Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

usijali, utapangiwa sauti sawa na snowhite, utamwigilizia anavyoimba ndo hivyo hivyo....
sasa mama mchungaji huanzishagi hata mapambio? wewe ndo mama mchungaji wa kwanza kukutana naye hajui kuimba, lol!
Sasa si unajua mapambio mtu yeyote anaweza anzisha tu cha msingi waitikiaji wanapaswa kuwa moto. Tena ukizingatia ndio ushawatia moyo na moto wa kuimba lazima waimbe hakuna kuuliza mbona sauti inapanda na kushuka.
 
afadhali......
maana anaanza kujipa maksi mwenyewe, lol!
Halafu hili pambano sijui kama litakua fair manake kuna mikoa bwana wana vipaji vya kuimba mimi siutaji mkoa huo wenyewe wapo wanajua. Ngoja nijipendeke kwa snowhite nijue kuimba. Ingawa kuna issue alishaingia mitini hata hajawahi ikumbushishia.
 
Last edited by a moderator:
yaani inaruhusiwa kabisa ni wewe tu kuonesha manjonjo ya sauti yako
na mpangilio wa huo wimbo uliochagua kwani majaji wako hewani kuangalia
jinsi unavyojituma na unavyoweza kutitiririsha mistari humu mjengoni
KARIBU
na kwaya inaruhusiwa?
 
Back
Top Bottom