Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

UAMSHO my foot!! Toka magaidi Hayo yawekwe ndani na mhe Jakaya, Zanzibar kulitulia na mauaji ya mapadri, wachungaji na viongozi kukoma. Hata baba wa democracy duniani USA alianzisha Guantanamo ili ku detain magaidi without trial. Kuna wakati sheria huwekwa kando ili kuleta order Kwanzaa kwenye nchi.

Mauaji ya Mapadri Zanzibar yalichunguzwa na wachunguzi kutoka nje na ripoti haikutamka Sheikh hata mmoja na ndiyo maana katika mashitaka yao hao Masheikh hakuna kosa la kula njama kuua mapadri au kuua mapadri
 
Hili swala lilitakiwa limalizwe na Mzee Kikwete wakati bado yuko madarakani.

Kuliacha suala hili mikononi mwa wakatoliki lilikuwa kosa kubwa sana alilolifanya Mzee Kikwete!
Hivi Suala sio la Kikwete wala Magufuli.
Ni suala la CCM.
Siasa za CCM Zanzibar na sasa Bara ni siasa za Chuki kubwa sana sana.

Hata Kampeni za Mwaka 2015 ,CCM walizianya kwa Chuki sana.
Kumbukeni kifo cha Mawazo.
Na makamanda wengine wengi wa Chadema mbele ya vyombo vya Dola.
Angaleni wanayofanya UVCCM wakiongozwa Na Kheri mwenyekiti wao na MaRC, maDC na wakurigenzi batili na dhalimu.

Hakika ni dhulma tupu inayofanywa na CCM kwa kuwalatisha watawala na kuviaminisha vyombo vya dola kuwa bila CCM kushinda Nchi hii itaingia kwenye machafuko.
Wenye vyombo vya dola wanatii mana wanaona wakubwa watapoteza ugali wao mtam na mnono huku wananchi na watumidhi wa chini wakiumizwa na kuchukiana kwa hasira kubwa.

Siasa zilizojengwa na waasisi wa CCM zilishau kuwa hii nchi ina watu wasio na mirengo ya kisiasa.
Walijisahau na kuingiza Siasa mpaka kwenye dini. Kwenye michezo,kwenye biashara ,majeshi na kila mahali kwa lengo la kulinda madaraka yao ambayo wanayatumia vibaya kamatunavyoona bila kusimiliwa.

Hivyo kumlaumu Rais ni kumtwisha mzigo asiouweza peke yake.
Mzigo mzima umegubikwa na Itikadi ya CCM isiyoeleweka.
Tukimbuke kuwa Ujamaa ni chimbuko la Igaidi na Siasa za misimamo mikali.
JK kama Rais alitamani sana kututoa kweye Siasa za CCM za Misimamo mikali ya kusema kuwa chama kingine kikitawala wataingia Msituni.
Kwa hiyo yaliyokua yanafanyika yalikua yanafanywa na CCM WENYEWE kwa kujaza watu hofu kisha waje kama malaika watakatifu kuokoa walioko kwenye shida.

CCM wanatengeneza tatizo kwa siri kubwa giazani kisha wamamtumia Mkuu wa nchi kulitatua hadharani.
Tumeona mambo mengi yakifanywa na Makada wa CCM na serikali yake kisha wanajitikeza kujisafisha kama watu wema.
Korosho, Kikokotoo n.k.
Tujiulize ni vipi mabomu yalikua yanaingizwa Zanzibar na kuingia mikononi mwa watu binafsi na kutumika kushambulia mpaka watalii, makanisa na mapadri?
Na kwa nini yalikua yanafanyika wakati linapokuja suala la kupinga muungano wa serikali mbili.?

