Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

Na leo ndio nimepata siri kwamba huyu Sheikh ubwabwa kumbe alizaliwa Bagamoyo.

Marehemu Sheikh Yahya Hussein kwa asili ni mtu wa Kigoma, Tanganyika. Ukaribu wao na Mkulu ni ktk masuala aliyosema Marehemu Sheikh Yahya ya kumpatia ulinzi wa 'ziada' mbali na ule wa serikali..
 
Kwahiyo wewe unaunga mkono huyu mchawi kutabiria binadamu wenzake vifo? aliwahi lini kuongea na mungu? na je majini yake sasa hivi yako wapi? huyu ni pepo mbaya, kifo chake ni GREAT RELIEF kwa Taifa

Yaani mijitu mingine imezaliwa ili iishi kwa visasi. Ni relief kwako wewe unayeamini siasa za elimination. Wewe ulivyo myopic unadhani kila anayemkosoa au kukosana na Slaa basi huyo ni adui wa umma. Mshauri aaznishe dini yake ili mumuabudu maana naona kila atakachokuambia basi kwako ni kama gospel truth!
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

SALAMU ZA RAMBIRAMBI ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE KUFUATIA KIFO CHA SHEIKH YAHYA HUSSEIN

DKT = dikteta?
 
Sasa, nafasi ipo wazi kwa mh.shibuda kugombea urais!!
 
You fully seem adolescent yourself for you can not read between the lines. Yahya said "Kikwete's contestants would die".

Who were his contestants?? It was clear through out the election time that all the opposition parties were in favor of CCM fronted by Kikwete. They also openly criticized CHADEMA in all ways, you also know this unless you are adolescent.

So who were Kikwete's contestants? of course, CHADEMA. Who was the candidate? Of course, Dr. Slaa. So who was to die? Of course not CHADEMA, it was Dr. Slaa. So huu sio ushabiki wa kitoto ni kutumia akili kidogo tu ku-analyze mambo and you get to the right answer.

Kwani wewe ulitaka mpaka Yahya Asema na majina ndo ungeelewa, ahaa! kama ni hivy iko kazi. Hata mafumbo ya Darasa la NNE kaka haukusoma???

This really is an adolescent reasoning. Wewe ni mtu wa aina gani unayefurahia kifo cha binadamu mwenzio? Mbona una tabia za kigaidi? Lakini nikukumbushe kwamba waliomping Slaa kwenye ucahguzi uliopita walikuwa zaidi ya watano. Hakuna popote ambapo mnajimu huyu alisema Slaa atakufa. Ushabiki wa kitoto tuuu!
 
You fully seem adolescent yourself for you can not read between the lines. Yahya said "Kikwete's contestants would die".

Who were his contestants?? It was clear through out the election time that all the opposition parties were in favor of CCM fronted by Kikwete. They also openly criticized CHADEMA in all ways, you also know this unless you are adolescent.

So who were Kikwete's contestants? of course, CHADEMA. Who was the candidate? Of course, Dr. Slaa. So who was to die? Of course not CHADEMA, it was Dr. Slaa. So huu sio ushabiki wa kitoto ni kutumia akili kidogo tu ku-analyze mambo and you get to the right answer.

Kwani wewe ulitaka mpaka Yahya Asema na majina ndo ungeelewa, ahaa! kama ni hivy iko kazi. Hata mafumbo ya Darasa la NNE kaka haukusoma???

That is your own naive assessment of events. Kama unadhani opposition ni CDM pekee, huo ni ubutu wa mawazo ambao wengi wenu mnao. Kwa hiyo jinsi mlivyo superstitious, mkaamini maneno ya kinajimu?
 
Yaani mijitu mingine imezaliwa ili iishi kwa visasi. Ni relief kwako wewe unayeamini siasa za elimination. Wewe ulivyo myopic unadhani kila anayemkosoa au kukosana na Slaa basi huyo ni adui wa umma. Mshauri aaznishe dini yake ili mumuabudu maana naona kila atakachokuambia basi kwako ni kama gospel truth!

Jibu hoja mkuu wacha jazba, kipi ambacho nimekisema si sahihi au nimepotosha kuhusu huyu mchawi aliekufa? mbona usemi majini yake nini hatima yake? na si hatari hayo majini aliyoacha kwa usalama wa raia? na yale majini aliompa Ris wetu nani atayacontrol?
 
