Sheria na taratibu za kufuata ili kuandaa pambano la masumbwi ni zipi? Kuna member watatu humu nataka niwadunde

Sheria na taratibu za kufuata ili kuandaa pambano la masumbwi ni zipi? Kuna member watatu humu nataka niwadunde

Muimba SINGELI

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
4,211
Reaction score
10,840
Bila kupepesa macho watu hao ni huyu jamaa anajiita Mume halali wa Ephen, mwingine ni huyu anajiita Mme Mwenza na watatu ni huyu secretarybird.

Tajiri Sina BAYA nataka niwakunyuge kisawasawa hawa, tena ulingoni tukaingia wanne kwa pamoja, mimi nitakuwa mwenyewe tu wao watakuwa wananichangia.

Sababu za kutaka pambano hili hao wenyewe wanazijua.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom