Msikilize kwa makini walipofikia hadi kuchukuliwa hatua
Kwa uislam upo uliopo Arusha mpaka upate mashekhe 2,000Nitashangaa sana kama kuna muislam anayeelewa dini yake vizuri akaipigia kura ccm mwaka 2020.Masheikh zaidi ya 2000 wapo magereza mbalimbali kama arusha kwa kesi za kubambika ugaidi
Lini mara ya mwisho umesikia fujo tena Zanzibar za kuchomwa makanisa, kuchomwa kwa makazi ya watu,kupigwa risasi raia au hata pressure ya serikari yao kutaka wabara wasimaliki ardhi Zanzibar tangia hawa mabwana wawekwe lupango?anayethibitisha ni hatari nani usalama wewe au mahakama
Ndio tatizo kila kitu politics watanzania na ushabiki wa siasa ambao unaweza ita za kitoto kwenye kutafuta mileage with cheap viewpoints hili sio swala la simba na yanga wala la CCM vs CUF visiwani ni swala la kundi la wahumi ambao walitaka kuanza siasa za ubaguzi na fujo.Sasa wewe umemuelewa huyu kilaza wa CCM aliepaniki kwa maskani ya CCM kuchomwa Moto!!!??
Sasa upemba na uunguja umekujaje hapo!? Ndio uwaelewe watu kuwa UAMSHO wamepewa kesi ya UGAIDI Ila uhalisia ni sababu za kisiasa.
Huu ni mwaka wa sita sasa wako ndani sasa nilini Zanzibar ikawa shuari na kukakosekana watu wa CUF ya wakati huo kutopigwa au ofisi zao zisichomwe Moto!!
hii nchi haitawaliwi na hisia za wazalendo,usalama wataifa wala raisi inatawaliwa kwa sheria tuu na serikali na magaidi wote wako chini ya sheria ,serikali sio bosi wa wananchi walo huru nje ya sheria ,mfano kwenye nchi za wenye akili zao (siongelei shithole undemocratic countries) wanakuja na upelelezi wa siri wanapandikiza watu si kuwajua magaidi bali kupata evidence ,siku ya kuwakamata anapandishwa leo kizimbani anapewa haki ya kutetewa na kujitetea serikali inamwaga evidence pasi shaka wanaenda jera na wakitaka kuappel wanaruhusiwa na wengi ukishamwaga ushahidi wa usalama makini hawaappelLini mara ya mwisho umesikia fujo tena Zanzibar za kuchomwa makanisa, kuchomwa kwa makazi ya watu au hata pressure ya serikari ya kutaka wabara wasimaliki ardhi Zanzibar tangia hawa mabwana wawekwe lupango?
Jibu lako litakwambia kama walikuwa hatari au wema; uitaji mahakama kwenye commonsense
Mjomba ebu uliza huko kwenye demokrasia jamaa anaeitwa Abu Hamza walidili nae vipi baada ya haki za binadamu kujifanya wanamtetea kisheria au IRA ilivurugwa vipi kama kuna mahakama ilitumika.hii nchi haitawaliwi na hisia za wazalendo,usalama wataifa wala raisi inatawaliwa kwa sheria tuu na serikali na magaidi wote wako chini ya sheria ,serikali sio bosi wa wananchi walo huru nje ya sheria ,mfano kwenye nchi za wenye akili zao (siongelei shithole undemocratic countries) wanakuja na upelelezi wa siri wanapandikiza watu si kuwajua magaidi bali kupata evidence ,siku ya kuwakamata anapandishwa leo kizimbani anapewa haki ya kutetewa na kujitetea serikali inamwaga evidence pasi shaka wanaenda jera na wakitaka kuappel wanaruhusiwa na wengi ukishamwaga ushahidi wa usalama makini hawaappel
Kweli suo haki kutenda lolote ovu, kama uliyoyataja. Kazi ya polisi wamshikapo muovu ni kufanya uchunguzi na kumpeleka mahakamani akahukumiwe.Guys mnaota. Kuna mtu ameshauri mambo ya kisheria yafuatwe. Hakuna haki bila wajibu. Kuua au kumwagia watu tindikali ni dini ya wapi hiyo?
Kuna mambo sio rahisi kama watu wanavyodhani
John...
Ndugu yangu wewe unaghadhibika unaposoma historia ya TANU?
Ningependa kujua.
UAMSHO ni wakubakizwa ndani daima ili iwe fundisho kwa kizazi cha leo na kesho (Zanzibar & Tanzania bara)Si ajabu watu wengi wanaowatetea uamsho walikuwa awafuatilii mahuburi yao na siasa zao za hatari sana, hakuna nchi duniani ingewaacha watu wanaochochea uhaini kwa serikari kibaya zaidi kujaza watu fikra za ubaguzi.