Sawa haikuwa VISION ya CCM lakini ilikuwa silaha ya CCM used to fool people. Ni CHADEMA pekee ambayo ilikataa waziwazi unajimu wa YAHYA, CCM haikufanya hivyo hata aliposema kuwa atamwongezea Kikwete ulinzi Kikwete hakuwahi kukanusha hilo. Yeye kama Kiongozi unaophusishwa katika ushirikina mbele ya umma unaouongoza halafu ukanyamaza kimya maana ake nini? Kama haushiriki au kukubaliana na kilichosemwa au hata kukiamini.

kama kumpinga Dkt Slaa ni kumpinga Mungu na unaweza ukafa ukimpinga slaa,NASEMA KAMA SLAA NDIYO MUNGU MM NAMPINGA,NA NIKO TAYARI KUFA KWA AJILI YA KUMPINGA SLAA,achen mawazo ya kitoto,CCM haiwezi kufa kwa kifo cha Shekhe Yahaya,kwani maisha ya Shekhe Yahaya haikuwa Vision ya CCM.
 
I really like you for you are good at knowing self-reflective phrases, "Naive assessment".

Anyaway, I take it. Since you classify mine as naive assessment, to your opinion who visibly demonstrated oppositional practices in words and action during and after the election. I believe in answering this you will try to broaden your understanding and thoughts so that you are fair to your-own answers, don't tell me about the registered parties, I am talking about practical demonstrations as an opposition part.

That is your own naive assessment of events. Kama unadhani opposition ni CDM pekee, huo ni ubutu wa mawazo ambao wengi wenu mnao. Kwa hiyo jinsi mlivyo superstitious, mkaamini maneno ya kinajimu?
 
Kama kweli ziko timamu ni nani muumini mkuu wa unajimu kati ya CCM na vyama vingine? Mbona unaongea bila kufikiri vizuri point zako kaka. Utachemka na CCM maana imeoza kila upande kwani hakuna uozo ambao utausema CCM ikakosa kuwa kinara.

That is your own naive assessment of events. Kama unadhani opposition ni CDM pekee, huo ni ubutu wa mawazo ambao wengi wenu mnao. Kwa hiyo jinsi mlivyo superstitious, mkaamini maneno ya kinajimu?
 
kumbe kila kitu kinamfikia sio?ingekuwa taarifa ya umeme kukatika au watu kukpigika hataki kujibi anajifanya hajasikia kumbe anapata taarifa zote wajameni

Ndio kawaida yake kukaa kimya kwenye baadhi ya issues kama Mauwaji ya wananchi wa Tarime
 
Kuna mchungaji aliwahi kutabiri kuwa shekh yahaya hamalizi mwaka huu, naona imekuwa kweli ingawa hakuna ajuaye siku ya kufa mtu mwingine wala siku ya kufa yeye mwenyewe
Ni mch.gwejima wa ufufuo na uzima kawe.
 
kama kumpinga Dkt Slaa ni kumpinga Mungu na unaweza ukafa ukimpinga slaa,NASEMA KAMA SLAA NDIYO MUNGU MM NAMPINGA,NA NIKO TAYARI KUFA KWA AJILI YA KUMPINGA SLAA,achen mawazo ya kitoto,CCM haiwezi kufa kwa kifo cha Shekhe Yahaya,kwani maisha ya Shekhe Yahaya haikuwa Vision ya CCM.

punguza jazba mkuu sauti ya Mungu sio lazima itolewe na Mungu, wengi wanaamini sauti ya Mungu hupitia kwa Manabii wake. Slaa aweza kuwa mmoja wa Manabii wa Mungu. Ni kuelewa tu wala hutakiwi kucomplicate
 
Nenda Yahya Nenda nenda, nenda ututangulie,
Msalimie Amina, Amina mwana Chifupa,
Msalimie Kawawa, Pia salome Mbatia,
Nenda Kathibitishe, kama balali kafika

Mpe salamu Kitwana, Mwalimu hunto muona,
Nenda mwambie Kawawa, nchni imechafuriwa,
Nenda nimekutuma, hujifanye kutabiria,
husijifanye kutabiria, kuwa nchni imechafuka.

Kiswahili kinasumbua sana. Kuna haja ya kupita jukwaa la lugha. Matumizi ya h ni tatizo kubwa saana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom