Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

Kumbe nani alihusika? Mbona baada ya kuwakamata kuko shwari? Walijiua wenyewe sio?
Dini isitupumbaze kushabikia madhira ya wengine, kikubwa ni kushinikiza wapatiwe hukumu ya haki .....
Ingekua ruhusa NINGEKUTUKANA lakini nakustahi, usirejee tena kuandika upuuzi wako mpuuzi wewe,

JE UNAUSHAHIDI WOWOTE ULIMUONA JAPO MMOJA KATI YAO AKIFANYA AYO MAMBO AU AKIHAMASISHA HIVYO?

IKIWA SERIKALI IMESHINDWA KUTHIBITIHSA HIVYO MPAKA SASA, WEWE KAMA NANI UNATHUBUTU KUSEMA HIVYO..?
 
Baada ya wao kukamatwa na kubambikiwa kesi mauaji yakakoma.......hapa napo panafikirisha
Mimi ni mkristo lakini napenda kujua haya yafuatayo :
Kama hao masheikh ndio wametenda hayo mambo yote hapo juu, kwanini sheria isichukue mkondo wake wakahukumiwa badala yake kwanini wanawekwa kizuizini miaka yote hiyo bila kuhukumiwa? Haki zao za msingi ziko wapi?
My take :
Hao walikuwa wanapinga muungano wakabambikiwa kesi
 
Una uhakika kama wao ndio wamefanya hayo, sawa tuseme wamefanya hayo uliyoandika kwanini hawashitakiwi..

Hayo uliyoandika waliofanya ni wale wale wanaitwa "watu wasiojulikana"..

Makanisa yameanza kujengwa Zanzibar kabla hata Tanganyika hawajui huo Ukristo ni kitu gani, Ukristo umeanzia Zanzibar kabla kufika Tanganyika..

Unaandika kwa mihemko, hujui ulichokiandika
Hawajahusika wale ila baada ya wao kukamatwa vitendo vile vikakoma kabisa..hiki nacho ni kitendawili kingine kama cha kibiti
Itakuwa marehemu na waathirika wengine Wa yale matukio walikuwa wakijitendea wenyewe lakini magaidi hawa wamesingiziwa na kunyimwa haki zao hakika...
 
Masheikh wetu wamekamatwa ktk ukawala wa Kikwete kwa kuhoji uhalali wa muungano tu si jengine. huo ugaidi unaosema na ambao Uamsho walinasibishwa nao ni uonevu tu. Tukumbuke aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Mwingulu mchemba aliwahi kunakiliwa kusema kuwa Tanzania hakuna ugaidi. Iweje leo masheikh wetu wa Uamsho wanakamatwa kwa tuhuma ya makosa hayo? Ni dhahiri kabisa kuwa kuna chuki iliyo wazi dhidi ya waislamu na wazanzibari. Kipi Tz itapoteza kama watawaachia masheikh hawa? Hongera Sheikh Ponda.
Yale mateso kule zenji yalikuwa yakitekelezwa na nani?
Walipokamatwa yakakoma kwanini?
UHAMSHO WALIKUWA WAPI KUTOA WARAKA WA KUKASIRISHWA NA UGAIDI ULE ? WALINYAMAZA KIMYA MAANA YAKE WALIFURAHISHWA KWAKUWA WALIOUWAWA KWAO NI MAKAFIRI WENYE HAKI KUFANYIWA UNYAMA?
 
Kilatha wewe ni baradhuli na nge- m- se. Nafikiri hukuwa informed walipojkamatwa Uamsho na akili yako iko zero na inamtindio wa ubongo. hawa masheikh walikamtwa mwaka 2012 kule znz na wakaletwa T/ bara kwa mkoloni kwa ajili ya mateso wakati wa interrogation, walikuwa wakifanya mikutano ya kukosoa muungano huu bandia kitu ambacho inaelekea kimewaudhi watawala. Baada ya hapo wakakamatwa na kuletwa huku bara kwa mkoloni. Ukifuatilia kwa makini masheikh hawa waloteswa sana na kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji. Sasa yaelekea wewe unafurahia walivyofanyiwa. Kama wewe ungetiwa jiti la mk-u-ndu na chupa ungefurahi?
wewe ni mtu shetani unafurahia wenzako waaathiriwe kwa mabaya.
Wale walioteswa na kuuwawa na magaidi yasiyojulikana ilikuwa haki watendewe hivyo kwakuwa sio masheikh sio?
 
