Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

Huyu Sheik Ponda ange achia pale alipo malizia waraka wake kwa Raisi, ingekuwa na impact kubwa na hata Raisi au maraisi wote wange usoma au kumsikiliza wange litolea ufumbuzi wa haraka. Na hao masheikh InshaAllah wange achiwa - Lakini huyo Ponda akaanza kuharibu tena kana kwamba hataki hao masheik waachiwe! Anaanza kwa maneno ya kejeli. Ana tumia maneno kama Tanganyika, kudhihaki muungano, kudhihaki raisi wa Zanzibar, kuchochea waisilamu wachukie serikali na vingine vingi kujifanya mpelelezi na hakimu wakati huo huo! Kweli hasaidii hili swala zima. Mimi nilikubaliana na waraka wake. Japokuwa aliusoma kwa wasi wasi kana kwamba alishinikizwa na watu wengine ausome! Kwamba hakuhusika katika kuutayalisha! Au anayo maslahi binafsi? - kama hao masheik wakiendelea kusota ndani. Sheik Ponda huwatendei haki wenzio. Una fikiri wakitoka watakuzibia rizki?
Nyinyi WATANGANYIKA mumerogwa na nani???
Hivi kuitwa kwa jina la Nchi yenu ni kufanyiwa ZIHAKA??
Wewe ni MTANGANYIKA TUUU
 
Wewe kula ulojo ukalale weye mcheza kibao kata
Nyinyi WATANGANYIKA mumerogwa na nani???
Hivi kuitwa kwa jina la Nchi yenu ni kufanyiwa ZIHAKA??
Wewe ni MTANGANYIKA TUUU
 
Wale ni magaidi sio mashekhe hakuna mashekhe wanaioijua dini ya haki ya uislamu wafanye haya

Kuchoma makanisa

Kuua mapadre

Kumwagia watalii acid
Una uhakika kama wao ndio wamefanya hayo, sawa tuseme wamefanya hayo uliyoandika kwanini hawashitakiwi..

Hayo uliyoandika waliofanya ni wale wale wanaitwa "watu wasiojulikana"..

Makanisa yameanza kujengwa Zanzibar kabla hata Tanganyika hawajui huo Ukristo ni kitu gani, Ukristo umeanzia Zanzibar kabla kufika Tanganyika..

Unaandika kwa mihemko, hujui ulichokiandika
 
Nenda kwa msajili Wa mahakama
Una uhakika kama wao ndio wamefanya hayo, sawa tuseme wamefanya hayo uliyoandika kwanini hawashitakiwi..

Hayo uliyoandika waliofanya ni wale wale wanaitwa "watu wasiojulikana"..

Makanisa yameanza kujenga Zanzibar kabla hata Tanganyika hawajui huo Ukristo ni kitu gani, Ukristo umeanzia Zanzibar kabla kufika Tanganyika..

Unaandika kwa mihemko, hujui ulichokiandika
 
Wale ni magaidi sio mashekhe hakuna mashekhe wanaioijua dini ya haki ya uislamu wafanye haya

Kuchoma makanisa

Kuua mapadre

Kumwagia watalii acid
Ayo yote ulioyataja kwa ao mashekhe ni kharam , kama unauhakika wamefanya hivyo
 
Wale houth Wa Yemen ni harali

Al shabab kuua watu Kenya ni harali

ISIL inavyo uwa watu Congo, Styria

Walio UA watu sry ranka kanisani sio waislam kama kina shekhe Farid na Ilunga
Ayo yote ulioyataja kwa ao mashekhe ni kharam , kama unauhakika wamefanya hivyo
 
Zanzibar ni wilaya tu katika jamhuri ya Tanzania ,ina watu million 1.5 kama nzega tu

Kwa akili hizi za watanganyika UAMSHO wataendelea kuteseka Sana!! Hivi nchi inapimwa kwa wingi wa watu!!! Hivi Brunei yenye watu laki 5 sio nchi!!!!! Au Vatican yenye watu 1000 sio nchi!!?? Au Monaco yenye watu 40,000 sio nchi!!!??

Hii ni hatari kweli kweli
 
Hapa kuna muungano Zanzibar ni sehemu ya Tanzania
 
Back
Top Bottom