Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

kaza buti mwana waambie wakupigie kura mmaana siye majaji
tunaangalia yupi ana vocal la kufa mtu
halafu mbona umekimbilia katika hela wakati siye tutatoa zawadi
ya kitu cha thamani ya sh 50m za kitanzania kwani utaweza kugawana
na mtu ni kitu hicho bestito

ladyfurahia asante kwa kutambua uwepo wangu, nadhani majaji watakua fair, nitaingia na mapambio ninahakika yatawaburudisha wengi na nitapata kura za kutosha, zawadi nitagawana na wapiga kura wote pamoja na majaji, ikiwemo na wageni wote,(guests), nawatakia mchuano mwema , let the best man/woman win...
 
toa kwanza korabo yako hapa kisha tutakwenda kwenye platform kukamua
ni vyema utoe wimbo wako hapa kama shansarie alivyotoa chorus yake
ili ujadiliwe na majaji na kisha upewe kura zake na mwisho ndo kupafomu
Are you understanding?
Hivi tunaimbia hapa hapa au tutaenda kule kwenye jukwaa kama diamond.
 
Last edited by a moderator:
mkuu sio kuchangia bali umepigiwa kura kule jukwaa la siasa umeonekana
kuwa na kura nyingi za kushiriki kwenye kinyang'anyiro cha kuwa msanii
bora wa TOP20 hivyo waombe kura wenzako huko SIASANI ili uwepo ktka
list hata hivyo umejiongezea kapoint maana umecomment
aksante
sijui hata nichangie nini...
Anyway endeleeni tu nisije nikawahiribia siku bure
 
hebu kaweke hapa ili majaji wakachuje kwenye list ya TOP20
tuone kama unafika peech na unatulia katika game
Usije ukafanya kosa ukanipa wakati nikakuimbia. Hako kabopifrendi kako utakaita kaka nakuapia.
 
ndio zinapigwa hewani kwa kumtaja huyo mhusika ambaye unaona anafaa kuwa
MSANII BORA WA CC 2013, pindi ukimtaja tu hapa majaji watachukua no yake
huyo mshiriki na kufanyia kazi ya mchujo wa wimbo, ndo maana tunawahimiza
watoe mistari ya nyimbo zao hapa ili tuzifanyie kazi.
Are you together?
kura zinapigwa hewani ama?
 
acha nimwite jaji Bujibuji aanze kazi yake maana naona mnakamua vilivyo
ila kwangu umepata alama ya 2 katika zile alama 7 nilizonazo hapa
ya kwanza kapata sansharie
congraturate
Wimbo wangu huu hapa naamini majaji watanitendea haki;
nakala kwa chama.

1. Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu, Tanzania,
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe,
Niamkapo ni heri mama wewe
Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote!

2. Tanzania! Tanzania!
Ninapokwenda safarini,
Kutazama maajabu,
Biashara nayo makazi,
Sitaweza kusahau mimi,
Mambo mema ya kwetu hakika
Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote!

3. Tanzania! Tanzania!
Karibu wasio kwao
Wenye shida na taabu
Kukimbizwa na walowezi
Tanzania yawakaribisha
Mpigane kiume chema wee.
Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote!

4. Tanzania! Tanzania!
Watu wako ni wema sana
Nchi nyingi zakuota,
Nuru yako hakuna tena
Na wageni wakukimbilia
Ngome yako imara kweli wee.
Tanzania! Tanzania!
Mola awe nawe daima.
 
Last edited by a moderator:
huwezi jua mvuto gani tunaouzungumzia hapa waache majaji wafanye kazi yao ndipo
utakapokuja kushangaa mwenyewe hapa kitakachotokea waambie
wana jf wakupigie kura kwa kutamka jina lako hewani
kwa hapa nimeshindwa, sina mvuto wa sura hata kama ninaweza kucheza na jukwaa...! ubaguzi huu!
 
hiyo demo itume hapa ili wanajf waone na majaji waone wafanye kazi yao
sasa ukienda huko pm si ndo mambo ya rushwa yatatokea bestito?
weka demo yako hapa na jaji Bujibuji Mwaikimba ni professional wa music
huyo unayemtaja wewe yaelekea ni fotokopi ya nduguye

Haki ya Mungu......

Sasa huyu Jaji Mwaikimba, mbona ndio kocha wangu wa Ling'oma kule bwilando?

Poa nimetuma demo kwenye PM wakati napafom mitaa ya kati, nasubiri maamuzi yenu....

Ntaambatanisha picha na mashairi za hiyo pafomansi
 
Last edited by a moderator:
huwezi jua mvuto gani tunaouzungumzia hapa waache majaji wafanye kazi yao ndipo
utakapokuja kushangaa mwenyewe hapa kitakachotokea waambie
wana jf wakupigie kura kwa kutamka jina lako hewani

umeshasema mvuto wa sura muhimu... wewe?
 
huko nilikowekwa ni pagumu lakin tatoka nipeni kura zenu manyimbo yote nayajua mimi
ukihitaji wimbo wamchana nibeep ntakupigia ukihitaji wimbo wa asubuhi ni sms ntaku sms pia,
ukiihitaji wimbo wa usiku nipigie ntakuitika nadhani kwa vibwagizo hivi (NAHITAJI KURA ZENU)
 
Back
Top Bottom