Kwa nini Dr. Mvungi naye alishambuliwa wakati wa kuzingumzia serikali tatu dhidi ya mbili za CCM.
Lisu alipigwa Risasi hadharani baada ya kukosoa Muungano na utekelezaji wa Sera za CCM na serikali yake.
Kwa nini mtu anapokua mwiba mkali juu ya Makosa ya waasisi wa CCM na serikali zao anashambuliwa na magaidi ambao sikua hizi wanaitwa wasiojukikana ?
Kwa nini sasa hivi wanaitwa wasiojulikana baada ya Mashekhe kuwekwa ndani?
Kwa nini wanaanza kutajwa magaidi ili kuwatia hofu wananchi na baadae wanashambuliwa wanasiasa wa vyama vya upinzani au wanaharakati ambao hawana hata fimbo mkononi?
Yupo wapi Azori mwandishi wa habari aliyekua anachunguza masuala ya mauaji kule kibiti? Mbona amepotea wakati magaidi walikua hawatajwi zaidi ya wadiojulikana?
Matendo Yale Yale ya kuteka na kuua na kutishwa watu yanafanyika kwa jina tofauti lakini inaonyesha kuwa watu ni wale wale!!
Kuna nini nyuma ya Pazia?
Kabala ya kumlaumu JK na sasa JPM ni vyema CCM na Makada wake wajitafakari ikiwezekana waiache serikali itekeleze majukumu yake bila kuingiza siasa za kuwatisha watu na kujengea watu hofu na Chuki kupitia UVCCM ambao ndio magaidi wanajiita wasiojulikana wakiongozwa na mwenyekiti wao na kuungwa mmkono na Musiba kada wa CCM na mmiliki wa nchi hii.

CCM ni vyema wakaamini kuwa nchi hii ni ya watu wote na yeyote anaweza kuchaguliwa na kuongiza Nchi kwa haki.

CCM wanapaswa kukubali kuwa kuna siku chama kingine kinaweza kikaongoza nchi na wao wakawa wapinzani na wananchi wa kawaida. Kujiaminisha kuwa ni wao tu hata kutumia nguvu ya mabunduki na majeshi na magenge yao ya mungiki na kumwagia watu tindikali na kuteka ni kujenga taifa la watu wasio aminiana kwa upendo .

Tunaona hata mataifa makubwa wanapotaka kuendelea kutawala dunia na uchumi wake wanafanya matukio ya kutisha sana na hata kuunda magenge ya kimafya.

Hakuna mtu binafsi anayeweza kuvamia Kituo cha Television na mabunduki halafu yule anayejaribu kuchunguza na kubaini ugaidi huo anatishwa na kufukuzwa kazini.
Tungeanzia hapo ili tubaini nani magaidi wa nchi hii na wanatengeneza hizo move kwa malengo gani na kwa faida ya nani!!

Wazanzibari wamejengewa Chuki sana kisiasa kupitia Misimamo mikali ya CCM.
CCM wanajigamba wazi kuwa chama kingine kikiingia madarakani watafanya mapinduzi lakini hawakamatwi wala kuhojiwa wala kukemewa. Ikiwa na maana kuwa wana silaha za kufanya mapinduzi hayo. Ndio maana hata hao mashekhe wanaoitwa magaidi hawajawahi kukamatwa wakiwa na silaha .

Kwa kifupi tu ni kwamba ni vyema CCM ikakubaliana na nia njema za Maraisi hasa mstaafu JK ,Shein na sasa Magufuli Ili nchi hii iwe na amani kama Dubai na Uswisi kwa kusimamia Lengo jema la Katiba ya wananchi litakapoletwa mezani na watanzania wakaongoza nchi yao kwa haki sawa bila kubaguana kwa mambo ya kisiasa na pia kufanya kwa vitendo kauli Mbiu ya Mh. Rais Magufuli ya Maendeleo hayana Chama.

Wazanzibari wenye Misimamo mikali na ya kigaidi ni CCM na sio taasisi nyingine yoyote. Kuna Makada wa CCM kule Zanzibar ambao kwao CCM ni Zaidi ya Mungu na kila kitu. Hao ndio wanaokwamisha juhudi za kufanya Zanzibar kuwa sehemu salama kwa kuishi binadamu asie na mrengo wa kisiasa na kidini.

Vyama Vyote hasa CCM ni lazima waeneze siasa za amani na Upendo kwa vitendo.
Upendo ni malango wa kujenga taifa la watu wenye amani na kutendeana haki.
 
