Kesaboso
JF-Expert Member
- Apr 16, 2019
- 426
- 358
Nitashangaa sana kama kuna muislam anayeelewa dini yake vizuri akaipigia kura ccm mwaka 2020.Masheikh zaidi ya 2000 wapo magereza mbalimbali kama arusha kwa kesi za kubambika ugaidi
Mbona toka wamekamatwa hakuna tindikari au kanisa kuchomwa, huoni Kama Kuna mahusiano na hao watu? Na Kuna mashehe pia walimwagiwa tindikali n kutegwa vimabom, Sasa hao ilikuwa ni haki yao au?