Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,179
- 37,475
1) Si lazima , kwa anaekufa shahid hana haja ya kuoshwa ikibidi. Kwa kuwa somo la kuosha maiti kwa waislaam ni refu na ili nisiwaudhi wengine, nakuwekea hapa kink itakupa maelezo kamili, naomba tembelea hapo kama kweli wataka ilm: Authentic Step by Step Illustrated Janazah Guide
kwa maswali yako 2), 3), 4), 5) 6), yote yemejibiwa kwenye link niliyokuwekea hapo namba moja. Pitia huko,halafu kama hujapata jibu rudi.
Heshima kwako FaizaFoxy.
Shukran nimepata darsa haswa na nimeelewa.