Mimi nadhani hao magaidi huko gerezani wapo wanakula bata tu ugali, uji na maharage ya bure kabisa vitu ambavyo hawakustahili kabisa kuvipata

Wanachostahili ni KIFO tu wakatombe mabikra 72 .wapigwe risasi ya vichwa au wanyongwe hadi kufa.
@moderator baadhi ya maneno yaliyo katika post hii si ya kimaadili hebu naomba yafichwe
 
Kosa kubwa na pekee walilofanya UAMSHO kudai KUREJESHWA kwa MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR
Na Kwa hilo WATANGANYIKA jengeni MAGEREZA MAALUM ya kuja kuwafungia Wazanzibar lkn mapambano ya kudai Nchi hayatosita
MKOLONI MWEUSI zake zinahesabika
 
Nchi hii ukidai muungano sio halali jiandae with kufa ah jela
 
Wale ni magaidi sio mashekhe hakuna mashekhe wanaioijua dini ya haki ya uislamu wafanye haya

Kuchoma makanisa

Kuua mapadre

Kumwagia watalii acid
Mahakama gani imetoa hiyo hukumu
 
Kosa kubwa na pekee walilofanya UAMSHO kudai KUREJESHWA kwa MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR
Na Kwa hilo WATANGANYIKA jengeni MAGEREZA MAALUM ya kuja kuwafungia Wazanzibar lkn mapambano ya kudai Nchi hayatosita
MKOLONI MWEUSI zake zinahesabika
Shida yenu ili muwe na tiketi ya kuomba misaada tu si ndio??
 
Zeus,
Mbona unakuja na matusi?
Vipi tutafanya mjadala wa kistaarabu ikiwa unatukana?

Toka kesi za ugaidi zimeaanza hakuna hata mtuhumiwa
mmoja aliyekutwa na makosa.

Hili ni jambo la kufikirisha.
Wewe umekuwa hakimu na Jaji?

Mbona hujamtetea Rugemarila yupo mwaka wa tatu sasa

Wale mashehe kilichowamaliza ni itikadi kali

Kuhubiri chuki hapa Tanzania haikubaliki

Awe Askofu au shehe hawatakiwi kutuhubiria upumbavu wao

Wale mashehe ni malofa na wapumbavu hata akiwa mchungaji anaehubiri chuki ni lofa na mpumbavu
 
!
!
Oiii.... Wawateme Mashehe Wa, Watu Kama Hawana Makosa. Kuwashikilia Kwa Miaka Na Miaka Bila Hatia Sio Poa
 
Ni hatari zaidi kutumia mwavuli wa dini kuficha maovu.

Wanadamu hawaishi kumchukiza Mungu.
 
Nitashangaa sana kama kuna muislam anayeelewa dini yake vizuri akaipigia kura ccm mwaka 2020.Masheikh zaidi ya 2000 wapo magereza mbalimbali kama arusha kwa kesi za kubambika ugaidi
Yaliyokuwa yanaendelea arusha ilikuwa ni uvunjifu wa amani kipindi kile, kulikuwa na dalili ya wazi ya extension ya bokoharam/alshabab Tanzania. Sory to write in this way lakini ndo ukweli.
 
wangewapeleka mahakamani waangaliwe wana hatia ipi jamani.
Kwani wewe baada ya kukamatwa wao mbona machafuko hakuna tena??? Hatia wanayo na hawawezi kuachiwa maana itakuwa Balaa zaidiii... Yani wale mashekheee watafiaa Jelaaaa...!
 
Kwani wewe baada ya kukamatwa wao mbona machafuko hakuna tena??? Hatia wanayo na hawawezi kuachiwa maana itakuwa Balaa zaidiii... Yani wale mashekheee watafiaa Jelaaaa...!
sijui mambo ya sheria lakini hata ELCHAPO anajulikana kabisa ni muuza madawa lakini anapelekwa mahakamani au sio
 
Pamoja na yote hayo sikatai lakini pia ukweli ni kwamba UAMUSHO wao kwa waislam ulikuwa sambamba na vitendo vya kigaidi dhidi ya wakiristo
Mfano kuchoma makanisa
Kupiga risasi mapadre
Kumwagia wakristo tindikali n.k na ndiyo maana baada ya kupelekwa huko rumande vitendo hivyo vikakoma mara moja.
Ndio
 
Back
Top Bottom