Halord,
Kama hakuna vitendo hivyo si kwa kuwa masheikh wamekamatwa.
Inawezekama ziko sababu nyingine.

Mahakama ndiyo yenye haki na ukweli.
Ni kweli mahakama yapaswa kutenda haki kwa MTU yoyote si masheikh pekee...
Wadhani ni sababu gani nyingine vitendo havipo tena baada ya kuwakamata?
UHAMSHO imewahi kugadhabishwa na vitendo vile kuwa si matendo ya haki dhidi ya ubinaadamu na kuwatoa kwenye madai dhidi ya uhusika wao wa kichuki?
 
Hawajahusika wale ila baada ya wao kukamatwa vitendo vile vikakoma kabisa..hiki nacho ni kitendawili kingine kama cha kibiti
Itakuwa marehemu na waathirika wengine Wa yale matukio walikuwa wakijitendea wenyewe lakini magaidi hawa wamesingiziwa na kunyimwa haki zao hakika...
Huoni kama hayo, ni mambo ya kupangwa, jiulize kwanini vile vitendo vya kiharamia vimekoma baada ya kukatwa hao Masheikh..

Kwani hao Masheikh ndio waliokuwa wakiingia mitaani na kufanya hivyo vitendo viovu? au wafuasi?

Masheikh wako ndani miaka 5 sasa, sasa jiulize kwanini Wafuasi hawaendelei na kuua, kuchoma Moto makanisa na uovu mwengine!!?
 
Ushauri wa bure, wazanzibari wote waususe muungano wafungashe kila kitu chao bara waende nchini kwao Tanganyika ijifunze kwa vitendo.
Kuukataa muungano kisha kujichimbia kwenye ardhi ya Tanganyika huku nanjilinji sijui unaukataa vipi..
Kwani baya hilo? Kwa taarifa yako hatutaki muungano. muungano huu ambao ndo unawatesa masheikh wetu umefikiwa kwa nguvu bila ya ridhaa ya wazanzibari. nyerere alitumia udhaifu wa karume wa kutokuoona the big picture na akamhadda kuwa atapinduliwa na akina abdulrahman mohammed babu, na akakubali kuingizwa mkenge. Nyerere alikuwa na intellectual capital kubwa na masikini karume hakujua kuwa znz kumbe ingemezwa kutokana na ujinga wake ule. ndo maana sasa tunasema tunahitaji rethinking ya mjadala wa muungano pekee ili wazanzibar tuamue kama tunatakai kubakie ktk mikono ya wakoloni wa tanganyika au tuwe kivyetu. Tuachwe tupumue.
 
Jiulize pia, kama wafuasi hawana wakuwatia hamasa unadani wataendelea?
Lini uliwahi wasikia UHAMSHO wakilaani matendo yale maovu dhidi ya wanadamu wenzao?
Sio kila siri yamfaa kila mfuasi zingine ni classified Info's.....
Kikubwa wahukumiwe kwa haki na UHAMSHO wajisajiri kama chama cha siasa chenye mrengo wa kidini mapambano yahamie siasani washike hatamu ya kimadaraka......hizi mbwembwe za dini haietwndewi haki hizi ziishe tu maana sisi wananzengo huku mbali na kuwa na hizi dini tunaona watanzania wote tu serikali haiwawajibikii kikamilifu sema ni vile watu wengine sio wazee wa kulalama wanapambana na hali tu ila UHAMSHO wanatizama opportunity saivi uchaguzi unakaribia wakilianzisha watapewa matakwa yao kiurahisi....
Huoni kama hayo, ni mambo ya kupangwa, jiulize kwanini vile vitendo vya kiharamia vimekoma baada ya kukatwa hao Masheikh..

Kwani hao Masheikh ndio waliokuwa wakiingia mitaani na kufanya hivyo vitendo viovu? au wafuasi?

Masheikh wako ndani miaka 5 sasa, sasa jiulize kwanini Wafuasi hawaendelei na kuua, kichoma Moto makanisa na uovu mwengine!!?
 
Baada ya wao kukamatwa na kubambikiwa kesi mauaji yakakoma.......hapa napo panafikirisha
Kama system ndio ilishiriki tutajuaje na mission ikawa accomplished!
 