Tangia wafungwe hawa Zanzibar usikii tena siasa za bara sijui hivi na vile wala ubaguzi wa watu wa bara warudi etc, tena hawa wangekuwa nchi za mabeberu adhabu yao ndio ingekuwa kubwa zaidi na wangekuwa nchi za kiislamu udhani ata kama wangekuwa hai kwa maneno waliyokuwa wanaongea dhidi ya serikari.
Kama ni haki kutendeka katika hili swala Gwajima alitakiwa kuwa ndani nae japokuwa amejirekebisha kwa sababu tu raisi wa sasa ki amani anadhani anafaa lakini hakuwa mbali sana kiutofauti na uamsho kimtazamo be it less radical.
Mwisho wa siku hao uamsho ni watu kutupa lupango na funguo kusahau zilipowekwa wengine watie akili usicheze na serikari.
Shekh posta amesoma waraka mzito kumpelekea Rais JPM ikulu dsm
Ukiona amnesty international, mabalozi yote ya nchi za nje ambao kila siku wanamakelele na wala hakuna hata taasisi moja ya haki za binadamu duniani iliyowahi kuulizia swala la hawa watu na mwenendo wa kesi yao ujue kosa lao ata huko makwao sio dogo, uwezi kuatarisha amani ya nchi halafu upate adhabu ya slap in the wrist lazima uwe mfano kwa wengine.UAMSHO ni wakubakizwa ndani daima ili iwe fundisho kwa kizazi cha leo na kesho (Zanzibar & Tanzania bara)
Kwa Kikwete walishindwa itakuwa Kwa awamu ya Tano? Wadanganye na hivi huwa hawana akili watakurupuka watavugwa hadi wachakae .Wao wamlilie kikwete si ilikuwa awamu yake.Vuguvugu la kidini likianza jiwe lazima asalimu amri nyie ndugu zetu tunawajua jinsi mnavyopigania haki za viongozi wenu...
Ukombozi ni sasa msisubiri Kesho
Si ajabu huyu bwana ndio aliowafanya viongozi waanze kuchukua hatua maana uamsho walipokuwa wanaelekea siko kabisa mpaka wananchi kama huyo mzee hapo kuanza kuishangaa serikari inayocheka na watu inaowaletea karaha kila siku.
Maandiko yako yote ni udini tu
Objective ni udini, Scope ni udini, hunaga jipya
Na ulipaswa kuwa gerezani, adui mkubwa wa amani & umoja wa kitaifa
Mzee Said, hivi yale yaliyokuwa yakitendeka Zanzibar kuwaua mapadre, kumwaga tindikali, n.k ndio mafundisho ya dini ya kiislamu kuwatendea wanadamu wasio imani yao? Wewe binafsi yalikufurahisha? Kwa vitendo vile ni sawa serikali yoyote isingelichukua hatua? Dini haitufunzi kuvumiliana na kutatua changamoto za kiimani na wasio upande wetu kwa Upendo?Zeus,
Mbona unakuja na matusi?
Vipi tutafanya mjadala wa kistaarabu ikiwa unatukana?
Toka kesi za ugaidi zimeaanza hakuna hata mtuhumiwa
mmoja aliyekutwa na makosa.
Hili ni jambo la kufikirisha.
Madaraka tu hakuna jingine, wanahitaji wapate nafasi kuongoza taifa, ccm inawazibia, dini inatumika kama kivuli tu maana kusema wanaoonewa ni wa dini fulani wanataka kutudanganya kuwa kuna dini ambayo wanakula bata nchi hii ilhali kilio cha wananchi hakijatokana na dini zao bali ni kutokuwajibika ipasavyo kwa serikali kwa wananchi wake ndio janga....Haya ni kwa faida gani?
Wazungu wanasema ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya.
Wewe unajua, serikali inajua na kila mtu anajua kuwa hawa watu wa UAMSHO wako mbali kabisa na ugaidi na hata wawekwe ndani umri wao wote basi hawatawakuta na hatia ya Hilo kosa la UGAIDI
Kosa lao kubwa ambalo wamelifanya UAMSHO ni kuwaelimisha wazanzibar namna ya MUUNGANO unavyowadhulumu na kuwanyima fursa ya kupiga hatua ya kimaendelea
Matendo yao pia huwadhihirisha dhamira zao, wanaongea kwa chuki dhidi ya wasio imani yao, kwanini baada ya kuwakamata vitendo vya ukatili vikakoma?Hebu rudia kusoma post yangu ya number 60 namna ya wasiokuwa waislamu wanavyoandaa sababu za kuweza kuwadhuru waislamu!!
Hivi unajua kwa nini akina maalim Seif Sharrif na wenzake waliwekwa ndani kwa miaka na kupewa kesi ya UHAINI!!
Kwa hiyo usahihi kibiti ni yale mauaji ya viongozi na askari? Ila serikali kushika hatamu na mauaji yakakoma sio sahihi?Kama hawakurupuki na yaliyofanywa Kibiti ni sahihi kwanini hakuna mwandishi alieruhusiwa kwenda!? Na aliekwenda yuko wapi hadi leo!?