Should CHADEMA Fire Zitto?

Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.
Hilo nakuunga mkono. Na me nilikua nalipinga sana zamani, ila sasa limeanza niingia akilini
Tatizo sio Zitto, tatizo ni wachagga na watu wa kaskazini wanataka kuwa na hatimiliki kwenye chama. Ila kura, wanataka za makabila mengine!
 
Nimekaa na kutafakari kuhusiana na haya yanayo mwandama muheshimiwa Zitto. Ukweli tuludi nyuma miaka ya 2005 hadi hapa tulipo, tunaona kuna nyakati tofauti Zitto amezipitia. Ndugu zanguni Je? Zitto wa 2005 na huyu wa leo ana tofauti ipi? Na je tofauti kama ipo, chanzo chake ni kipi? Tuangalieni waliyopitia Mabele Marando, Augustino Mrema na wengineo hayana tofauti na haya anayopitia Zitto ivi sasa. Jamani ndugu zangu tusiwe wepesi wa ku hukumu na kusahau fadhila, na kama kuna sehemu amekosea basi yatupasa kumsamehe na kumueleza alipo kosea na si ku mchafua kama baadhi ya mapandikizi watumikavyo kumchafua Zitto.

Tukupe kazi ya kumuelekeza. Ukifanikiwaa njoo tukupe Nobel prize
 
Tatizo sio Zitto, tatizo ni wachagga na watu wa kaskazini wanataka kuwa na hatimiliki kwenye chama. Ila kura, wanataka za makabila mengine!

Dah, pamoja na kuheshimu maoni yako, umejitahidi kupindisha mjadala kutupeleka kwenye mambo yasiyo na nafasi kwenye siasa za Tanzania. Ungekuwa kiongozi wa chama cha siasa nadhani wananchi wasingekuelewa
 
Kama wewe ni mwelevu, unaweza shindana na mpumbavu?
Ameomba msamaha hadi umuombee kusamehewa? Nani anamchafua? Kauli zake na viashiria vya vitendo vyake mwenyewe ndivyo vinavyomchafua. Kumbuka Sitta alivyojidai kumsifia Dr Slaa (kwa kauli yake kuwa "CHADEMA kuna kiongozi mmoja tu Slaa") mbona Dr Slaa alikanusha? Ingekuwa ni Zitto kahusishwa na kauli ya aina hiyo unatarajia angefanya alichofanya Dr Slaa?? Sijawahi kumsikia Zitto akikanusha madai ya yeye kuonewa ndani ya Chama, sijawahi kumsikia Zitto akikemea watu wanaomsifia yeye kwa kuchafua viongozi wenzake wa Chama, sijawahi kusikia Zitto akipinga kuungwa mkono na ccm has jina lake linapotumika kuwaponda viongozi wenzake wa Chama.

What do you say about all those???
 
Tutaendelea kubaki nyuma ya zitto hadi kieleweke! Hatutakubali hujuma dhidi yake kisa ni tishio kwa mbowe na slaa,tupo tayari kwa lolote na nyie wapuuzi na wakabila wakubwa nyie.Kilichopo sasa ni kuwa chadema inaendesha siasa za kikabila na kikanda waziwazi,huu ujinga ukome na tutaona
 
Nimekaa na kutafakari kuhusiana na haya yanayo mwandama muheshimiwa Zitto. Ukweli tuludi nyuma miaka ya 2005 hadi hapa tulipo, tunaona kuna nyakati tofauti Zitto amezipitia. Ndugu zanguni Je? Zitto wa 2005 na huyu wa leo ana tofauti ipi? Na je tofauti kama ipo, chanzo chake ni kipi? Tuangalieni waliyopitia Mabele Marando, Augustino Mrema na wengineo hayana tofauti na haya anayopitia Zitto ivi sasa. Jamani ndugu zangu tusiwe wepesi wa ku hukumu na kusahau fadhila, na kama kuna sehemu amekosea basi yatupasa kumsamehe na kumueleza alipo kosea[/COROR] na si ku mchafua kama baadhi ya mapandikizi watumikavyo kumchafua Zitto.

Utamsamehe vipi wakati hajakili kosa kuwa amekosea.?
 
