Should CHADEMA Fire Zitto?

Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.
Tusivuruge chama kwa kumfukuza Zitto, yaliyotokea ni masuala ya kuzungumzika kwny meza moja.
 
Watu wa aina hiyo lazima wawepo kwenye chama.pamoja na matatizo yao lakini wanafaida pia kwenye chama.
 
Ndiyo wakuu! Heshima kwenu! Natambua uwepo wenu hapa JF. Ninaomba kukishauri chama changu cha CDM kumtimua Zitto haraka. Sababu zifuatazo:-
rais.

kukivuruga chama. Naomba zitto atimuliwa.

Kazi uliyoifanya umemaliza na haujafanikiwa rudi kwa magamba wenzio kawaeleze ZZK ni moja kati ya nguzo za CDM hatakaa aondoke kwa ushawishi maandazi wala kufukuzika. Wape taarifa na kina Kalafurira CHAUMA ilitaka kutokea mgongo wa CDM wamekwaa kisiki
 
Kila kitu zitto, ebu muacheni apumzike jamani, hili jambo tayali lipo katika ngazi ya chama kwa utatuzi wa mgogoro uliojitokeza.
 
mnataka wabaki kina mangi tu?????acheni hizo bana!Zitto ni jembe ambalo mpaka kesho CDM inalitegemea!!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Acha kutuita wana CDM ni wa Mangi tu, unamaana ZZK peke yake ndo sio? Au una maana akiondoka ataondoka na masalia wake wanaodai kuna ukanda na ukabila? Ondoa mawazo mgando hayo
 
Ni pia ni mchawi mkubwa hata panya anaweza kuwaua kimazingara.

Achana na hawa mkuu wanajisikia raha wakiona CDM kuna migogoro. Alafu tujifunze kuongelea jambo kwa siku moja na siku inayofuata tunaipuuza, hii itaonyesha ukomavu wetu
 
Zitto kabwe hagombee ubunge tena anautaka urais ila namuomba atuambie ninani anataka aongoze jimbo maana hawa ADC hapa kigoma ni hatariiiiiiiiiii wameshabeba vijiji takribani vyoteeee zitto imarisha chama jimboni kwako achana na hao wapiga kelele
Hiyo ndiyo kazi ya Zitto na bado mtakimbia mwakani.

Unacheza na CCM ya Kikwete na karatu tutaiua kabisa CHADEMA.
 
zitto yupo akilini mwao kila muda

Ni kweli, na huku kumzonga zonga huku jambo lipo kwenye ngazi husika ni ujinga tu, na inaonesha ni jinsi gani wanavyo tumiwa na baadhi ya viongozi wa CDM wenye nia ya kumchafua bwana Zitto
 
Kazi uliyoifanya umemaliza na haujafanikiwa rudi kwa magamba wenzio kawaeleze ZZK ni moja kati ya nguzo za CDM hatakaa aondoke kwa ushawishi maandazi wala kufukuzika. Wape taarifa na kina Kalafurira CHAUMA ilitaka kutokea mgongo wa CDM wamekwaa kisiki
Zitto hajawahi kuwa mwanaCCM hata siku moja, siku zote amekuwa mwanaCHADEMA.

Huku CCM hatutaki washirikina kabisa, ufisadi mwenyewe bado unatusumbua sana.
Aendelee na CHADEMA yake huko huko alipojifunzia Ushirikina ama mkimzingua aende kule kwa Kafulila yaani CHAUMA.
 
Ndiyo wakuu! Heshima kwenu! Natambua uwepo wenu hapa JF. Ninaomba kukishauri chama changu cha CDM kumtimua Zitto haraka. Sababu zifuatazo:-

Mosi siku zote amekuwa mtu wa kuanzisha chokochoko na asiyeeleweka. Katika nafasi yake aliyonayo katika chama alipaswa awe mtu wa kukijenga chama siyo kubomoa. Kwa MFANO:- Wakati chama kinapambana ili kulinyakua jimbo la Arumeru mashariki kwa Joshua Nasari Zitto akaona ili kukivuruga chama aufanye huo ni muda wa kukivuruga chama kwa kutangaza kugombea Urais.

Pili huwa hashiriki katika kazi za chama kikamilifu. Siku zote amekuwa akionyesha kushiriki shughuli za chama kwa manati.

Tatu, amekuwa akipingana na maamuzi ya chama Tena waziwazi. Akiwa kama kiongozi alipaswa awe mstari wa mbele kupigania na kuyatetea maamuzi ya pamoja ya chama. Kwa mfano siku ile bungeni wezake wanatoka kwa kuonyesha kutorizika na matokeo yaliyompa ushindi kiwete yeye hakufika kabisa bungeni kuonyesha kutokubaliana ma maamuzi ya chama.

