Pona
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 1,099
- 647
Kwa hiyo usahihi kibiti ni yale mauaji ya viongozi na askari? Ila serikali kushika hatamu na mauaji yakakoma sio sahihi?
Baada ya kuwapoteza wauaaji kuna mauaji yameendelea kibiti? Waasi na magaidi na wote waliowasapoti walipofanyiwa kazi Leo kuna amani kibiti lakini mliokuwa mnafaidika na madhira yale mnateseka sasa kwukuwa kumedhibitiwa...
Kuweni na huruma na wanadamu wenzenu, kushika madaraka si lazima kuua.
Sasa unaniuliza Mimi kama Kibiti kuna mauaji au hakuna mauaji yanayoendelea wakati mwenye mamlaka ya kutoa taarifa hizo ni polisi!?
Au leo umesahau kuwa waandishi wamezuiwa kusema jambo lolote linalohusu Kibiti!? Ukweli yanayoendelea Kibiti Mimi siyajui na hata wewe huyajui hadi tuwasikie police au serkali iseme.