CDM wafanye kilichofanywa na ANC kwa malema ni ku-fire tu mbona madiwani waliwafanyia hivyo kwani zitto ni zaidi ya chama????
Jambo linalonitatiza ni watu Zitto anaowatupia lawama dhidi ya shutma hizo.Ukimsoma vyema utagunduwa anawalalamikia wenzake ambapo walitakiwa wawe together.Statement yake haijasaidia chochote.However nakubaliana na maoni yako.ikiwa ni ushahidi wa wazi afukuzwe uanachama,lkn ikiwa ni wa kimazingira aachie ngazi unaibu katibu mkuu.Ikumbukwe pia zinaweza kuwa ni sarakasi za kisiasa zilizoasisiwa na magamba na magwanda kuzicheza hata bila ya kuisikilizia tune yake
Nilipenda hii iwe poll, mods please if you can help on that I will appreciate. Kuna taarifa kuwa kikao cha kamati kuu ya cdm kitakaa,na pengine kujadili issue iliyopo inayohusiana na Mh kupokea rushwa akiwa kwenye kamati kama mbunge wa chama hicho.However kama tunavyojuwa, inawezekana ushahidi ukawa wa kimazingira tu,
Yaani ukawa si ushahidi wa kuweza kumfikisha mahakamani etc.Kwa wale wana CHADEMA humu ndani,mngependa kamati kuu ichukuwe hatua gani,je should they fire him regardless?
Ama should mh quit before it all becomes embarrasing?Kwa wanaotaka awe fired, usisahau kutoa sababu,na unayetaka awe spared, just do the same.
Ikitokea kuwa hakuna ushahidi,basi lazima atakuwa ameshiriki huo mpango wa kukiingiza chama chake chaka.Sioni ni kivipi tuhuma za rushwa dhidi yake toka kwa kina Muhongo zina uhusiano na kugombea urais yeye vs Slaa ama yeyote ndani ya chadema.Unaweza ukanisaidia kuelewa hapo?Yani kina Slaa wameshirikiana na Muhongo et al,kupandikiza hizi tuhuma za rushwa?He already said kuwa ikiwa proved(not mere allegations) kuwa amechukua rushwa, ATAWAJIBIKA...that means, tupende, tusipende, akiwa hatiani ATAWAJIBIKA...hatuna haja ya kupiga kura ya Ndio au Hapana...
Issue itakuwa pale ambapo wanao allege kuwa amepokea rushwa wakati hajapokea, itakuwa aibu sana.
Ikitokea kuwa hakuna ushahidi,basi lazima atakuwa ameshiriki huo mpango wa kukiingiza chama chake chaka.Sioni ni kivipi tuhuma za rushwa dhidi yake toka kwa kina Muhongo zina uhusiano na kugombea urais yeye vs Slaa ama yeyote ndani ya chadema.Unaweza ukanisaidia kuelewa hapo?Yani kina Slaa wameshirikiana na Muhongo et al,kupandikiza hizi tuhuma za rushwa?
mambo ya urais ni yeye aliyaleta baada ya kuhusishwa na rushwa,fwatilia vyema...Ulipoanza, hukuchanganya mambo ya Urais, umeuliza kuwa should the party fire him? If you want to speak of Urais nadhani ungeiweka post yako ikae vizuri zaidi. Issue hapa ni yeye kuwa fired endapo itathibitika kuwa amechukua Rushwa. Ikiwa amechukua, ameshasema atawajibika, irregardless of the stand of the party!!! Unless kama sijakuelewa thread yako, i stand to be corrected...Kama hajachukua Chama hakiwezi kumuwajibisha!Unamuwajibisha mtu kwa kitu ambacho una uhakika nacho na si vinginevyo.
Hayo ya Urais unayaleta ni mengine!
Zitto ni mwanachama wa Chadema anayeamini kwamba he is a party unto himself na ndio maana mara nyingi anapinga maamuzi ya chama ;mfano wenzie wanapotoka bungeni yeye anabaki, wakati wa uchaguzi mkuu alimpinga mgombea wa chadema na kumuanga mkono Kafulila kule Kigoma!! Mtu wa namna hii ni liability kwa chama na the sooner Chadema rids itself of this mole the better kwani MAJUTO NI MJUKUU!! Zitto is not a team player but "a lone ranger" and in order to win Chadema must work as a team.
mambo ya urais ni yeye aliyaleta baada ya kuhusishwa na rushwa,fwatilia vyema...
ZITTO, i know you read this albeit seldomly. stand firm, focused and determined! We the voters will rule out this jujisu. Lowassa, Chenge, Karamagi et al., Jairo, Mahalu, Mkapa + meremeta are the sodid culprits and yet are still singing to cling to power. Cdm has never taken any action. Nani aliye msafi hapa? We will fight for you SIR!
The issue here is not fighting for ZZK even if he is found guilty of corruption. We want to wipe corruption from our country. Does CHADEMA has the mandate to take action against CCM corruption other than the bold step to bring these issue and the thugs involved to the light? CHADEMA has done a great job to inform the public on the evils andZITTO, i know you read this albeit seldomly. stand firm, focused and determined! We the voters will rule out this jujisu. Lowassa, Chenge, Karamagi et al., Jairo, Mahalu, Mkapa + meremeta are the sodid culprits and yet are still singing to cling to power. Cdm has never taken any action. Nani aliye msafi hapa? We will fight for you SIR!