Zitto hajakosea, bali ana weaknesses kama binadamu. Tatizo ni kuwa watu wanatumia weakness zake kumdhoofia, ili kuihujumu CDM...
Hizo weakness ameshindwa kuzikubali na kuzitendea kazi. Amekataa kuamini kuwa wanaompenda wanamwambia ukweli na badala yake hata ukipenda vipi kum-support unashindwa maana mambo anayofanya hadharani inaonyesha kabisa hata yeye mwenyewe haamini anachokifanya ila anasukumwa na mslahi fulani....He is not true to himself....Ni kazi zana kuficha kitu usichokiamini!
Tangu muda mrefu ZZK amepewa ushauri na watu mbali mbali na yeye utaona ana badilika kwa muda na mara kama vile anahamanika anarukia kufanya vitu vinavyo disappoint kupita maelezo....Hayuko consistent na wala hawezi ku-stick into something na ukategemea akaendelea kusimamia hicho anakieleza...Kila siku yuko kama kinyonga na kwavile hawezi ficha hisia ni rahisi kumsoma moyo wake uko kwa nani na kwanini.
Mimi ni moja ya watu waliovutiwa na ZZK, Mnyika, Mbowe, Lisu na Dr. Slaa katika uongozi wa CDM wa sasa wengine siwafahamu vizuri maana sijapata kuwa karibu nao so siwezi wajua misimamo yao. Lakini katika wote nimeweza kujenga imani kwa Lisu maana nilipata nafasi ya kumfahamu muda mrefu kabla hata ya ubunge wake through his wife Alicia...Hanifahamu but me I know his details siku nyingi sana na yuko very consistent na sincere na kila kauli anayoitamka maana ana maanisha hata kama atakosea but atleast he speaks his mind, Slaa also is my close person japo naye hanifahamu kabisa lakini I had many chances to study him through close friends tangu nikiwa mdogo sana na alipoondoka CCM kwa dhuluma aliyofanyiwa I was the happiest person kwani nilijua upinzania sasa unapata watu wenye guts; na Mbowe huyu tangu nikiwa A-level had chance to interact with him alipokuwa anakuja shuleni kwetu ....Very good hearted person na asiye penda kujivunia pia yuko very flexible...Mnyika yuko makini sana na inahitaji uvumilivu kuweza ku-predict tabia yake maana hakupi nafasi ya kumsoma kwa haraka so sikumwelewa kabisa na mpaka sasa bado nipo na question marks kibao juu yake japo kuwa zinaanza ku-turn positive maana kama ndivyo navyomfikiria basi is one of a person ambaye unaweza ukawa confidant kwake..Jambo moja nililopenda hakurupuki na wala si rahisi kumshawishi kwa haraka kabla hajajiridhisha kuwa you are a person to be trusted....Lakini ndugu yangu huyo ZZK hata kupenda ku-associate naye inabidi ujiangalie mara mbili mbili maana ni rahisi kuku-disapoint mapema so to keep such kind of people unatakiwa wawe comrades tu na mkifikisha malengo (common interest) you level back to your previous status na kila mmoja anachukua ustaarabu wake.
What point do I want to make...is gud to trust people lakini how can you trust a person ambaye hajakuonyesha trust? Na ndiyo shida aliyonayo ZZK na wanasiasa wengine....Watu wengi wanakuwa disapointed kwa maana wanakuwa wepesi kuwa persuaded badala ya ku-trust characters....You can cheat me for a first time lakini give me time to read your mind basi hutokaa ugombane na mimi maana I know how to keep with people. Siyo kila mmoja ni wakuaminiwa na wala siyo kila mmoja wa kufanya nao kazi kwa karibu maana kuna wengine unawachukulia walivyo na unawapa umuhimu wao katika nafasi wanayostahili.
Lazima kama raia tujifunze jinsi ya kuchukuliana na watu, kuna ambao pamoja na madhaifu yao tunawahitaji kwa vipaji vyao, kuna wengine ambao wanafaa kuaminiwa katika mambo nyeti mfano kwa sasa tunatakiwa kupata Rais atakayekuwa trustworthy kurekebisha madudu mengi ya nchi yetu..We should not just be persuaded na maneno ya watu bila kuwa na uhakika na character zao ndiyo misingi ya kuwa ana watu wenye records ambao unaweza kuwa evaluate na kuamini kuwa kweli this one even though at personal level he is not my friend lakini kama Taifa anatakiwa apewe hili jukumu kutusaidia tuweze kufikia sehemu nzuri; many of us tuko very much persuaded kwaajili ya ukaribu, urafiki, uswahiba u-comrades hata kama characters wise unajua kabisa though I like my friend lakini hii kitu hawezi kuhimili..Siyo kuwa unamchukia laa bali hata kama ni mama, baba ama mtoto wako you know he cant deliver..Then why keep such a person kwa ushabiki tu?