kibwengomfupi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 675
- 677
Si ajabu watu wengi wanaowatetea uamsho walikuwa awafuatilii mahuburi yao na siasa zao za hatari sana, hakuna nchi duniani ingewaacha watu wanaochochea uhaini kwa serikari kibaya zaidi kujaza watu fikra za ubaguzi.
Tangia wafungwe hawa Zanzibar usikii tena siasa za bara sijui hivi na vile wala ubaguzi wa watu wa bara warudi etc, tena hawa wangekuwa nchi za mabeberu adhabu yao ndio ingekuwa kubwa zaidi na wangekuwa nchi kiislamu udhani ata kama wangekuwa hai kwa maneno waliyokuwa wanaongea zidi ya serikari.
Kama ni haki kutendeka katika hili swala Gwajima alitakiwa kuwa ndani nae japokuwa amejirekebisha kwa sababu tu raisi wa sasa ki amani anadhani anafaa lakini hakuwa tofauti na uamsho.
Mwishoi wa siku hao uamsho ni watu kutupa lupango na funguo kusahau zilipowekwa wengine watie akili usicheze na serikari.
Kilatha wewe ni baradhuli na nge- m- se. Nafikiri hukuwa informed walipojkamatwa Uamsho na akili yako iko zero na inamtindio wa ubongo. hawa masheikh walikamtwa mwaka 2012 kule znz na wakaletwa T/ bara kwa mkoloni kwa ajili ya mateso wakati wa interrogation, walikuwa wakifanya mikutano ya kukosoa muungano huu bandia kitu ambacho inaelekea kimewaudhi watawala. Baada ya hapo wakakamatwa na kuletwa huku bara kwa mkoloni. Ukifuatilia kwa makini masheikh hawa waloteswa sana na kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji. Sasa yaelekea wewe unafurahia walivyofanyiwa. Kama wewe ungetiwa jiti la mk-u-ndu na chupa ungefurahi?
wewe ni mtu shetani unafurahia wenzako waaathiriwe kwa mabaya.