Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

Jk aongoza maziko ya sheikh yahya
 
Attachments

  • sheikhyahyahussueimaziko3.JPG
    sheikhyahyahussueimaziko3.JPG
    28.3 KB · Views: 59
  • sheikhyahyahussueimaziko2.JPG
    sheikhyahyahussueimaziko2.JPG
    40.3 KB · Views: 59
  • sheikhyahyahussueimaziko.JPG
    sheikhyahyahussueimaziko.JPG
    45.1 KB · Views: 66
Heshima kwako bitimkongwe,

Mambo ya wamisri yametoka wapi ?.Bado sijaona uvunjaji wa heshima kila mtu anaheshimu dini ya kiislam kama kuuliza swali ni kudharau dini yako nadhani hustahili kuwa JF.

Hapana Ngongo hapo juu post no 576 umeuliza masuala ambayo ni kweli unahitaji kujua, lakini hayo mengine yanaulizwa kwa kejeli fulani hivi.

Ya Wamisri ni kuhusisha na kusafisha 'sehemu za ndaní ya mwili'- mfano utumbo, moyo na kadhalika na ndiyo nikafananisha na hivyo. Ni kuonyesha kwamba hii haikuanza leo ilikuwepo zamani katika mifumo tafauti ya jamii.
 
bitimkongwe na Faiza foxy,

Kuna watu aina tatu wanapouliza swali uwafahamu. Kuna mmoja anauliza swali kwa kuwa anataka kujua (Huyu mjibu na mfahamishe aelewe), mwengine anauliza swali azidi kuamini kile anachokijua (huyu muongoze kwa ishara tu na dalili mpaka afikie anakopafahamu), wa mwisho ni yule anauliza swali lakini hataki kujua kiufupi anafanya kejeli na dhihaka (huyu mjibu kama faiza foxy yaani kwa kejeli na dhihaka) au mpuuze tu).

Marehemu ameshafariki na kuzikwa kama basi hamumuheshimu kwa elimu yake aliyonayo heshimuni basi umri wake wa miaka 89 ambao wengi wetu hapa ni bahati sana kufika maana ukimwi unawamaliza watu na maisha ya kisasa. Kama hamumuheshimu kwa umri wake basi heshimuni alikuwa mtu anayeongoza kundi la watu na baba wa ndani ya nyumba. Kuzungumza maneno ya kejeli na matusi hakumuumizi marehemu bali wale waliohai waliokuwa karibu nae. Tujifunzeni kuwa na adabu saa zengine heshima ni kitu cha bure.
 
Lakini baadaye imekuja kujidhihirisha kuwa kweli Kiwete ana TABIA ZA KIKE! KAMA MWANAMKE KABSAAAA!

Pole sana JKIWETE,sijui nani atakutabiria tena!
Huu ni mfumo dume wenye fikra mgando na zenye ubaguzi wa kijinsia....Kwa maandishi yako hujakamilika kama mwanaume. RIP Sheikh Yahaya
 
Mbowe,Nape,JK walikuepo kwenye mazishi na kupewa nafasi ya kuongea LIPUMBA vipi?
 
Huu ndo umbumbumbu juu ya mambo yafanywayo na watu wengine, kazi kukaririshwa kama kasuku: Egyptian mummuies walikuwa wakikamuliwa na kuoshwa ili waweze kuhifadhiwa kwa mda mrefu na ndo maana hata sasa wengine bado wapo museum. Je, huyu naye munamkamua ili mukamuhufadhi wapi? Si mnaenda kum-dispose pale kwenye dampo na kijiwe cha bangi-tambaza?. Nendeni shule mukaelewe namna ya ku-articulate issues na si imla ya mambo musiyojua maana yake.

Nakushangaa wewe Egyptologist unayejifanya kujua, mimi nimezungumzia mummification tangu hapo awali wewe unakuja na kuelewa namna ya kuarticulate issues. Kwani wao walikuwa hawadispose hata kama ni kwenye mapyramid?

Kaka wacha kuvamia vitu jaribu kusoma between lines.
 
I don't think kuna chochote cha kusheherekea na kama kawaida wapo wanaofikiria mchawi ni moja ya michango ya Taifa la Tanzania. Wananchi wengi tunakataa haya yote na mambo ya uchawi na efforts zozote zile kupeleka nchi yetu kwa kutumia ushirikina na makubaliano ya shetani.

Shehe Yahya ni mtanzania alie danganya watanzania wachache na kuharibu Taifa letu. The good thing hataweza kufanya haya tena, this is good news for our country. Walioachwa na mambo ya Shehe Yahya na hasa serikali na chama cha ccm. Hakuna Shehe Yahya tena na lazima mmbadilike, nani atamfufua Yahya kama alikuwa nabii wenu wa uongo?

Kikwete Atahudhuria kwenye mazishi ya mganga wake? Tunajua jk atakwenda na wangapi ccm wataongozana naye? Huko Tarime na Arusha jk aliona sio raia walikufa ila ni wadudu, Je Shehe Yahya ni binadamu muhimu sana kwa ccm? You bet it .....

