Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Mkuu how sure are you?what if Zitto ndio antaka kuondoka kwa nguvu iwezekanavyo?Hata ikibidi kwa kukiua chama?Ujue kuna usemi waupendao wamarekani.."..if you want to kill a dog give him a bad name.."Hapa Zitto ndie anaonekana ama kwa kutojijua ama kwa kujua kukipa chama cha CDM jina baya ili ahalalishe atakalo.Mpaka sasa CDM mwenendo wao unaonekana kuwa :Kwa Viongozi wa juu wa CHADEMA ZITTO ni lazima aondoke iwe kwa kisingizio cha rushwa au mchezo mchafu. Musiki wa kufukuzwa kwa ZITTO , CHADEMA ni marudio ya kila mwezi kama si kila wiki. Wanachokiogopa Viongozi wa CHADEMA ni kukiuwa CHAMA, ukizingatia umaarufu aliokuwa nao Zitto kwa watanzania, sizungumzii wafuasi wa CHADEMA TU BALI WATANZANIA KWA UJUMLA.
-Utaifa mbele.(Zitto mara kibao kadai Bungeni kuwa sifa zake apewe, sifa ya kigoma isemwe hata katika vitu sensitive kama timu ya Vijana iliyofanya vizuri katika soka).Huo ndio utaifa ndugu yangu?
-Umoja ni Nguvu utengano ni udhaifu.(Uimara wa chama ni umoja wa wanachama na wawakilishi/viongozi).Zitto anapambana kujiimarisha ili awe zaidi arrogant and selfish.
-Njia pekee ya kukipa chama nguvu kwa taifa zima na si kwa majimbo fulani.Ni kutolimbikiza sifa kwa mtu mmoja.Kupeana majukumu ya kufanya katika Bunge, na nje kunawakomaza wabunge wachanga bila kuwadhalilisha kwa kuonekana hawajui kitu, au hawana mchango.
-Respect among each other na kutii kanuni bila shuruti, Zitto hajashikilia the top position katika chama.Kwa hiyo anao watu juu yake ambao anahitaji jibihave kwa kuheshimu hizo nafasi bila hofu, wala vurugu.Zitto inabidi atumie mfumo wa ndani kueleza mawazo yake bila payuka bungeni ama kuwaonyesha watu kuwa si iconic tena ktik kujenga chama.Hata hao CCM na udhaifu wao suala la wanachama kama wale watoto wakiona fimbo tuu kwa vile wana makosa basi huanza piga kelele nyingi sana hadi majirani wanakereka na kuamua ingilia wakidhani mtoto anauwawa.
Shida ni kwamba kuwapa credit wapinzani ni very tricky issue, kwa wengi na hata Zitto hapa.Lazima uwasifie wengine kwa mema wafanyayo ili uwe mpenda haki.Ila kwa africa vyma vingi na serikali nyingi si respsonsible,huwa wana abuse report sana.Kuna time mtu anahitaji kuwapa sifa kwa kiasi kwani, wanaweza itumia hiyo kauli yako kwa muda mrefu na katika mambo mabaya mengi.Mfano. Ni rahisi sana James Mbatia kemea CDM, kwa kuwaita wa msimu, wabinafsi wapenda fujo na raia wasichukulie serious.Lakini siku mtu kama Mbowe , Slaa au mwingine mwenye mvuto na kuaminika katika CDM atakaposimama katika event kubwa na kujisahu ,halafu akasema James Mbatia ni Kiongozi ,"MKWELI" sijui na jasiri etc..then kuna idadi kubwa kama si wote wa CDM watalisikia hilo neno na kuliamini.Siku inayofuata Mbati akisema lolote baya kuhusu CDM au kiongozi wake basi hawa raia watalichukulia kwa uzito.Leo CDM wana quote maneno ya Mwl kuhusu hicho chama Miaka ya nyuma.Ni matumaini yangu ndugu zangu mtajitahidi kutochanganya mambo hapa kw ahisia zenu kuhusu Zitto.Wapinzani wanaweza lazimisha Sifa walizopewa irresponsibly na Zitto kuwajenga dhidi ya CDM.CDm wakikanusha ,wanakuwa blackmailed kwa haya mambo "UKANDA na UDINI".nadhani umeona.Tofauti ya Zitto na wanasiasa wengine kama Tindu Lissu, Lema, Mbowe na Slaa, ni hilo alilolizungumzia ndugu Nicholas katika Quote. Kitendo cha kuweka Maslahi ya nchi mbele kuliko CHAMA. Eti Dhambi yake ni kuvisifia vyama Pinzani pale vinapofanya vizuri katika baadhi ya maeneo. Huku ni kukomaa kisiasa na si dhambi, na vyama vinahitajiwa kufanya hivyo pale nchi inapokuwa mbele kuliko chama.
