Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

avatar63949_4.gif

umeona kiungo chako cha kufyatulia watoto kinavyokusuta?
Bujibuji unamafuta kaka angu wewe na utampata tu
 
Last edited by a moderator:
haaa! mbona unaniangusha bestito hujui kuwa pedeshee Mtambuzi ameshalipia kila kitu
imebaki tu msosi hasa misosejisoseji tu

Yupi umemkamata kwa leo atufungie idimba la kinyang'anyiro yaani amepata alama zipi hapa?
kwanza.......nabadilisha kabila. kuanzia kuwa chifu jaji natokea meneo ya mkoa wenye kilima kirefu africa!!!

pili.....ntatoa namba ya mpesa (kw apm tuu kwa wale wenye bahati zao) kwa ajili ya kudhamini majaji tupate matent au ukumbi, p.a system, maji, saluni, kulipia matangazo, usafiri, msosi na gharama zote zitokanazo.

ni hayo tu!
 
Last edited by a moderator:
ahahahahahahhahahaaaaaaaaa jamani

Katika maksi za leo wewe ndo unaongoza kuingia TOP20 YA CC
JIPIGIE MAKOFI TAFADHALI
we siwaangushi wala nini..........

familia yangu na ya mume wangu mtarajiwa figganigga wote watakuwepo

halafu niwaangushe AHHA WAPI!!!!!!
 
Nyie majaji mnafanya kazi kweli hapa mjengoni au ndo
mnaanza kulitafsiri hilo jina sio wewe uliyejaza fomu ya kuwa jaji
angalieni nisijewainua wengine wakawa majaji hapa

nami nimeandika hivyohivyo au nimekosea jina la baba'ako?
Duhh... Mwai uding'a tena??
 
haaa! mbona unaniangusha bestito hujui kuwa pedeshee Mtambuzi ameshalipia kila kitu
imebaki tu msosi hasa misosejisoseji tu

Yupi umemkamata kwa leo atufungie idimba la kinyang'anyiro yaani amepata alama zipi hapa?

majina yapo yametulia.....lakini .......kuna tatizo la kiufundi kidongo....nadhani burudani ziendelee mpaka patakapokuwa sawa
 
Last edited by a moderator:
hilo halina shida itabidi tumwite Invisible arekebishe
haya maerror ya kiufundi yanayojitokeza hapa
au nimwite Younger Master atusaidie kwanini jf
imekuwa hivi inaleta error 502 halafu haifunguki
majina yapo yametulia.....lakini .......kuna tatizo la kiufundi kidongo....nadhani burudani ziendelee mpaka patakapokuwa sawa
 
Last edited by a moderator:
bestito hawajakimbia wanajinoa zaidi
kwa ajili ya kesho leo aliyechukua maksi nyingi ni Heaven on earth
ndo kafunga dimba kwa leo na anayefuatia ni Fixed Point na wengine
wako kwenye danger zone ya kulip Ban mpaka kesho

Ila nimemsahau Baba V sijui alikwamia wapi huyu?

watu weweeeeeeeeeeeeeee ushukuriwe mpambe wangu Ablessed

sifa nyingi nazimwaga kwako na bado huo ni mwanzo tu
 
Last edited by a moderator:
bestito hawajakimbia wanajinoa zaidi
kwa ajili ya kesho leo aliyechukua maksi nyingi ni Heaven on earth
ndo kafunga dimba kwa leo na anayefuatia ni Fixed Point na wengine
wako kwenye danger zone ya kulip Ban mpaka kesho

Ila nimemsahau Baba V sijui alikwamia wapi huyu?
Asante sasa nimeelewa basi ngoja niondoke nitarudi kesho kuendelea na upigaji wa kura.
 
Back
Top Bottom