Wajameni niko maeneo ya kinondoni, karibu na msikiti wa mtabani ambapo mwili wa yule aliyekuwa mnajimu maarufu unatarajiwa kuoshwa ikiwa ni maandalizi ya maziko hapo baadae mchana ktk makaburi ya tambaza. Fununu nilizozipata ni kuwa kuna idadi kubwa ya waosha imejitokeza kuuosha mwili huo. Nje ya msikiti watu wanadhani kuwa kujitokeza kwa idadi hii ni kutaka kuondoka japo napete moja kati ya yale mapete yavaliwayo ns sheikh. Wana jf, hizi fununu zaweza kuwa na ukweli?.
acha upupu wewe, nani alikuambia huyo sheikh ataoshwa Mtambani? Hakika vitu vingine huwa vinakera sana. ataoshwa msikiti wa tambaza na kuzikwa makaburi ya muhimbili sasa wewe unapoandika hizi habari unataka nini?