Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

Hakuna chuki kwa waislamu, kami ni hivyo basi kuna chuki kwa wakristu pia maana mzee Rugemarila mukristu na yupo lupango. Pia Mbowe na wenzake wana mikesi na ni wakristu. Hapa nataka kukwambia usitumie kosa la mtu kuchochea Udini. Jikite kwenye utetezi kwa kosa alilokamatiwa. Sisi waislamu msituingize kwenye matatizo yao. Wakabiliane nayo, walijua wanafanyanini na walijiandaa kwa yaliyo wakuta.
Rugemarila kesi ipo mahakamani, mboe kesi ipo mahakamani hao mashehe wameshitakiwa kwa lipi.wahukumiwe basi tujue wamehukumiwa na wanatumikia kifungo. Vyovyote iwavyo nchi hii haijawahi kua fair kwa waislamu na huo ndio ukweli tunapigwa changa la macho tu iambieni serikali yenu iwatoe mashehe wetu.
 
Hawa ndio aina ya watu waliofanya serikari iwashughulikie uamsho maana mpaka kwa wanachi walishaanza kuwa kero na kuishangaa serikari gani isiyoweza linda wananchi wake dhidi ya kikundi cha wahuni wanaoleta fujo kuchomea watu mali zao na nini.

Kuna watu kabisa waanamini uamsho wanaonewa amazing

Unaweza kuniambia mwisho wa huyu Padri aliyekamatwa na bunduki kesi iliisha vipi??

Angalikamatwa Sheikh wa uamsho si tungaliambiwa ni gaidi??
http://taifakwanza5.blogspot.com/2015/04/padri-akamatwa-kwa-ujangili-huku.html?m=1
 
Umfahamishe nani ebu sikiliza hapo kuanzia dakika 1:20 uone jinsi walivyofikia hatua za kuwapiga biti viongozi wa serikari ya Zanzibar. Ebu leta video yeyote ya kundi liliowahi kuongea maneno hayo duniani likaachwa salama na serikari husika nakupa siku nzima vinginevyo siku njema

Sasa kuna maneno gani mabaya hapo!! Karume alieunganisha nchi katika moja ya hutuba zake aliwahi kusema HUWEZI KUWA MWANANCHI KAMA HUUJUI UCHUNGU WA NCHI.

Sheikh kachalenji hapo kuwa madaraka waliyonayo mainland sasa wayageuze yawe ya Zanzibar na ya Zanzibar yawe ya Tanganyika halafu wazanzibar waendeshe MUUNGANO kama wanavyoendesha watanganyika sasa! Halafu tuone kama mtaridhika na kukaa kimya.
 
Msikilize kwa makini walipofikia hadi kuchukuliwa hatua
 
Wale ni magaidi sio mashekhe hakuna mashekhe wanaioijua dini ya haki ya uislamu wafanye haya

Kuchoma makanisa

Kuua mapadre

Kumwagia watalii acid
hayo maneno iseme mahakama sio wewe serikali wala wao,heshimu utawala wa sheria ,mimi nikiamua kukutuhumu kuwa shoga na sina ushahidi nikuweke lumande miaka kumi nikitafuta ushahidi?
 
Tumsikilize huyo usalama na tamthilia yake??
Well kama ni ivyo basi kazi yake aliifanya vyema serikari gani iliyokuwa inacheka na genge la wahuni mpaka wanaenda kuchoma makazi ya watu..

Hata Hitler alianza kama mzaha watu wakampuuza kuja kukaa sawa keshakuwa shetani asiewezekana kurudishwa ndani ya chupa ndipo uamsho walipokuwa wanaelekewa thank god serikarini akili zikawarudia.
 
Kwani baya hilo? Kwa taarifa yako hatutaki muungano. muungano huu ambao ndo unawatesa masheikh wetu umefikiwa kwa nguvu bila ya ridhaa ya wazanzibari. nyerere alitumia udhaifu wa karume wa kutokuoona the big picture na akamhadda kuwa atapinduliwa na akina abdulrahman mohammed babu, na akakubali kuingizwa mkenge. Nyerere alikuwa na intellectual capital kubwa na masikini karume hakujua kuwa znz kumbe ingemezwa kutokana na ujinga wake ule. ndo maana sasa tunasema tunahitaji rethinking ya mjadala wa muungano pekee ili wazanzibar tuamue kama tunatakai kubakie ktk mikono ya wakoloni wa tanganyika au tuwe kivyetu. Tuachwe tupumue.
Kwani hampumui???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Nasemaa mkitaka msiwe koloni letu mtapata tabu sanaa... nyie ni wetu tuu
 
Kesi ipo mahakamani au uko bize na taarabu
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania hakuna mahakama inaweza sikiliza kesi ya uhaini na ugaidi...!!
 
Well kama ni ivyo basi kazi yake aliifanya vyema serikari gani iliyokuwa inacheka na genge la wahuni mpaka wanaenda kuchoma makazi ya watu..

Hata Hitler alianza kama mzaha watu wakampuuza kuja kukaa sawa keshakuwa shetani asiewezekana kurudishwa ndani ya chupa ndipo uamsho walipokuwa wanaelekewa thank god serikarini akili zikawarudia.

Machafuko yote yanayofanywa Zanzibar , usifikiri watu ni wapumbavu , hao usalama wanajulikana vizuri na yote wanayoyafanya mpaka kupiga watu ovyo , kuratibu vikundi vya janjaweed , kuripua mabomu, nk. yote yako ICC na kila mnalofanya linarikodiwa. Siku ikifika itakuwa ngumu sana hamtoamini.
 
Well kama ni ivyo basi kazi yake aliifanya vyema serikari gani iliyokuwa inacheka na genge la wahuni mpaka wanaenda kuchoma makazi ya watu..

Hata Hitler alianza kama mzaha watu wakampuuza kuja kukaa sawa keshakuwa shetani asiewezekana kurudishwa ndani ya chupa ndipo uamsho walipokuwa wanaelekewa thank god serikarini akili zikawarudia.
Kuna siku wakati wa Komandoo ilipigwa simu kutoka Kwa walioshika dunia Kwa watu wa ndani wa usalama, jamaa akabaki kuuliza uliipataje namba hii? Mengine simwagi mtama Kwa kuku
 
Back
Top Bottom