Nilipenda hii iwe poll, mods please if you can help on that I will appreciate. Kuna taarifa kuwa kikao cha kamati kuu ya cdm kitakaa,na pengine kujadili issue iliyopo inayohusiana na Mh kupokea rushwa akiwa kwenye kamati kama mbunge wa chama hicho.However kama tunavyojuwa, inawezekana ushahidi ukawa wa kimazingira tu,
Yaani ukawa si ushahidi wa kuweza kumfikisha mahakamani etc.Kwa wale wana CHADEMA humu ndani,mngependa kamati kuu ichukuwe hatua gani,je should they fire him regardless?
Ama should mh quit before it all becomes embarrasing?Kwa wanaotaka awe fired, usisahau kutoa sababu,na unayetaka awe spared, just do the same.
Update:Baada ya issue ya kina Ben Saanane na wengineo,ni vyema chadema wakakaa kikao cha kamati kuu kulizungumzia hilo jambo na kulimaliza once and for all!Hakuna sababu ya kuendeleza malumbano kwenye chama,hayo badala ya kujenga yanaharibu.Maneno yanayosemwa na hao wanachadema huwezi kuamini kama na wao ni wanachama wa chama hicho.Wapo ndani ya chama lakini wanahubiri kuwa chama ni cha kidini,kikabila na kikanda.Kamwe watu hao hawawezi ku coexist na viongozi wenzao na chama kikabaki salama,hilo haliwezekani.Wakati wa kufanya maamuzi magumu ni sasa,hilo litawafanya wapenzi wa chadema waweke heshima kwa chama na pia kufutilia mbali dhana ya kuwa na viongozi na wanachama wenye ushawishi kueneza chuki dhidi ya viongozi wengine na chama kwasababu tu ya kutaka madaraka.Pia kama imani ya kwamba viongozi fulani wanataka kumuuwa kiongozi fulani,imani hiyo ni ya hatari sana endapo jambo lolote litampata kiongozi huyo akiwa bado yupo ndani ya chama.Hivyo maoni yangu ni kwamba muyamalize as soon as possible.