Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Huyu ndo yule mtoto uliyezaa na mume wangu
Naona kama wanafanana sana au ni hii miwani inakaribia kufa.
![]()
Ndo yeye unaona wanavyofanana
Hahahahahahaha huo ndio mpango mzimahahaaaa full kunisifia.........,hata kama nimekosea wapambe
nyie mnasifia tu
Sasa mbona huimbi sasaYani ni kopi raiti na baba yake
Sasa mbona huimbi sasa
Hapo ulipobold kwa bahati mbaya sikupaona . Ngoja nianze kupiga kura upya.sasa wewe muonekano wa sura yako unatia shaka kabisa sijui kama kura ipo
ngoja tuwaachie wananchi wao watakupigia hiyo kura
ila elewa kuwa "TUNATAKA SURA YENYE MVUTO WA MAHABA"
Kwahìyo me simo
Muharibifu Bujibuji nae yupo basi mademu kazi wanayo
Nashangaa mbona avator yako nzuri au anataka warembo wa namna gani jamani kwakweli itabidi uitishe maandamano ya amani.Kwahìyo me simo
Hapo ulipobold kwa bahati mbaya sikupaona . Ngoja nianze kupiga kura upya.
Bora umemtendea haki haya kazi kwake kumwaga vocal wapambe tupige kura.pole bestito wewe umo jamani nilisahau jina lako
kwani jaji akukuorodhesha hapo anza kutoa verse zako
samahani kwani karatasi ya majina ilipotea katika
mazingira ya kutatanisha
Yani ni kopi raiti na baba yake
Naona kama washiriki wamekimbia au sijui wanajiandaa manake nawasubiri siwaoni haya wapi Heaven on earth , Fixed Point , BAK , snowhite ......................sasa umepaonaeeeeeee!
ndo tunawataka zaidi kwani wanaleta mvuto wa uimbaji
wewe si unamuona mathematics na The hammer
wanavyojituma kule kiasia