Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,614
- 21,303
Akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania leo Septemba 07, 2026, Sheikh Issa Ponda amesema suala la muungano linahitaji kufanyiwa maridhiano.
"Kwa hivyo, jamii ya sasa, ndio hata tunapozungumzia G55, wao wanataka angalau hata hiyo nadharia iliyoelezwa ionekane, kwamba Tanganyika iwepo. Matarajio kwa mujibu wa nadharia hii ilikuwa ni lazima tuwe na ikulu tatu, tuwe na ikulu ya Zanzibar ambayo yuko Rais mzanzibari mzanzibari halisi, anakusanya kodi Zanzibar anaijenga Zanzibar, na tuna ikulu ya Tanganyika ambayo yuko Rais halisi Mtanganyika, anakusanya kodi Tanganyika anaijenga Tanganyika, halafu kwa pamoja hizi nchi mbili zinachangia katika kuendesha ile serikali ya muungano. Haipo. Hiki ndicho ambacho kizazi cha sasa kinafikiria juu ya suala zima la muungano, angalau ingekuwa na sura hiyo."
Source: The Chanzo