Should CHADEMA Fire Zitto?

Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.
Unapenda kufukuza fukuza watu jifunze kuishi na mwenzako hata akikosea.

Mecelela na G53 ndani ya ccm je alifukuzwa na mwalimu au yupo mpaka leo.

Zitto hatafukuzwa chadema na sipendi itokee hiyo tuishi kwa kuvumiliana.
 
Kufukuza Zitto ni kuiua CHADEMA maana watabaki wachagga na vibaraka wao tu! Zitto angalau analeta-balance!
 
Zitto Zuberi Kabwe, pandikizi, masalia leader, manassm, ataondoka mwenyewe!!! Chezea nguvu ya Umma wewe!! Atajikuta tu amebaki peke yake!!!!
 
Isije kuwa nawe umetumwa................... hili swala la masalia John Mnyika alishalitolea tamko
 
Last edited by a moderator:
Wengine wanapenda wafukuzwe ili wapate cha kusema. Asifukuzwe mtu ila tupate muda wa kuwakanya!
 
mie wala sioni haja ya kubishana na wewe kwa kutukanana, napenda kumheshimu mtu hata kama simjui kwa sura ila nikwambie tu hoja hushindaniwa kwa hoja na wala sio matusi. halafu kama mie kuonyesha mapenzi kwa zitto ni kununuliwa wala sikatai nimenunuliwa ila na wewe pia umenunuliwa, tofauti yangu na yako ni kwamba wewe umenunuliwa na wabakaji wa demokrasia na mimi nimenunuliwa na wananchi wapenda demokrasia wa nchi hii.
 
Mkuu haina Haja ya kumfukuza Mchawi mpe mwanao amlee!Sasa Jamii inamjua kuwa ni wa rangi gani.😛op2:
 
MemberArray


Join Date : 20th December 2010
Posts : 98
Rep Power : 425
Likes Received21
Likes Given76



Hata kama mpo kambi tofauti, kufukuzana si tiba ya tatizo. Zitto bado ni mtu muhimu kwa watanzania na CDM vilevile. Kama kuna makosa, ni vizuri kuwekana wazi na kujenga umoja wa chama kwanza ndipo wanannchi tuwaamini na kuwapa ridhaa ya kutuongoza kiserikali. Kaeni meza moja kwanza, kwanini mnamuogopa Mh.Zitto??

 
Zitto kabwe hagombee ubunge tena anautaka urais ila namuomba atuambie ninani anataka aongoze jimbo maana hawa ADC hapa kigoma ni hatariiiiiiiiiii wameshabeba vijiji takribani vyoteeee zitto imarisha chama jimboni kwako achana na hao wapiga kelele
 
Ndiyo wakuu! Heshima kwenu! Natambua uwepo wenu hapa JF. Ninaomba kukishauri chama changu cha CDM kumtimua Zitto haraka. Sababu zifuatazo:-

Mosi siku zote amekuwa mtu wa kuanzisha chokochoko na asiyeeleweka. Katika nafasi yake aliyonayo katika chama alipaswa awe mtu wa kukijenga chama siyo kubomoa. Kwa MFANO:- Wakati chama kinapambana ili kulinyakua jimbo la Arumeru mashariki kwa Joshua Nasari Zitto akaona ili kukivuruga chama aufanye huo ni muda wa kukivuruga chama kwa kutangaza kugombea Urais.

Pili huwa hashiriki katika kazi za chama kikamilifu. Siku zote amekuwa akionyesha kushiriki shughuli za chama kwa manati.

Tatu, amekuwa akipingana na maamuzi ya chama Tena waziwazi. Akiwa kama kiongozi alipaswa awe mstari wa mbele kupigania na kuyatetea maamuzi ya pamoja ya chama. Kwa mfano siku ile bungeni wezake wanatoka kwa kuonyesha kutorizika na matokeo yaliyompa ushindi kiwete yeye hakufika kabisa bungeni kuonyesha kutokubaliana ma maamuzi ya chama.

Nne, ana makundi ya sirisiri ndani ya chama yanayolenga kuwabomoa wapinzani wake kitu amabacho kinaweza kuvuruga chama pia

Tano, Mshirikina. Siku zote uchawi ndiyo limekuwa tumaini lake. Si mara ya kwanza kwa huyu ndugu kusema ameaga kwao................ Hizo zote ni tambo za kishirikina. Katika karne hii hayo mambo ya kishirikina yamepitwa na wakati.

NB:- Wamekuja wakina Pro. Safari ndani ya muda mfupi wamekisaidia sana chama lakini zitto ana lengo la kukivuruga chama. Naomba zitto atimuliwa.

Lazima utakuwa mwigugugulu wewe maana umewachanganya sasa unafikiri watafarakana, kumbuka Ibilisi hana nafasi CDM. ZZK atakuwa CDM na ataheshimika kama viongozi wengine period
 
Ni utoto tu, akikua ataacha...

Lakini mbona kuna mikubwa mizima nayo ina matatizo..kama yule mbunge wa Maswa....Hiyo ndiyo ya kutimua
 
Haina ubavu labda nyie wakuja chadema na wale wenye kadi mbili mbili ya chadema na ya kule kwa zamani ndio muondoke mumuachie yeye na mbowe chama chao kilichowalea na kuwakomaza kisiasa!wao hawana wala hawajawahi kuwa na kadi ya chama kingine zaidi ya chadema!
 
Asifukuzwe bali apewe anachokitaka ili chama kitulie. akitoka yule mnyukano utakuwa mkali sana ili kuokoa chama kisife. M4C itakufa tuanze kazi ya kulinda wafuasi wake wasikivuruge chama
 
Nani ana njaa wewe kama siyo ****?Hujui watu usi assume kijinga.
Wewe una njaa mpaka kwenye kope za macho unatumiwa mpaka hujielewi unaongea kitu gani!
Chama


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Akesha fukuzwa ili iweje na utapata nini kuvumiliana na kukosowana katika chama ndio jambo bora sio kufukuzana au kwa kuwa nafsi yako imemchukia zito ndio afukuzwe watafukuzwa wangapi kwani hakuna alie msafi hapo CDM
 
Hapa chadema ilipo ni juhudi binafsi za Zitto na Dr Slaa mbona wakati ule hamkusema wakati wengine bado wanavaa nepi???kama Nassari na wengineo???

Sioni tatizo la huyu bwana kusema anautaka uraisi safi sana ni ndoto zake nzuri keep go on ili siku moja ukakae magogoni mbn Jk wakati ule alikuwa anautaka uraisi alipewa??si alipewa maelekezo tu?

Kusema anautaka uraisi sio 2015 ni for future anajiandaa tu wadau japo kakomaa lkn bado!binafsi sioni tatizo la Zitto kapambana mpka hapa leo CDM ilipo au mnataka wabaki kina mangi tu?????acheni hizo bana!Zitto ni jembe ambalo mpaka kesho CDM inalitegemea!!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom