Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

Wale ni magaidi sio mashekhe hakuna mashekhe wanaioijua dini ya haki ya uislamu wafanye haya

Kuchoma makanisa

Kuua mapadre

Kumwagia watalii acid
Umesahau shekh Osama Bin Laden?
 
Kama hawakurupuki na yaliyofanywa Kibiti ni sahihi kwanini hakuna mwandishi alieruhusiwa kwenda!? Na aliekwenda yuko wapi hadi leo!?
Kuna vitu hata nchi zenye uhuru uliopitiliza huruhusiwi kureport yanapokuja maslahi mapana ya nchi, unakatazwa unalazimisha kisa mwandishi ana Uhuru wa kuandika, leo Kibiti ipo shwari unajua exact cost, mbinu zilizomaliza tatizo?. Kila siku watu walikua wanapoteza maisha, watu wanahangaika kutumia mbinu za kiaskari na kijeshi wewe unaleta ushabiki wa kijinga hata ingekua mimi ningechukua hatua kulinda wengi. Watanzania uhuru wa kusema umepitiliza mno ndio tatizo na ukiendekeza hilo hata maendeleo yanachelewa kwani hakuna jema. Obama alipoingia madarakani aliapa kufunga Guantanamo, amelifunga? Wataalam wa ulinzi walimzuia kwa maslahi mapana ya nchi yao. Na wenzetu ukilazimisha wanakutilia hata sumu wachague mwingine
 
Mimi nadhani hao magaidi huko gerezani wapo wanakula bata tu ugali, uji na maharage ya bure kabisa vitu ambavyo hawakustahili kabisa kuvipata

Wanachostahili ni KIFO tu wakatombe mabikra 72 .wapigwe risasi ya vichwa au wanyongwe hadi kufa.
unapaswa kusamehewa tu na si vinginevyo
 
Masheikh wa Zanzibar kushtakiwa na Watanganyika..
Huu ni utekaji uliofanywa na mabeberu weusi !
Vibaraka wanaoiongoza Zanzibar wameridhia raia wao kutekwa na Watanganyika.
 
Wale ni magaidi sio mashekhe hakuna mashekhe wanaioijua dini ya haki ya uislamu wafanye haya

Kuchoma makanisa

Kuua mapadre

Kumwagia watalii acid
Ingekua ruhusa NINGEKUTUKANA lakini nakustahi, usirejee tena kuandika upuuzi wako mpuuzi wewe,

JE UNAUSHAHIDI WOWOTE ULIMUONA JAPO MMOJA KATI YAO AKIFANYA AYO MAMBO AU AKIHAMASISHA HIVYO?

IKIWA SERIKALI IMESHINDWA KUTHIBITIHSA HIVYO MPAKA SASA, WEWE KAMA NANI UNATHUBUTU KUSEMA HIVYO..?
 
Zanzibar ni wilaya tu katika jamhuri ya Tanzania ,ina watu million 1.5 kama nzega tu
Masheikh wa Zanzibar kushtakiwa na Watanganyika..
Huu ni utekaji uliofanywa na mabeberu weusi !
Vibaraka wanaoiongoza Zanzibar wameridhia raia wao kutekwa na Watanganyika.
 
Ndio mastaka yao yanavyosema ,

Waache zaozee jera maana wameua wengi
Ingekua ruhusa NINGEKUTUKANA lakini nakustahi, usirejee tena kuandika upuuzi wako mpuuzi wewe,

JE UNAUSHAHIDI WOWOTE ULIMUONA JAPO MMOJA KATI YAO AKIFANYA AYO MAMBO AU AKIHAMASISHA HIVYO?

IKIWA SERIKALI IMESHINDWA KUTHIBITIHSA HIVYO MPAKA SASA, WEWE KAMA NANI UNATHUBUTU KUSEMA HIVYO..?
 
Masheikh wa Zanzibar kushtakiwa na Watanganyika..
Huu ni utekaji uliofanywa na mabeberu weusi !
Vibaraka wanaoiongoza Zanzibar wameridhia raia wao kutekwa na Watanganyika.
Labda hajui Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huapa kuilinda Tanzania na sio Tanganyika, na ndio Amiri Jeshi Mkuu. Zama ndani kiakili utaelewa maana yake
 
Wale ni magaidi sio mashekhe hakuna mashekhe wanaioijua dini ya haki ya uislamu wafanye haya

Kuchoma makanisa

Kuua mapadre

Kumwagia watalii acid
Mimi ni mkristo lakini napenda kujua haya yafuatayo :
Kama hao masheikh ndio wametenda hayo mambo yote hapo juu, kwanini sheria isichukue mkondo wake wakahukumiwa badala yake kwanini wanawekwa kizuizini miaka yote hiyo bila kuhukumiwa? Haki zao za msingi ziko wapi?
My take :
Hao walikuwa wanapinga muungano wakabambikiwa kesi
 
So walipinga muungano kwa

Kwanza jibu hoja ndio unirudishe shule

Huna na wala huta hutakuja kuwa na lolote la kunifanya Mbwa ww

Kama unataka kuwatetea hao magaidi nenda mahakamani hapa jf utakula za kichwa hadi ukimbie

Maslahi ya nchi lazima alindwe

Hivi wamekaa ndani muda gani hao magaidi maana ni Jana tu wamekamatwa
Kwanza rudi shule ukasome; "jera" ndio nini?

Then kauli zako zitakufikisha pabaya chunga sana wewe!
 
Wale ni magaidi sio mashekhe hakuna mashekhe wanaioijua dini ya haki ya uislamu wafanye haya

Kuchoma makanisa

Kuua mapadre

Kumwagia watalii acid
Mashekhe ni wale wanaofutarishwa na Bashite eee si ndio??
 
So walipinga muungano kwa

Kuua mapadre

Kumwagia watalii acid

Kuchoma makanisa
Hayo ya kuchoma makanisa na kumwagia watu acid ilitakiwa mahakama iamue kwamba walifanya badala ya kuwashikilia. Manake hata muhalifu kama Saddam Hussein alipewa haki ya kusikilizwa mahakamani na baadae kuhukumiwa!
 
Hukumu ni mchakato
Hayo ya kuchoma makanisa na kumwagia watu acid ilitakiwa mahakama iamue kwamba walifanya badala ya kuwashikilia. Manake hata muhalifu kama Saddam Hussein alipewa haki ya kusikilizwa mahakamani na baadae kuhukumiwa!
 
Mimi nadhani hao magaidi huko gerezani wapo wanakula bata tu ugali, uji na maharage ya bure kabisa vitu ambavyo hawakustahili kabisa kuvipata

Wanachostahili ni KIFO tu wakatombe mabikra 72 .wapigwe risasi ya vichwa au wanyongwe hadi kufa.
MAGAIDI KWA KUPITIA HUKUMU ILIO TOLEWA LINI NA MAHAKMA GANI?
 
Back
Top Bottom