Nne, ana makundi ya sirisiri ndani ya chama yanayolenga kuwabomoa wapinzani wake kitu amabacho kinaweza kuvuruga chama pia

Tano, Mshirikina. Siku zote uchawi ndiyo limekuwa tumaini lake. Si mara ya kwanza kwa huyu ndugu kusema ameaga kwao................ Hizo zote ni tambo za kishirikina. Katika karne hii hayo mambo ya kishirikina yamepitwa na wakati.

NB:- Wamekuja wakina Pro. Safari ndani ya muda mfupi wamekisaidia sana chama lakini zitto ana lengo la kukivuruga chama. Naomba zitto atimuliwa.

Naunga hoja mkuu, Zitto lazima atimuliwe Na asipo timuliwa natoa angalizo lifuatalo


kuna possibilty ya zitto kukihma chama ifikapo karibu na uchaguzi 2015


Hali hiyo itajitokeza ,na itasababisha kuwagawa wapiga kura, Bora afukuzwe mapema ili wananchi wamjue mapema ,na wajue sababu za kumtimua ni zipi. tukija waambia babaye wananchi hawata tuamini. Bora tumfukuze mapema ili tujipange sawasawa.


Zitto yupo kimalengo ya kuisambaratisha Chadema, na kuifanya ishindwe kufikia Malengo yake.


zitto alishaanza kutuhujumu akishirikiana na wana CCm, sasa tumesha mstukia ,anaweza kuomba msamaha au akajisafisha ki jinsi anavyojua yeye ,ili mradi anasubiri Uchaguzi ufike ili agombee either kama mgombea Binafsi au agombee kupitia chama kingine cha siasa kitu ambacho kitazigawa Kura za Chadema


Solution to the problem


Afukuzwe avuliwe nadhifa zake zote ndani ya chama, then baadaye wamfukuze..


afukuzwe,afukuzwe,afukuzwe,afukuzwe,afukuzwe,afukuzwe,afukuzwe,afukuzwe,afukuzweafukuzwe,


Asije kuja kuzigawa kura za chadema ,na kuipa ushindi CCM. AFUKUZWE KABISA
 
walionzisha CCJ wakiwa ndani ya CCM mbona hawajafukuzwa hadi leo tena wengine wamepewa ulaji wa nguvu itakuwa Zitto? -- cha msingi ni kumwita kukaa chini na kumsikiliza madai yake kama kweli anayo, na hicho ndicho kinafanyika kwa mwananchama yeyote mwenye malalamiko; kama ukiona viongozi hawakupi nafasi kuna vikao vya juu - ukiwa na hoja ya msingi utasikilizwa tu.

Una safari ya Km 100, umeshatembea Km 90 kwa shida, jua kali, njaa kali - then ki- pickup inakuja tokea upande wa pili, kinakupa maji, na mkate, then yule dereva anakurubuni urudi ulikotoka lakini safari hii si kwa mguu no, ukiwa ndani ya ka-pickup ukiwa maji, mkate na viburudisho.

CDM ndyo mfano huo, bado km 10 tu tusikubali kugawanyika, haka ka-pickup kanakuja the opp-direction kamesheheni mikate na mapochopocho kuwahadaa wana safari kugeuza kurudi walikotoka ili - kutusambaratisha tusimalizie hizi km 10 zilizobakia -- 2015 ndiyo km zilizobakia tu. tusiwe kama wale jamaa walikuokuwa wanajenga mnara wa babeli.

Nafikiri hata Zitto hawezi kukubali kupanda kwenye haka ka-pickup - never!!
 
Zitto hafukuzwi, hatimuliwi atabaki ndani ya chadema hadi atoke mwenyewe akitaka! Ni mwenachama wetu hadi atakapojitoe yeye kwa namna yoyote ile!
 
Zitto hajawahi kuwa mwanaCCM hata siku moja, siku zote amekuwa mwanaCHADEMA.

Huku CCM hatutaki washirikina kabisa, ufisadi mwenyewe bado unatusumbua sana.
Aendelee na CHADEMA yake huko huko alipojifunzia Ushirikina ama mkimzingua aende kule kwa Kafulila yaani CHAUMA.

Tangu lini ukawa mwanaCCM wewe?,acha unafiki Mkuu wewe endelea na hukohuko ulipo acha kudanganya watu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom