Kwani hawezi kugombea kupitia ADC?Mbona nasikia kinaanza kuwa na nguvu huko Mwandiga?Ama kama wewe ni cuf ama ccm kwanini usimwombe aje huko kugombea?Ama mbona hugusii kuhusu CHAUMA?Heck The Boss amemshauri afunguwe chama chake!we bado huoni tu?Duh!Usitype just because una vidole na mbele yako kuna kifaa cha kutype na wewe unabonyeza tu........
hamtaki ZZK afukuzwe CDM? loh! kwanini nyinyi watu wa NYINYIEM mnamtetea sana ZZK?????
Kwahiyo suala limekuwa sio kuombwa tena? je kwanini iwe Zitto aanzishe chama? Kwanini isiwe slaa? Kama wengi mnavyotaka kubainisha slaa anakubalika kwa nini yeye asianzishe chama chake? mtaji wa wanachama na mtandao anao kama wengi mnavyodai lakini kwasababu halina ukweli ndio sababu anan`gang`nia Chadema na kuwapikia majungu na fitina viongozi wenzake; mkuu hizo propaganda zenu ongeeni kwenye mbege; Zitto anakubalika na ndio sababu yupo na ataendelea kuwepo Chadema; slaa ni pepo za kusi tu hazimzuii mvuvi makini kuingia baharini.
Chama
Gongo la mboto DSM
CC: Ritz; Mohamedi Mtoi; Mwita Maranya; Matola; Pasco.......
Mkuu JMushi, mimi nilipost baada ya kija ya kumfire ZZK ilipobuliwa upya jana, kabla haijaunganishwa na hii ya kwako.Mkuu hii thread ilikuwa hapa kabla ya hayo mambo ya Ben na Masalia kuwekwa wazi humu jukwaani. Soma bandiko la kwanza utaona update.
sasa kama Zitto akifukuzwa CDM itagawanyika mapande mawili hamuoni huo utakuwa mtaji mkubwa kwa CCM? kwanini nyinyi watu wa CCM mnamtetea asifukuzwe ikiwa akifukuzwa CDM itasambaratika?? chama naomba unijibu.
Mkuu Palali, kuna tofauti ya mtu akifa na akifukuzwa!. Kama Marehemu Wangwe angefukuzwa na angalikuwa hai, Chadema pangejimbika!. ZZK akifa leo Chadema itasimama, lakini akifukuzwa, Patachimbika!. Just imagine the scenario ya Nyerere, ile kitendo tuu cha kumtompigia kura mgombea wa CCM, kimeacha legacy mpaka leo kwa Musoma kuchagua upinzania sio dhambi!. Thank God ametangulia, hivi CCM wangethubutu kumfukuza anajua nini kingetokea!.zitto akifa leo na CDM itakufa? Nyerere alipokufa na CCM ilikufa? ongelea chama kama taasisi Pasco.
Salute Mkuu Nnauye Jr, ni faraja ilioje tunapotembelewa ma wakuu wa level yenu hapa jukwaani siku kama ya leo. Huwa ninakuona ukipandisha tuu thread unatokomeaga, nakuomba uwe unajibu na hoja zenye mashiko!. Kuna baadhi ya maswali niliwahi kukuuliza kwenye thread zako za nyuma sikupata majibu, nikahesabu hiyo ni "ignore". Uwege unajibu hoja kama leo umejitahidi sana kushinda kwenye hii thread!.Pasco salute you kamanda!!!!
Salute Mkuu Nnauye Jr, ni faraja ilioje tunapotembelewa ma wakuu wa level yenu hapa jukwaani siku kama ya leo. Huwa ninakuona ukipandisha tuu thread unatokomeaga, nakuomba uwe unajibu na hoja zenye mashiko!. Kuna baadhi ya maswali niliwahi kukuuliza kwenye thread zako za nyuma sikupata majibu, nikahesabu hiyo ni "ignore". Uwege unajibu hoja kama leo umejitahidi sana kushinda kwenye hii thread!.
Merry X-Mass and prosperous 2013
Pasco.
hamtaki ZZK afukuzwe CDM? loh! kwanini nyinyi watu wa NYINYIEM mnamtetea sana ZZK?????
Tatizo ni kutaka kuibadili hii thread kuwa ni ya Dr Slaa.Wewe ni mwandishi sidhani kama litakupa shida kuelewa ama kuona kwamba inatakiwa ufungue thread yenye kuhusiana na hilo unalolisema kuwa ni ushahidi wa Zitto kutaka kuwekewa sumu.Mkuu JMushi, mimi nilipost baada ya kija ya kumfire ZZK ilipobuliwa upya jana, kabla haijaunganishwa na hii ya kwako.
