Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

We boya/papai ,hebu vaa viatu vya ndugu wa padri aliyeuwawa sababu ya hao mapimbi.!!

Watu waliokosa maji sababu ya kukuta vinyesi visimani.!!!

Watu waliochomewa nyumba zao za kuabudu.!!

Tatizo la waislamu kwenye kila jambo mnatanguliza dini kwanza, yani mtu akikosea akiwa muislamu mwenzenu mnaona hajakosea...hii dini hii..

HIVI YESU AKITUMIA AK 47 KUUWA TEMBO ??

Wasaidie wakristo wenzako kujibu hili swali

Mwisho wa hii kesi ulikuwa vipi ??

Niambie mwisho wa huyu Padri aliyekamatwa na bunduki 48 , Eti ni za ujangili

PADRI AKAMATWA KWA UJANGILI HUKU BUNDUKI 48, RISASI 764 ZIKIKAMATWA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, akionyesha bunduki aina ya AK47 kati ya silaha zilizokamatwa katika msako maalum wa ujangili.
 
Bahati mbaya kwako mimi si mkristo, na siamini hayo matakataka yenu mnaita dini...
 
Mimi naing'ang'ania Zanzibar sababu niko chini ya utawala wa serikali.Na serikali ni kundi la watu ni Mimi na wewe.Lazima pawe na kiongozi na muongozwaji.
Kama umeamua kupindisha sawa.

Ila kama umejibu kwa makusudio kwamba ufahamu wako unafahamu hivyo na ndo unavyoamini basi nakutakia siku njema sana.
 
Nitashangaa sana kama kuna muislam anayeelewa dini yake vizuri akaipigia kura ccm mwaka 2020.Masheikh zaidi ya 2000 wapo magereza mbalimbali kama arusha kwa kesi za kubambika ugaidi
Waislam muachr ukora..!
 
Hivi serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tz itawaachia huru masheikh wa UAMSHO lini? Jee kutokuanza kwa kusikilizwa kesi hii ni mkakati wa makusudi wa kuendelea kuwatesa bila ya sababu? Ni nini maslahi ya SMT/ SMZ ktk kadhia/ zilzala hii. katika hali ya kawaida haiwezekani waumini hawa wa kiislam waendelee kunyea ndooni kwa miaka 9 sasa. kama wangekuwa ni mapadri/ wachungaji , serikali ingeendelea kuwashikilia kwa miaka yote 9.? Naomba tufungue mjadala huu bila ya matusi na naomba tuweke mbali mihemko yetu ya kidini. Tujadili kwa hoja kama wasomi na wastaarabu.
 
Nadhani kuna haja ya Serikali kuliangalia swala hili maana Miaka 9 si Mchezo na Kuna tetesi nasikia wapo viongozi katika serikali ya mapinduzi walikwisha HAPA kwamba wanakuja uku bara watanyea DEBE wao si wanajifanya jeuri
 
Hivi serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tz itawaachia huru masheikh wa UAMSHO lini? Jee kutokuanza kwa kusikilizwa kesi hii ni mkakati wa makusudi wa kuendelea kuwatesa bila ya sababu? Ni nini maslahi ya SMT/ SMZ ktk kadhia/ zilzala hii. katika hali ya kawaida haiwezekani waumini hawa wa kiislam waendelee kunyea ndooni kwa miaka 9 sasa. kama wangekuwa ni mapadri/ wachungaji , serikali ingeendelea kuwashikilia kwa miaka yote 9.? Naomba tufungue mjadala huu bila ya matusi na naomba tuweke mbali mihemko yetu ya kidini. Tujadili kwa hoja kama wasomi na wastaarabu.

Pia naomba kujua baada ya wao kukamatwa milipuko ya makanisa na tindikali na kupiga mapadri malisasi viliisha au bado vinaendelea mashehe kulipukiwa mabom milangoni bado yanaendelea? Kama yameisha basi wacha wakae wakutoka umri utawapa haja ya kuwa wapole, lakini kama matukio bado yanaendelea nu haki waachiwe tu. Maana tatizo halijaisha.
 
Huyo pekee ndo aliyebaki anajitambua sio wale mashehe ubwabwa na ndizi
 
Write your reply...miaka Tisa huioni family yako mkabala miaka unknown hujui uko hai Au umekufa
 
Enough is enough, Masheikh wameumizwa vya kutosha na utawala wa CCM, ni muda muafaka sasa Waislamu kuungana ili kuondoa dhuluma hii kwa viongozi wao
Sasa kuumizwa na CCM kunahusiana nini na kuwachinja ndugu zetu wa Bagamoyo na Kibiti?
 
Kama walifanya hivi,basi wasitoke..waozee tu ndani,magaidi hawafai kabisa.
Ukiamin kilaunaloambiwa utakua zumbukuku tafuta charge sheet yao uone km kuna hayo makosa aliotaj huyo kima
 
Kwani hujui walikuwa wanachinjwa na nani? Au unajifanya kusahau!
Huna akili wewe, hao mashekhe wapo mahabusu miaka takribani 7 sasa, wewe unazungumzia hao wameuliwa kibiti mwaka jana.
 
Back
Top Bottom