mbona Mheshimiwa Magale shibuda aliyetangaza kugombea urais CDM kwenye mkutano wa CCM mmeshindwa kumtimua au hata kum-Wangwe?.
Kila ugonjwa una tiba yake. By the way Zitto hajaonyesha Ujinga kama MS.Zitto ni arrogant,selfish na irresponsible kwa mambo makubwa ambayo yeye anayachukulia kama mzaha.Ila mwisho wa siku bado ni Kijana mwenye prospective future ambayo kila mtu angependa apewe nafasi ya kaanza jishape.
By the way hizi approaches za black mailing si nzuri, watetezi wa Zitto humu ndani wanajaribu mlinganisha na uovu unaofikiriwa kufanywa na wengine.Hii ni quite illogical/irrationala na mna demonise zaidi. Kwanini msimlinganishe na mazuri ya viongozi makini CDM?Ingawa hata CCM wanaweza kuwepo viongozi wazuri ila ni irresponsible mpinzani kuwasifia bila umakini kama kuna kiongozi wa CDM anafanya kama au zaidi hao wazuri.Si unajua sifa za mpinzani wako sometimes zinakuwa amplified.So usischangae sifa ya mpinzani hasa CDM kwa CCM huwa wanajisikia raha irudia .So busara na akili inahitajika ku comliment mpinzani wako, kwani baadaye utakuwa na kazi kufuta kauli atakapoanza misuse kauli yako.
Kuna mengi nimekuwa nikibishana hata Mkuu Mkandara katika hili.Ni makini sana ila hakuonekana kuali hili la "blackmailing","conspiracy theories" na ile big fear kuwa CCM haishindwi katika mipango haramu waifanyayo katika background na mingi huwa ina inflict damage kwao kuliko wajuavyo.Ndio wanazidi changanyikiwa katika kipindi walipaswa tumia akili wakidhnai wenzao walitumia nguvu zaidi yao. Black mailing ni kama anayelalamika kwa kusema" nimeua mtu 1 umenihumuku kifo sawa na mtu aliyeuwa watu 100 ", au si mimi tuu niliyekosea kuna wengine pia walikosea na uhsahidi ninao" ,Logic ya kutaja mkosefu mwingine na kupata unafuu ilitumika na police au serikali ili kushawishi mkosaji mmoja aweze wataja wahalifu wengine ambao ndio walio hatari in a long run.Ila haiondoi kosa.Pia watu wengi wanaoamini kila kitu ni conspiracy huwa wanakuwa kam vile watu superstitious, kuna uwezekano pakawa na mambo mengi sana yanayosaabishwa na watu kujaa tamaa na ujinga na hawajapata challenges za kutosha kuonyesha undani wao kabla ya kuingia katika sehemu muhimu.Ila kwa watu wanaoamini katika conspiracy hawakosi maelezo yanayomhusisha adui wao wa kufikirika.
Nimeona watu walioaminishwa na wazazi wao kuhsu watu fulani kuwa ni wachawi, basi pamekuwa na coincidences nyingi katik ya huyo mchawi mhisiwa na hao watoto.Km mmoja wa hao watoto kubadili njia na kupita njia yenye utelezi katika kipindi cha mvua halafu akateleza na kuanguka vibaya.Kukutana na mchawi mhisiwa akienda kuuza mbuzi na baadaye kupita bar kupata moja na baadaye akapata zaidi, akajisahau na kujieleza nia ya kuuza mbuzi zake zote na kutaja idadi.Then wajanja wakamwongezea kinywaji na baadaye mwibia.Kwa fikra za hawa vijana waliozaliwa katik ahizi hisia na hii imani na kuishi katika fears kwa miaka, haya yalitosha kuweka mizizi ya imani hiyo.
Kuna mambo mengi sana ambayo huwa binadamu hupenda tafuta wa kumbambikiza.Ama shetani, au mwingine.Chukulia mfano wa wizi, maamuzi mabovu, kukosa uzalendo watu kutojitambua kuwa sisi kama nchi tupo nyuma ya time sana katika maeneo tofauti na hivyo tunachelewa jenga misingi na mitaji kiuchumi, kijamii, kisiasa ambayo itatusaidia kutupa nguvu siku zote za kuweza pata na kuchukua fursa zitakazojitokeza miaka ijayo.Watu wenye mitaji na mipangilio mizuri huwa wanaweza create soko out of nothing.Sijasikia watanzania wakitafuta njia ya kuwashindanisha mataifa katika kutoa bei nzuri kwa rasilimali zetu.Si tunajichagulia mchuuuzi halafu tunamiwta rafiki.hembu fikiria inakuweje upita pale ubungo umkute mpiga debe/muuza ticketi umwite rafiki yangu mkuu nikuaminiye hembu nipe bei ya Ticketi leo naenda mwanza huku una lafudhi ya msukuma/masai?
Tuumize mbongo bila ku play victim na tuje na majibu au maswali yanayo reflect reality.