Mawazo yako yanaweza yakawa mazuri kama utakua unaandika vya maana.
Nimeaga kwetu, na atakayethubu kunidhuru nyumbani kwao hata panya hatobaki. huyu aanzishe chama cha Washirikina kitamfaa zaidi.
 
Politics is just a subsidiary to Chaggas;

acha ukabila Masalia

BEN alisema "ukabila ni moja ya mbinu Masalia mlitumia ktk Pindua Mbowe 7[PM 7]

Tatizo sio Zitto, tatizo ni wachagga na watu wa kaskazini wanataka kuwa na hatimiliki kwenye chama. Ila kura, wanataka za makabila mengine!
 
Nimekaa na kutafakari kuhusiana na haya yanayo mwandama muheshimiwa Zitto. Ukweli tuludi nyuma miaka ya 2005 hadi hapa tulipo, tunaona kuna nyakati tofauti Zitto amezipitia. Ndugu zanguni Je? Zitto wa 2005 na huyu wa leo ana tofauti ipi? Na je tofauti kama ipo, chanzo chake ni kipi? Tuangalieni waliyopitia Mabele Marando, Augustino Mrema na wengineo hayana tofauti na haya anayopitia Zitto ivi sasa. Jamani ndugu zangu tusiwe wepesi wa ku hukumu na kusahau fadhila, na kama kuna sehemu amekosea basi yatupasa kumsamehe na kumueleza alipo kosea na si ku mchafua kama baadhi ya mapandikizi watumikavyo kumchafua Zitto.

Kumsamehe Msaliti? Unajua wasaliti ufanyiwa nini? Kama unasaliti chama utafanyia nini nchi?
 
Zitto hajakosea, bali ana weaknesses kama binadamu. Tatizo ni kuwa watu wanatumia weakness zake kumdhoofia, ili kuihujumu CDM...
Fikra zako bado changa sana.
Zitto kabwe anajua anachokifanya na wala sio madhaifu ya kibinadamu. Kwake ni Tabia mbaya katika siasa.

Shida ya Zitto kama ilivyo kwa Nape ni Tamaa, Fitna na Unafiki.
Huwezi kudumu kwa muda mrefu kwenye siasa za kistaarabu kama utaendekezeka hayo mambo.
 
Wewe ndio unaona upuuzi. Ben ni Pandikizi na itaji jidhihilisha siku si nyingi.
Bern ni tatizo kaka! Na ukweli tutaujua tu.Ila nashangaa wanaomshutumu mtu mmoja wakati ni mgogoro ambao Padri ameusimamia alafu anakaa kimya ili aonekane msafi. Nasema tena ukweli utajulikana tu.
 
Hili sakata la ben,zitto,mchange,mamuya na wengineo ni zito sana mie nimeliona linavyoanza na linavyoendelea,kwangu mimi ni mapema sana kutoa kauli ya kumuhukumu mtu moja kwa moja (pre-judgement) sababu hii kitu ndo kwanza imeanza.
Nasubiri kuona mwisho wake nani atamaliza,nani majeruhi na nani marehemu katika hili sakata.
Ni mara nyingi ishu kama hizi huwa zina mwisho wa kipekee sana,hivyo ngoja nijipe muda kwanza huku nikifuatilia kwa makini mtanange huu.
Narudia tena hii ishu naifananisha na mchezo wa DRAFT kila mtu anacheza na kila mtu ana kete.
NGOJA NIJIPE MUDA NAIMANI NITAFANYA HUKUMU YA HAKI.
 
Tatizo sio Zitto, tatizo ni wachagga na watu wa kaskazini wanataka kuwa na hatimiliki kwenye chama. Ila kura, wanataka za makabila mengine!

jamani msiwe na tendency ya kutumia kinyesi kujenga hoja! jaribuni kutumia akili tufike mahali sote kwa faida na mustakbali wa taifa letu!
kuihujumu chama siyo weakness bali ni makusudi kwa kazi maalum
 
Uongoz wa cdm unajua mgogoro uliopo ila umekaa kimya kumuacha ben saa mbovu atimize jukumu lake.Zitto nia yako ya kugombea urais,hawata kuacha ndo inazua yote haya, watakung'ang'ania mpaka utoke cdm.Kaza moyo utayashinda haya majaribu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom