Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

wewe Arushaone mbona huimbi au hujui kuimba ndugu yangu?
 
Last edited by a moderator:
Mbona wajipange.......kama nawaona vile.Na hiv nina quality ya x factor teh teh!!!!!!!Nimewaaacha mbali sanaaaaaa
 
pole bestito wewe umo jamani nilisahau jina lako
kwani jaji akukuorodhesha hapo anza kutoa verse zako
samahani kwani karatasi ya majina ilipotea katika
mazingira ya kutatanisha

sawa nimekuelewa dia. Ngoja ntarudi najipanga
 
ladyfurahia asante kwa kutambua uwepo wangu, nadhani majaji watakua fair, nitaingia na mapambio ninahakika yatawaburudisha wengi na nitapata kura za kutosha, zawadi nitagawana na wapiga kura wote pamoja na majaji, ikiwemo na wageni wote,(guests), nawatakia mchuano mwema , let the best man/woman win...
 
yani Ablessed nlishangaa kama sio kushtuka kabisa. Ila nimepata ufafanuzi
Huu mpambano ni mkali sana aisee manake washiriki karibu wote wako juu sasa hapa hata upigaji kura unakua mgumu kidogo. Itabidi wengine muimbe nyimbo za mchaka mchaka kama vile jumbe analia....,
 
sijui hata nichangie nini...
Anyway endeleeni tu nisije nikawahiribia siku bure
 
Back
Top Bottom