Modes!, its good mnapoamua kuunganisha threads kutokana na kufafana kwa hoja ya msingi, nawaombeni sana pia muwe mnaangalia maudhui na kuiupdate kwenye hoja ya msingi, mfano sasa kuwa waliochangia humu based on hoja ya msingi ya JMushi. Lakini kwa vile sasa kumeibuka new reveletions za hawa masalia na hoja kufukuzwa kwa ZZK, ikaletwa tena based on this new evidence ya masalia, then itakuwa ni kuitendea haki kama kama utaiweka na hii new evidence as an update!.
Merry X-Mass
Pasco.
Duh wewew pasco ni mnafiki kweli juzi umesema mwenyewe kuwa ben saanane ni mwamba na katika mwamba Chadema itajengwa leo tena unamkandia wewe kweli una kazi maalum humu jf huwa unapima upepo hata kama si mwanasiasa lakini ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu kimsingi mimi huwa nakupuuza.wewe si mwanachadema waachie chadema masuala yao hayakuhusu mbona kuna masuala mengi tu ya kitaifa kuchangia mpaka kila siku ujadili watu tu jadili ideas usiwe muumini wa kujadili watu.Salute Mkuu Nnauye Jr, ni faraja ilioje tunapotembelewa ma wakuu wa level yenu hapa jukwaani siku kama ya leo. Huwa ninakuona ukipandisha tuu thread unatokomeaga, nakuomba uwe unajibu na hoja zenye mashiko!. Kuna baadhi ya maswali niliwahi kukuuliza kwenye thread zako za nyuma sikupata majibu, nikahesabu hiyo ni "ignore". Uwege unajibu hoja kama leo umejitahidi sana kushinda kwenye hii thread!.
Merry X-Mass and prosperous 2013
Pasco.
Mkuu Palali, kuna tofauti ya mtu akifa na akifukuzwa!. Kama Marehemu Wangwe angefukuzwa na angalikuwa hai, Chadema pangejimbika!. ZZK akifa leo Chadema itasimama, lakini akifukuzwa, Patachimbika!. Just imagine the scenario ya Nyerere, ile kitendo tuu cha kumtompigia kura mgombea wa CCM, kimeacha legacy mpaka leo kwa Musoma kuchagua upinzania sio dhambi!. Thank God ametangulia, hivi CCM wangethubutu kumfukuza anajua nini kingetokea!.
Kuna watu ni icons ndani ya Chama!, amini nakuambia ZZK ni mtaji mkubwa Chadema kuliko kiongozi mwingine yoyote, na ndiye one and only kwenye top brass anaya save faces ya Chadema kuonekana ni chama cha kitaifa vinginevyo...
Merry X-Mass and prosperous 2013
Pasco.
Na ikimfukuza, Itajuta zaidi!.
Ifukuze ZZK kwa kosa lipi?. The source ya yote haya ni yule snitch saa8!. ZZK amethibitisha hamjui na hajawahi kukutana nae!. Hivi ZZK angeamua kufa na mtu alimpa huyo snitch ile sumu ya panya ili amuua ZZK, leo Chadema ingekuwa wapi?.
Snitch ame confess humu jf kuwa walipanga mikakati kuihuumu Chadema!, mbona kwenye suala la sumu haja confess?.
Chadema is ZZK plus hao wengine, na hao wengine plus ZZK ndio Chadema!. Bila ZZK hakuna Chadema, na ZZK bila Chadema is equals to nothing, hivyo ZZK is there to stay!. Hakuna wa kumgusa, wa kumtingisha wala wa kumtishia nyau!.
Kama lengo ni kukisafisha chama, tuanzie juu kwa wapanga mauaji kwa kutumia sumu ya panya!.
Pasco!.
naamini cDM itafanya maamuzi hayo
Mkuu Elimu kwanza, hivi niliwahi kutamka popote kuwa mimi ni mwana Chadema?, kwa taarifa tuu, mimi sio mfuasi wa Chadema, sio mwanachama wa Chadema wala sio mshabiki wa Chadema, ila ndani ya Chadema, namkubali sana ZZK!.Duh wewew pasco ni mnafiki kweli juzi umesema mwenyewe kuwa ben saanane ni mwamba na katika mwamba Chadema itajengwa leo tena unamkandia wewe kweli una kazi maalum humu jf huwa unapima upepo hata kama si mwanasiasa lakini ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu kimsingi mimi huwa nakupuuza.wewe si mwanachadema waachie chadema masuala yao hayakuhusu mbona kuna masuala mengi tu ya kitaifa kuchangia mpaka kila siku ujadili watu tu jadili ideas usiwe muumini wa kujadili watu.