Na makanisa yalichomwa na waumini waliodhulumiwa sadaka zao bila shaka...
Pia tindikali ilimwagwa na mdeni wa mmwagiwa tindikali hakika....
Haya mambo haya hatari sana
Kwa taaria yako padre alipigwa risasi na waumini wenzake waliodhulumiana mauzo ya pesa za madawa ya kulevya. Jiulize kwanini kesi ile haikuendelea? hata baada ya uchunguzi wa mchoro uliosadiwa na taifa kubwa? uchunguzi ulionesha kuwa ule mchezo ni dili za wao kwa wao. Padre kacheza mchezo mchafu. wakamfanyia kitu kibaya. Hata mimi sikubaliani namna alivyofanyiwa padre. Haikubaliki ktk haki za binadamu kwani padre alikuwa na haki ya kuishi, Znz tumeishi na wakristo tokea enzi na enzi bila ya kudhuriana, ni wamoja kwa kila hali, utamaduni, kuzungumza, kuoleana nk .
Kama huyajui uliza ufahamishwe.
 
Kuna siku nilikuja Tz nikawaona masheikhe wa BAKWATA kwenye gari nilitamani maaanina niwapige mawe wanaharamu wale. Inakera sana leo masheikh wa Uamsho wanasota jela mwaka wa saba huu na bakwata wapo hawajawatetea . Allah akawaingize motoni masheikh wote wa BAKWATA. Allah ampe maisha marefu Sheikh Ponda na afya njema azidi kuwatetea masheikh wetu wa uamsho.
Tafuta mabomu ukalipue ofisi zao hazina ulinzi mkubwa ili uingie peponi ukitetea haki......
 
Jiulize pia, kama wafuasi hawana wakuwatia hamasa unadani wataendelea?
Lini uliwahi wasikia UHAMSHO wakilaani matendo yale maovu dhidi ya wanadamu wenzao?
Sio kila siri yamfaa kila mfuasi zingine ni classified Info's.....
Kikubwa wahukumiwe kwa haki na UHAMSHO wajisajiri kama chama cha siasa chenye mrengo wa kidini mapambano yahamie siasani washike hatamu ya kimadaraka......hizi mbwembwe za dini haietwndewi haki hizi ziishe tu maana sisi wananzengo huku mbali na kuwa na hizi dini tunaona watanzania wote tu serikali haiwawajibikii kikamilifu sema ni vile watu wengine sio wazee wa kulalama wanapambana na hali tu ila UHAMSHO wanatizama opportunity saivi uchaguzi unakaribia wakilianzisha watapewa matakwa yao kiurahisi....
Wazanzibari sio watu wajinga, Wazanzibari wameishi na ndugu zao Wakristo wazawa wa Wazanzibar miaka nenda miaka rudi..

Zanzibar hususan Mji mkongwe kumeenea CCTV kila Kona, kitendo cha askofu kuchomwa visu kiliwasikitisha Wazanzibari wengi, kile kitendo kilifanyika karibu na Kanisa la minara mwili ambalo liko Mji mkongwe,

Serikali ilipoambiwa itowe video za ccctv walikataa, walipoambiwa wawaite wachunguzi kutoka nje kama vile FBI, SKOTLAND YARD walikataa..

Tafadhali usiandike vitu usivyovijua, tafadhali weka hisia zako pembeni, angalia uhalisia wa jambo hili

Vile vitendo vilivyotokea Zanzibar vilidhaminiwa na WASIOJULIKANA, kwa madhumuni ya kuleta Taharuki Zanzibar..

Kosa la UAMSHO ni kuwazindua Wazanzibari kuhusu Muungano, kupigania Zanzibar huru yenye mamlaka kamili..

Kama UAMSHO wana kesi ya kigaidi mbona hawashtakiwi..!??
 
UHAMSHO wajisajiri kama chama cha siasa nimesema hapo ili kuenda sawa kwenye ushindani wa kisiasa nchini tofauti na hapo ugaidi kwao ndio silaha ya kuwateketeza,
Wakristo ni wavumilivu sana na sio watu wa kulalama hata kama karne na karne wameendelea kuonewa hutowaona kamwe wakitembea na majambia kudai haki coz wanajuwa hakika wao ni nani katika ulimwengu huu na usioonekana hivyo ukimya wao haujustify kutotendewa haki na wenzao.
Nchi hii INA matatizo lukuki yanayosababishwa na udhaifu mkubwa wa kiuongozi na madhara yake ni kwa wananchi wote bila kujali dini wala itikadi zao, linapotokea kundi likihusianisha madhaifu ya serikali na dini zao hapo ndipo panatia shaka kana kwamba walio na dini zingine ndio pekee hula keki ya taifa kitu ambacho sio sahihi hata kidogo.....
Mungu huinua hata mawe kwaajili ya haki za wana wake aliowachagua yapigane kwa niaba yake.
 