"Kifo cha Yahya ni Ishara nyingine ya kufa kwa serikali ya Kikwete na Mabadilko ya Taifa letu"
 
Wewe kila mazishi unahudhuria??? Mbona husemi JK alienda kuhudhuria mazishi ya mama yake Anna Makinda Spika wetu wa bunge? Mbona huulizi Mkapa mbona hakuenda pemba kuhudhuria mazishi ya watanzania waliokufa kule pemba??? Acha udini wako huo!!!!
 
bitimkongwe na Faiza foxy,

Kuna watu aina tatu wanapouliza swali uwafahamu. Kuna mmoja anauliza swali kwa kuwa anataka kujua (Huyu mjibu na mfahamishe aelewe), mwengine anauliza swali azidi kuamini kile anachokijua (huyu muongoze kwa ishara tu na dalili mpaka afikie anakopafahamu), wa mwisho ni yule anauliza swali lakini hataki kujua kiufupi anafanya kejeli na dhihaka (huyu mjibu kama faiza foxy yaani kwa kejeli na dhihaka) au mpuuze tu).
Marehemu ameshafariki na kuzikwa kama basi hamumuheshimu kwa elimu yake aliyonayo heshimuni basi umri wake wa miaka 89 ambao wengi wetu hapa ni bahati sana kufika maana ukimwi unawamaliza watu na maisha ya kisasa. Kama hamumuheshimu kwa umri wake basi heshimuni alikuwa mtu anayeongoza kundi la watu na baba wa ndani ya nyumba. Kuzungumza maneno ya kejeli na matusi hakumuumizi marehemu bali wale waliohai waliokuwa karibu nae. Tujifunzeni kuwa na adabu saa zengine heshima ni kitu cha bure.

Nimekuelewa vizuri sana. Napenda kukufahamisha kuwa, ikiwa mtu ataniuliza chochote kuhusu dini yangu kwa kutaka kujuwa ntamjibu na kumuelimisha vizuri kadri ya uwezo wangu. Na pia, akija mtu kudhihaki dini yangu, ntamjibu kwa kudhihaki na karaha zaidi yake. Sisi si wakupigwa kofi tukageuza shavu la pili. Sisi ni jino kwa jino, jicho kwa jicho. Ataeuliza kiheshima kuhusu Dini yangu ntamjibu kiheshima zaidi yake na hali kadhalika atapouliza vingine.

Unaiona hiyo Avatar yangu? sijui ni wangapi humu JF waomjuwa huyo mwanamke? (si mimi huyo), na sijui ni wangapi wanajua ni kwa nini nimechagua Avatar yenye picha yake? Ntawajuza kwa uchache tu:

Huyo ni Mwanamke wa Kimerekani, aliyeamriwa na Judge mahakamani (alikwenda kusikiliza kesi ya mwanawe) avuwe hijab yake, akakataa! kwa kulinda heshima yake na cha zaidi ni kwa kulinda heshima ya Dini yake, Judge akamhukumu kumfunga hapo hapo, akakubali kwenda jela! lakini akamwambia siitowi hii Hijab, labda mnivue kwa nguvu. Huyo ndio mwanamke wa kiislaam, shupavu, hatetereshwi na yeyote, na humuogopa Allah pekee. She is my mentor and my role model. Anaitwa Souhair Khatib.
 
FaizaFoxy! Majibu yako kiboko.....changia basi na thread zingine....!
 
Zunguka zunguka utanikuta nimejaa tele, haa, unanchekesha!

Mshikaji wewe kiboko na hii thread! Hutaki ujinga......anyway nimejifunza kitu....heshimu imani ya mwenzako. Karibu kwenye siasa, mahusiano na yale mambo yetu ya kikubwa lol!!!
 
Bibiye jaribu kujibu maswali kistaarab kama yanavyoulizwa,usijifanye unajua saana lugha za mtaani na matusi,manake yatakushinda hayo.Nauliza;Hivi mnatumia utaalam gani kuyakamua hayo mavi ili mengine yasibaki na maiti awe msafi kama unavyodai?

Marehemu akishakufa mwili wote unakuwa hauna faida tena kwani mwili ni udongo tu. Roho ndiyo huenda kwa Mungu na huko huvikwa mwili usioharibika, huu mwingine hauna faida kwa wakati huo,Hawa wenzetu huamini huo huo mwili ndio huenda ndiyo maana huamini utaenda kuchapa wanawake kibao.
Ila tuachane na haya maana kila mmoja ana Mungu wake. Tusilazimishe miungu inayopatana na majini
 
bitimkongwe na Faiza foxy,

Kuna watu aina tatu wanapouliza swali uwafahamu. Kuna mmoja anauliza swali kwa kuwa anataka kujua (Huyu mjibu na mfahamishe aelewe), mwengine anauliza swali azidi kuamini kile anachokijua (huyu muongoze kwa ishara tu na dalili mpaka afikie anakopafahamu), wa mwisho ni yule anauliza swali lakini hataki kujua kiufupi anafanya kejeli na dhihaka (huyu mjibu kama faiza foxy yaani kwa kejeli na dhihaka) au mpuuze tu).

Marehemu ameshafariki na kuzikwa kama basi hamumuheshimu kwa elimu yake aliyonayo heshimuni basi umri wake wa miaka 89 ambao wengi wetu hapa ni bahati sana kufika maana ukimwi unawamaliza watu na maisha ya kisasa. Kama hamumuheshimu kwa umri wake basi heshimuni alikuwa mtu anayeongoza kundi la watu na baba wa ndani ya nyumba. Kuzungumza maneno ya kejeli na matusi hakumuumizi marehemu bali wale waliohai waliokuwa karibu nae. Tujifunzeni kuwa na adabu saa zengine heshima ni kitu cha bure.

Mtumishi wa shetani ataheshimiwa na watumishi na wafuasi wenzake tu. Siyo wacha Mungu wala wastaarabu. Umri haukupi heshima ila matendo yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom