Haya ni kwa faida gani?Huyu Sheik Ponda ange achia pale alipo malizia waraka wake kwa Raisi, ingekuwa na impact kubwa na hata Raisi au maraisi wote wange usoma au kumsikiliza wange litolea ufumbuzi wa haraka. Na hao masheikh InshaAllah wange achiwa - Lakini huyo Ponda akaanza kuharibu tena kana kwamba hataki hao masheik waachiwe! Anaanza kwa maneno ya kejeli. Ana tumia maneno kama Tanganyika, kudhihaki muungano, kudhihaki raisi wa Zanzibar, kuchochea waisilamu wachukie serikali na vingine vingi kujifanya mpelelezi na hakimu wakati huo huo! Kweli hasaidii hili swala zima. Mimi nilikubaliana na waraka wake. Japokuwa aliusoma kwa wasi wasi kana kwamba alishinikizwa na watu wengine ausome! Kwamba hakuhusika katika kuutayalisha! Au anayo maslahi binafsi? - kama hao masheik wakiendelea kusota ndani. Sheik Ponda huwatendei haki wenzio. Una fikiri wakitoka watakuzibia rizki?
Mimi ni Mgalatia lakini chukizako hapa zimepitiliza.
Kwani Kikwete aliewakamata alikua mkatolikiHili swala lilitakiwa limalizwe na Mzee Kikwete wakati bado yuko madarakani.
Kuliacha suala hili mikononi mwa wakatoliki lilikuwa kosa kubwa sana alilolifanya Mzee Kikwete!
Ni kweli zimepitiliza kwa sababu hakuna ndugu, rafiki yako au yoyote unaemjua alieathiliwa na vitendo vya hao mashekhe.
Wazungu wanasema ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya.
Wewe unajua na serikali inajua na kila mtu anajua kuwa hawa watu wa UAMSHO wako mbali kabisa na ugaidi na hata waweke ndani umri wao wote basi hawatawakuta na hatia ya Hilo kosa la UGAIDI
Kosa lao kubwa ambalo wamelifanya UAMSHO ni kuwaelimisha wazanzibar namna ya MUUNGANO unavyowadhulumu na kuwanyima fursa ya kupiga hatua ya kimaendelea
Sio kweli vyombo vya usalama vilishapandikiza watu ndani yao kama ilivyofanya Kibiti, hawakurupukiNikawaida ya hawa jamaa kutengeneza matukio na kuwabebesha jamii za kiislam!!!
Kosa lao kubwa ambalo UAMSHO wamelifanya basi ni kuzunguka katika VIJIJI NA VITONGOJI vya UNGUJA NA PEMBA na kuwaeleza watu UBAYA WA MUUNGANO WA TANZANIA
Ugaidi kweli upo na una kuwa sapoted na baadhi ya watu hawa, ugaidi ni unyama lkn pia hawa baadhi yao wamehusika sana kuchochea chuki, watu walikuwa wanamtukana sana Jakaya na kumtishia wengi wenu si watu wema.Dhulma imezidi kwenye nchi hii dhidi ya waislamu na viongozi wao wa dini
Pamoja na yote hayo sikatai lakini pia ukweli ni kwamba UAMUSHO wao kwa waislam ulikuwa sambamba na vitendo vya kigaidi dhidi ya wakiristo
Mfano kuchoma makanisa
Kupiga risasi mapadre
Kumwagia wakristo tindikali n.k na ndiyo maana baada ya kupelekwa huko rumande vitendo hivyo vikakoma mara moja.
Sio kweli vyombo vya usalama vilishapandikiza watu ndani yao kama ilivyofanya Kibiti, hawakurupuki
Kwa hiyo mnataka chama gani kitawale?Tutahamasishana misikitin na sehemu zote tumechoka
Makufar hamjawahi kuhisi aman bila kuwataja waislaam?Nilipowaona fayza fox na Mohamed Said asubuhi subuhi na habari ya TANU na waislamu nikajua tu leo kabla ya machwei kuna jambo tutasikia.
Sijui hata hiyo Eid wanakula muda gani!
Unamzungumzia ff na mzee Mohamed?!!Makufar hamjawahi kuhisi aman bila kuwataja waislaam?
Shekh posta amesoma waraka mzito kumpelekea Rais JPM ikulu dsm
Amiiin AlmarhumTunamuomba mungu na kufanya juhudi yataisha tu haya