Sheria inasemaje kuhusu kuacha kazi kwa kutoa notice ya mwezi mmoja?

kikiboxer

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
3,065
8,126
Wakuu kuna sehemu nataka niachie ngazi ili kupata muda wa kufanya mambo yangu mengine.
Sasa wakati naplan kuondoka ningependa kujua sheria ipoje kwa upande wangu.

Je baada ya kutoa notice ya mwezi mmoja nitatakiwa kufanya kazi huo mwezi bila malipo au nikitoa notice tu inatosha na huo mwezi nitalipwa salary yangu.

Nime attach na mkataba wangu unavyosomeka kipengele cha termination.
Natanguliza shukrani.

Screenshot_20211007-144923.jpg

Ukiacha kazi kwa kutoa notice 24 hours
Itabidi uwalipe mshahara wa mwezi mmojaa.

Ukitoa notice ya 30days watakulipa mshahara wako mwishoni baada ya siku 30 kuisha mfano leo tar 7 /10/2021 hadi tar 7/11/2021 ulipwe stahiki zako zote mfano salary,likizo kama hukwenda na zingine nyingi kulingana na mkataba wako.

Au unaweza kusubiri ukilipwa salary yako mwishoni mwa mwezi tar 28 au 29 unatoa notice ya kusema mwisho wa mwezi ndio itakuwa last day ya kufanya kazi
Hivyo ndio ninavyofahamu
 
"Learned brothers" bado nawasubiri maoni/ushauri wenu kwenye hii issue.
 
Ukiacha kazi kwa kutoa notice 24 hours
Itabidi uwalipe mshahara wa mwezi mmojaa.

Ukitoa notice ya 30days watakulipa mshahara wako mwishoni baada ya siku 30 kuisha mfano leo tar 7 /10/2021 hadi tar 7/11/2021 ulipwe stahiki zako zote mfano salary,likizo kama hukwenda na zingine nyingi kulingana na mkataba wako.

Au unaweza kusubiri ukilipwa salary yako mwishoni mwa mwezi tar 28 au 29 unatoa notice ya kusema mwisho wa mwezi ndio itakuwa last day ya kufanya kazi
Hivyo ndio ninavyofahamu
 
Wakuu kuna sehemu nataka niachie ngazi ili kupata muda wa kufanya mambo yangu mengine.
Sasa wakati naplan kuondoka ningependa kujua sheria ipoje kwa upande wangu.

Je baada ya kutoa notice ya mwezi mmoja nitatakiwa kufanya kazi huo mwezi bila malipo au nikitoa notice tu inatosha na huo mwezi nitalipwa salary yangu.

Nime attach na mkataba wangu unavyosomeka kipengele cha termination.
Natanguliza shukrani.

View attachment 1966803
Unatoa notice mwezi mmoja kabla. Then lazima ufanye huo mwezi mmoja wote hadi uishe. Unapewa mshahara wa mwezi mmoja. Then unasepa zako.
 
Mkuu asante sana kwa ufafanuzi hata mimi nilijua hivi pengine kuna maoni tofauti tusubiri.
 
Ukiacha kazi kwa kutoa notice 24 hours
Itabidi uwalipe mshahara wa mwezi mmojaa.

Ukitoa notice ya 30days watakulipa mshahara wako mwishoni baada ya siku 30 kuisha mfano leo tar 7 /10/2021 hadi tar 7/11/2021 ulipwe stahiki zako zote mfano salary,likizo kama hukwenda na zingine nyingi kulingana na mkataba wako.

Au unaweza kusubiri ukilipwa salary yako mwishoni mwa mwezi tar 28 au 29 unatoa notice ya kusema mwisho wa mwezi ndio itakuwa last day ya kufanya kazi
Hivyo ndio ninavyofahamu
Asante sana mkuu.
 
Back
Top Bottom