1) Ivi mavi pekee ndio uchafu?
Hapana.
2) Wanakua na uhakika gani mavi yote yameisha?
Hawana.
3)Yale mavi yanafanyiwa nini?
Yanaliwa kama tulivyoamrishwa kwenye biblia:
Ezekiel 4:12
And thou shalt eat it as barley cakes, and thou shalt bake it with dung that cometh out of man, in their sight.
Isaiah 36:12
Hath my master sent me to thy master and to thee to speak these words? hath he not sent me to the men that sit upon the wall, that they may eat their own dung, and drink their own piss with you?
4) Akiwa na govi anatairiwa na kuondoa utoko wote?
Bahati nzuri waislaam hukatwa govi wakiwa watoto, sijui nyie mnaobaki na magovi mpaka kufa, huwa mnatolewa utoko wote wakati wa kuzikwa?
5) Akiwa na ukurutu, nywele chafu nk nazo hukwanguliwa?
Hapana. Sijui nyinyi wenzetu maana naona huwa mnapakwa make up, sasa sijui ukurutu na m.a.v.u.z.i hutolewa vile vile?
6) Vp kuhusu wanawake? nani huwaosha? kuhusu hedhi? inatolewa yote?
Wanawake huoshwa na wanawake wenzao. Husafishwa kila kitu, na akiendelea kutokwa hedhi huyo hajafa, bado anadai.
7) Makamasi, je nao sio uchafu?
Ndio uchafu. Ukiwa hai au maiti ni uchafu, au wewe mwenzetu unayala?
8) Kama mtu alikua mshirikina na anamachale mwili mzima,,usafi wa kumtoa mavi unasaidia nini?
Sisi hupeleka maiti zetu zikiwa safiii. Ushirikina wake, ni yeye na mungu wake, akisha kufa sisi hatumuhukumu. Jee nyie mnaoshirikisha 3 in 1, inakuwaje?
9) Ivi mavi mbele ya Mungu ni machukizo?
Biblia inatufundisha unaweza kuyala (soma juu hapo), ustaarabu unatufundisha kuwa hata tukinya tunawe (sijui kwa nini). Sasa amuwa wewe, ustaarabu au biblia kuhusu mavi?
10)Wale wanaokufa na kuungua moto na mavi yao huenda mbinguni/Peponi?
Ikiwa wao wameungua moto, jee hayo mavi yao yatabaki?