Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Wimbo wangu huu hapa naamini majaji watanitendea haki;
nakala kwa chama.

1. Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu, Tanzania,
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe,
Niamkapo ni heri mama wewe
Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote!

2. Tanzania! Tanzania!
Ninapokwenda safarini,
Kutazama maajabu,
Biashara nayo makazi,
Sitaweza kusahau mimi,
Mambo mema ya kwetu hakika
Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote!

3. Tanzania! Tanzania!
Karibu wasio kwao
Wenye shida na taabu
Kukimbizwa na walowezi
Tanzania yawakaribisha
Mpigane kiume chema wee.
Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote!

4. Tanzania! Tanzania!
Watu wako ni wema sana
Nchi nyingi zakuota,
Nuru yako hakuna tena
Na wageni wakukimbilia
Ngome yako imara kweli wee.
Tanzania! Tanzania!
Mola awe nawe daima.
 
Last edited by a moderator:
habarini marafiki wote humu mjengoni


ANGALIZO: Wasanii wanaosakwa ni lazima wawe na mvuto wa sura, (avatar)
huu ndo unaomata zaidi, wawe wanatawala jukwaa kiaina, wawe na uwezo wa uimbaji



Ladyf
MRATIBU WA CC MUSIC AWARD

kwa hapa nimeshindwa, sina mvuto wa sura hata kama ninaweza kucheza na jukwaa...! ubaguzi huu!
 
Haki ya Mungu......

Sasa huyu Jaji Mwaikimba, mbona ndio kocha wangu wa Ling'oma kule bwilando?

Poa nimetuma demo kwenye PM wakati napafom mitaa ya kati, nasubiri maamuzi yenu....

Ntaambatanisha picha na mashairi za hiyo pafomansi
 
Wimbo wangu huu hapa naamini majaji watanitendea haki;

1. Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu, Tanzania,
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe,
Niamkapo ni heri mama wewe
Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote!

2. Tanzania! Tanzania!
Ninapokwenda safarini,
Kutazama maajabu,
Biashara nayo makazi,
Sitaweza kusahau mimi,
Mambo mema ya kwetu hakika
Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote!

3. Tanzania! Tanzania!
Karibu wasio kwao
Wenye shida na taabu
Kukimbizwa na walowezi
Tanzania yawakaribisha
Mpigane kiume chema wee.
Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote!

4. Tanzania! Tanzania!
Watu wako ni wema sana
Nchi nyingi zakuota,
Nuru yako hakuna tena
Na wageni wakukimbilia
Ngome yako imara kweli wee.
Tanzania! Tanzania!
Mola awe nawe daima.

Umeiba mashairi yangu!
Kukuomba nikushirikishe ndio nimefanya kosa??
 
na huu mbesi wangu nilionao uuuuuuuuuuuuuuuuuuwih!
mnaijua sauti ya berry white?
ye ana asavali!
 
Last edited by a moderator:
ohoo sorry ni matatizo ya kiufundi hapa si unajua pedeshee Elli akumaliza kazi yake,
ila endelea kumpigia kura mkeo aingie katika TOP20 muhimu bestito
nimeona jina la wife wangu shansarie kwenye MMU! halijaandikwa vizuri...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom