FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
Mtumishi wa shetani ataheshimiwa na watumishi na wafuasi wenzake tu. Siyo wacha Mungu wala wastaarabu. Umri haukupi heshima ila matendo yako
Tuwache wafu wahukumiwe na aliyewaumba, sisi tuwahukumu wakiwa hai, tumeshindwa kuwahukumu wakiwa hai kwa kuwa watajitetea?