Kuna mfano mwingine wa watu wanaotafuta kukubalika(recognision) na watu maarufu au wapinzania".Utasikia mataifa ya maghari wakitoa masharti kuwa ili mazungumzo yaendelee na waarabu lazima "walitambue Taifa la Israel".Utakuta pia hata waislam wengi wakitete dini yao kwa "watu maarufu waliojiunga na uislam, au Idadi ya watu wa magharibi waliokumbatia uislam", alikadhalika pia wakristu kwa madhehebu yao wakijaribu taja "waislam maarufu waliokuwa Wakristu ". Zote hizi ni ground za kutambulika na hapo hapo kudhoofisha upande wa pili.
Idiolojia ya CHADEMA NI kutukana CHAMA pinzani hata pale inapofanya vizuri. Ukiwauliza CHADEMA ni nini (hata kimoja) CCM imefanya katika kipindi cha uraisi wa Kikwete. JIbu- Hakuna. Hata kuweka bajeti kwa ajili ya SENSA, wao husema ni upotevu wa pesa (rejea mazungumzu ya bajeti) japo SENSA haikuanza leo, na wao wanafahamu umuhimu wa sensa. Ukikiunga mkono CHAMA tawala wewe ni CCM-B. Idiolojia hii ni lazima CHADEMA waivue.
Mkuu unaua hiyo ideologia umeipata wapi?Kuhusu kuanika udhaifu na uovu nakubali,ila matusi sijasikia.CDM ni wapinzani, na kazi yao ni kuwabana waliopo katika utendaji au hata ushindani nao kwa yale mapungufu yao.Sasa kama hawa wanaobanwa wana maovu mengi kiasi cha kuona kila siku wao ndio wanatajwa tuu.
CDM pamoja na kuwa ni wapinzani wamefany amengi sana kupitia ufadhili wa viongozi, wananchi wenye moyo kam Sabodo etc.na yale ambayo kama yangekuwa mikononi mwa watendaji wa CCM yasingefanyika ma kwa wizi au kwa uzembe.
Kuhusu baadhi ya vyama kuwa CCM B hakuna mjadala.Labda uvitofautishe kwa kiwango cha mapenzi katik ahiyo ndoa na ufanisi wao aktik akuuwa upinzani.CUF hata wanachama wake wanakiri kuwa si ile iliyofanya wafe mitaani.NCCR tunaijua jinsi watu walivyorushwa roho halafu mrema kayeyuka, leo yupo TLP ila kila siku ni kusifia CCM kama vile wao ndio wametoa kodi zao kusaidia kiraracha.
CDM kukataa ushirika na vyma vyenye waroho wa madaraka ni uchizi achilia mbali kupunguza vyma ni kuua democrasia kwa kupunguza ushindani na chaguo kwa mpiga kura.Sasa kam TLP na NCCR wameshindwa kuza vyama wa nini kuwakumbatia?Yaani kuna hsughuli ya kuing`oa CCM, halafu uongeze ya kubebana na vyama ambavyo ni unstable.
Ingawa unaongeza chumvi kwa hisia, bado chama kimetumia busara na utu kumhifanyi ili wasimwaribie political carrieer yake.Pengine kwa kukumbuka michango yake ya nyuma.Ingekuwa mimi ni kiongozi wa kamati ya maadili na nidhamu ya chama ningemwita katika kamati ya maadili na kumhoji na huku pakitafutwa ushahidi wa nguvu kama kweli kaleta taabu anapigwa chini .Sidhani kama leo hata rais akipata kichaa halafu akaanza ua watu, kama hakuta option nyingine ya kumweka under control, kuna uwezekano naye akauwawa ingawa anapendwa.Naona watu wana hisia mpaka wanamfanya kuwa un touchable mapema sana.Sijui angekuwa nabii ingekueje wafuasi wake wangetuua kuliko tuhoji matendo yake.Kabwe anaeleza KATIKA tweeter, atakwenda kwa KATIBU MKUU anatarajia nini wakati ametangaza kugombea Uraisi nafasi ambayo katibu mkuu ameihodhi. Hali halisi ni kuwa Anahitajiwa kuondolewa CHAMANI kwa Udi na uvumba, hasa katika kipindi hiki cha miaka mitatu mpaka uchaguzi. Akishinda kipindi hiki, kabwe ataimiliki CHADEMA. Na ninaimani atashinda.
Mimi sinchukii Zitto ila napata kichefuchefu wapenzi wake wanavyoweka hoja dhaifu against tawi alilokalia Zitto,bila kujua kuwa wakilikata na Zitto wao anapotea.Napata huru ma kwa watanzania kama wana fikra za namna hii wakiwa wenyewe,sijui wakiwa na mataifa mengine yenye jamii inayoangalia mambo kwa mapana zaidi itakuweje?Inaudhi hata vijana wasomi waodgo wana fikra mgando kuliko wazee walioishi kipindi hapakuwa na JF, twitter,you tube, google, wala chochote cha internet