Nimeona Mara kadhaa wakipelekwa mahakamani kwani wanapelekwa kufanya nini hao masheikh walioko mahabusu?
Mahabusu kuna kesi na washtakiwa wangapi wanaosota kule why special wawe hao?
Piganieni haki za watu wote wanaoteseka mahabusu, piganieni haki za watu wote wanaouwawa na kumwagiwa tindikali, piganieni haki za madhehebu yote yanayoharibiwa mali zao.
Kibiti waliuwawa viongozi na askari watu hawakutumia nguvu kulaani upuuzi ule mpaka walipoanzwa kukamatwa wapendwa wao ndio utetezi ukaanzia hapo kana kwamba waliouliwa awali hawana damu na nyama....desperate situation inahitaji desperate action kwa usalama wa taifa lolote ulimwenguni.
Hata siku UHAMSHO ikiwa madarakani ikiongoza nchi haitokaa iachie uvunjifu wa amani kwa namna yoyote ile iwayo......
Dini na siasa zinadumaza roho na nafsi za watu positive na negative ikitegemeana na kiwango cha mahaba aliyonayo mfia dini/siasa.
 
Pasco aliwahi kuja na ushauri mzuri kwa wazenji humu kuhusu muungano usio faida kwamba wote waondoke huku bara warudi visiwani waisuse Tanganyika wakapambanie kwao, kuupigania muungano batili kwenye ardhi batili maana yake wanaukubali kiaina na unawanufaisha kiaina ila wanataka fully madaraka tu...

Hivi wazanzibar wakiondoka wote Tanganyika ndio MUUNGANO utavunjika!!!!!??? Kwa mawazo haya kweli wazanzibar wanayo kazi ya kufanya hadi malengo yao yatimie.

Hivi watu kutoka nje wanaoishi Tanganyika ni wazanzibar Tu!! Au wote wanaoishi Tanganyika kutoka sehemu mbali mbali duniani nchi zao zimeungana na Tanganyika!!??

Kazi ya kufanya ipo!!
 
HAPA NAONA CCM WANATAKA KUTUMIA KETE YA KUWAACHIA KUONYESHA MAGUFULI NDIO SHUJAA! KUMBE ANAMUAIBISHA KIKWETE!
CCM wanakulana wenyewe kwa wenyewe
 
UHAMSHO wajisajiri kama chama cha siasa nimesema hapo ili kuenda sawa kwenye ushindani wa kisiasa nchini tofauti na hapo ugaidi kwao ndio silaha ya kuwateketeza,
Wakristo ni wavumilivu sana na sio watu wa kulalama hata kama karne na karne wameendelea kuonewa hutowaona kamwe wakitembea na majambia kudai haki coz wanajuwa hakika wao ni nani katika ulimwengu huu na usioonekana hivyo ukimya wao haujustify kutotendewa haki na wenzao.
Nchi hii INA matatizo lukuki yanayosababishwa na udhaifu mkubwa wa kiuongozi na madhara yake ni kwa wananchi wote bila kujali dini wala itikadi zao, linapotokea kundi likihusianisha madhaifu ya serikali na dini zao hapo ndipo panatia shaka kana kwamba walio na dini zingine ndio pekee hula keki ya taifa kitu ambacho sio sahihi hata kidogo.....
Mungu huinua hata mawe kwaajili ya haki za wana wake aliowachagua yapigane kwa niaba yake.
Waislamu wa Zanzibar ni wavumilivu sana, Ukristo ulianzia Zanzibar ndio ukafika Tanganyika,Kanisa la mwanzo Afrika Mashariki na Kati limejengwa Zanzibar

Kasumba, uchochezi wa kidini unaletwa na Serikali wanasiasa ili wapate kuwatawala wananchi kirahisi..

Wazanzibari bila ya kujali dini zao wanasherehekea siku kuu za dini zao pamoja bila ya kumjali tafauti zao

UAMSHO hawakusajiliwa kisiasa, lakini kama unakumbuka rasimu ya mapendekezo ya KATIBA mpya

kila Jamii ya Kitanzania iliingizwa katika mchaka to ule, hapo ndio UAMSHO iliingia kwenye siasa, kwani na wao walipata mwanya wa kuyazungumza yake wanayoyaona yako sawa kwao..

Tafadhali usijikite na kutia hisia zako kwa kitu usichokijuaa, kitu usichokuwa na Uzoefu nacho..

Au na wewe uko kama LUKUVI unaona Waislamu wote wa Zanzibar ni MAGAIDI?!
 
Back
Top Bottom