kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,066
- 8,126
Wakuu kuna sehemu nataka niachie ngazi ili kupata muda wa kufanya mambo yangu mengine.
Sasa wakati naplan kuondoka ningependa kujua sheria ipoje kwa upande wangu.
Je baada ya kutoa notice ya mwezi mmoja nitatakiwa kufanya kazi huo mwezi bila malipo au nikitoa notice tu inatosha na huo mwezi nitalipwa salary yangu.
Nime attach na mkataba wangu unavyosomeka kipengele cha termination.
Natanguliza shukrani.

Ukiacha kazi kwa kutoa notice 24 hours
Itabidi uwalipe mshahara wa mwezi mmojaa.
Ukitoa notice ya 30days watakulipa mshahara wako mwishoni baada ya siku 30 kuisha mfano leo tar 7 /10/2021 hadi tar 7/11/2021 ulipwe stahiki zako zote mfano salary,likizo kama hukwenda na zingine nyingi kulingana na mkataba wako.
Au unaweza kusubiri ukilipwa salary yako mwishoni mwa mwezi tar 28 au 29 unatoa notice ya kusema mwisho wa mwezi ndio itakuwa last day ya kufanya kazi
Hivyo ndio ninavyofahamu