Manyi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 3,253
- 605
Jepesi asafishiki
Ni nani wa kumsafisha mwenzake?' manake naona wote ni wanchafu tu!
Jepesi asafishiki
Kitendo cha Zitto kuanzisha ID ya TUNTEMEKE na vijana wake wa Masalia kwa lengo la kuvuruga uchaguzi wa Arumeru ili Nassary asishinde ubunge kamwe hakitasameheka, hata kama mengine amesingiziwa ya kuanzisha chama na kikundi cha uasi lakin ID ya TUNTEMEKE imeichafua sana CDM humu jamvini na ni AIBU kubwa sana hata kwake Zitto kwa sasa kuona alichokuwa anafanya. Alitamani sana abakie mbunge peke yake wa CDM ili aendelee kupata sifa za kijinga lakini hajui kuwa CDM ni taasisi inakua na kuingiza wanachama wengi na hivyo suala la sifa za mtu mmoja limepitwa na wakati..
Wenzake kama Tundu Lissu wanasifikia kwenye kazi ya Ubunge na pia wanasifika kwenye kazi aliyoisomea ya SHERIA so hawana haja ya kuunda makundi au kutukana chama
Ipo siku ukweli utabainika.. Na ndipo hao kina saa 8 mtawaona choo
Nimekaa na kutafakari kuhusiana na haya yanayo mwandama muheshimiwa Zitto. Ukweli tuludi nyuma miaka ya 2005 hadi hapa tulipo, tunaona kuna nyakati tofauti Zitto amezipitia. Ndugu zanguni Je? Zitto wa 2005 na huyu wa leo ana tofauti ipi? Na je tofauti kama ipo, chanzo chake ni kipi? Tuangalieni waliyopitia Mabele Marando, Augustino Mrema na wengineo hayana tofauti na haya anayopitia Zitto ivi sasa. Jamani ndugu zangu tusiwe wepesi wa ku hukumu na kusahau fadhila, na kama kuna sehemu amekosea basi yatupasa kumsamehe na kumueleza alipo kosea na si ku mchafua kama baadhi ya mapandikizi watumikavyo kumchafua Zitto.
Kama serikali ya CCM ingekuwa makini kuwajadiri watu kabla ya kupewa madaraka, tusingekuwa na waziri mbumbumbu, asiyejua Tanzania ni muungano wa Tanganyika na ZanzibarHamchoki kuwajadili watu! Mnakazi kweli kweli!
Ni nani wa kumsafisha mwenzake?' manake naona wote ni wanchafu tu!
Anahubiri Democracy na Uwajibikaji lakini yeye mwenyewe haamini katika masuala ya democracy na kuwajibika, ikumbukwe kuwa Yeye ni naibu wa Kiongozi wa -ambi ya Upinzani Bungeni, lakini nafasi hiyo hakuipata kwa ridhaa ya anaowaongoza, bali bali aliamua kujichagua au kung'ang'ania, sababu wabunge anao waongoza walimkataa kupitia kura walizopiga, akaenda kulalamika kwenye Chama kupitia ule mkutano uliofanyika Bagamoyo lakini kikasema hakitaingilia suala hilo wala hakitalijadili, hivyo ni suala la Zitto mwenyewe kuheshimu maoni ya wabunge wenzake au lah.he has proven beyond reasonable doubt that he is not part of the m4c and therefore it would be wise to let him weigh this by himself, whether to quit or to stay. after all this guy has already declared that he will not seek for reelection as MP because he wants to be a president. I am sorry to say that he may only be good president for the "Wachawi Union"
yawezekana vipi kwa chadema kupambana na mafisadi iwapo itashindwa/kuogopa kuwawajibisha wasaliti wanaokihujumu chama?.....swali kutoka uraiani.
trust me, suala la wananchi wa kigoma na mtazamo wao juu ya zito ukiliangalia kwa polical evidence iliyopo utagundua kuwa hawamkubali na hana ushawishi kwao kama inavyosimuliwa, na ndiyo sabababu Chadema imeshindwa kuwa ngome au Chama kikuu kule, na ndiyo maana ukiondoa Kafulila wabunge wengine ni kama haziivi naye...,na kama mmepima umuhimu wa Zitto kwa wananchi wake kigoma
Utakuwa umekurupuka mkuu kwasababu umeandika kishabiki zaidi kama siyo kitoto.Yani kwasababu huyu katajwa basi na wewe unataja yule.
Jenga hoja mkuu usindike kama umeshikiwa akili.
pumba tupu!!!!
JF baada ya 2010 imejaa wajinga na wapuuzi no wonder hakuna issues tena zaidi ya CHADEMA, CCM, Zitto, Slaa na ujinga mwingine mwingi tofauti na kabla ya 2010 ambapo kilikuwa ni kisima cha maarifa.....