
 
jmushi i used to respect you but hapa ulipofika aidha wawatumikia watu flani au una ya kwako mwenyewe kwenye hii thread, kwa haliya kisiasa ingefaa sana, tusuiri ripoti ya uchunguzi ndio tuwe na hayo ya kumfukuza ama la, otherwise huku ni kupika mjungu, kuwagawa wanachadema na pia kuendeleza unhealthy mijadala kwa chama

kuwa mvumilivu, zimebakisiku chache sana,
 
waingereza wana msemo dont cross the bridge until you come to it, kama mwajua maana yake hili ndilo tulifanye ka saa
 
Hivi hizo kamati za bunge huwa zinamfanyia nani kazi?zinaripoti kwa nani na nani?Hizi kamati zimevuruga sana wapinzani,sasa sijui ni malipo yake ama ni kitu gani?
 
Nicolas Hivi mkuu wangu ujajua maana ya Blackmail au unalitumia tu hili neno ili mradi ufikishe ujumbe..Mimi nam blackmail nani na ili nipate kitu gani?..

Nadhani wewe ndio hujui mengi yasemwayo na equivalence ya majibu yako na blackmailing katika issue zimhusuzo Zitto.Nimeweka posting ndefu nikijaribu kuweka maelezo ili ufahamu usemalo.Ila kama nilivyokuwa nikikuambia nahitaji ku decode motive yako ndio bado unazidi dhihirisha.Issue ni Zitto, ila wewe na watu wengine mna drag watu waipeleke kwa watu wasiotuhumiwa na thread husika .Halafu mara nyingi wewe na wengine wengi tuu, mnajibu hoja kama mna m-defend Zitto kwa kutaka linganisha yeye na wengine ambao hawajatuhumiwa katika thread husika.(Hili ni jaribio la kunyamazisha wengine, kama vile mwaga mboga nimwage ugali).na hii ndio blackmailing.Kujaribu Funga midomo ya wengine kwa tuishio la kuweka wazi scandle au hata kufanya kitu kilicho katika mamlaka yako.

Unless uniambie kuwa haikuwa intentional ila kwa postings zako ni wazi una blackmail wengine (Au CDM in this forum),ili Umsave Zitto.Na si Zitto ajiweke katika mazingira yanayoleta imani kwa timu.Hembu kasome ulichopost kuhusu Zitto kama hakuna footprints za Blackmailing?Mojawapo ni Ile ya kutaka Zitto alte mafaili yake kuhusu wana CDM wengine na wanaCDM walete kuhusu Zitto halafu aangaliwe nani mwenye makosa mengi?Nilibishana sana na wewe,ukaamua lalia chaka la kuwa ni sumu ya CCM na hao jamaa ni victims(hii niliita Conspiracy theory nayo pia sikuipenda kwani kuna room ikawa ni fikra zako tuu, au hata ujanja wa kupotosha watu kuwa CCM ni kiboko kihivyo), kwani CDM mpaka kufika hapo ni dhahiri kuwa wapo flexible kiasi ch akuwafanya CCm washindwe predict na kufanya perfecttiming ya ku excecute attack zao.Kwani hata hapa tuu Zitto km katumika baso timing ni mbovu..Kuna mengi nilikuuliza ukaanza pandisha adrenaline na kidogo ukaanza shutumu wengine haelewi ,mara kila mtu aamini chake.Ila nikakuuliza pia inakuweje unapootaka waaminisha wengine?Sometimes kama unataka resolve ambiguities katika fikra zako in relation to the outside world basi demand more explaination in a calm way,thne somewhere unaweza pata resolution.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom