Sheikh Ponda: Lazima tupambane na Yusufu Manji arejeshe Mali zote za Waislamu alizoiba!

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
864
Sheikh Ponda amesema yeye ni kiongozi mkuu wa kuokoa mali za Waislamu hivyo atahakikisha mali zote za Waislam zilizoporwa zinarejeshwa mikononi mwa Waislam.

Amesema zoezi hilo lina anzia kwa Wezi Mafisadi ambao ni Waislamu na Wamepora mali za Waislam kwa kigezo cha kwamba wao pia ni Waislamu.

Amesema Fisadi wa Kwanza ni Yusufu Manji ambaye amepora eneo la Waislamu Chang'ombe na kumupatia Abdallah na kukalia kwa mabavu!!!

Amesema leo wamekwenda neneo hilo na kuvunja Ukuta na kuingia ndani na kujenga Msikiti haraka na Ibada ikafanuika hapo kumushukuru Allah.

Amesema wameshamwandikia barua Mufiti kutaka kufanyike Stock taking ya mali za Waislamu ili kubaini mali zilizo ibiwa kupitia BAKWATA huku viongozi wa BAKWATA wakishabikia CCM.

Kwenye operation hiyo Ponda amesema hawatafuata Sheria za Mahakamani bali watatumia Sharia.

Waislamu wanapaswa kuyaondoa matatizo kwa mikono yao yao wenyewe!!!!!!!!!!!!!!

Kiongozi wa Jumuia na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Issa Ponda Issa akitoa msimamo kuhamasisha waislam kwenye Zoezi la kuokoa Mali za Waislam .

Kiongozi wa Jumuia na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Issa Ponda Issa ( wa pili kulia). Wengine ni viongiozi wa jumuia hiyo, Shabaan Mapeyo (kulia), Hamadi Iddi Almara ( kushoto) na Suleiman Khamis.
 
Sheikh Ponda anasema "zoezi hilo lina anzia kwa Wez Mafisadi ambao ni Waislamu na Wamepora mali za Waislam"!

Baada ya hapo zoezi linaenda wapi? Mbona kama naona huu ni mkakati mpana?
 
Ivi uyu Ponda ni mshabiki wa SIMBA nn?why Manji na sio Baba Mwanaasha Maana yy ndo Papa aliyekomaaaaaaa laaana:eyebrows:
 
Hapo hakuna la kuongea zaidi ya kusubiri,nadhani tutaona ile wakongo wanasema NGUVU YA MAMBA MUMAJI.
 
Tusubiri ijumaa ijayo,sijui kitakuja kipi kipya.
Raisi wa nchi aitwe Sultani! Halafu Rufiji Iitwe Ndengerekostan, Tabora, Nyamwezi stan, Tanga wadigostan, Kigoma wahastan, Kondoa, warangistan!!!!!!!! Ponda huyo na uhuru wa kuabudu anavyouchezea ! Ponda lazima aangalie sana usemi wa kiyahudi usemao FROM HERO TO ZERO!
 
huyu ponda mwongoza misafara ya vurugu......
Na hafanywi lolote......
Inawezekana kuna mkono wa ccm na serikali yake nyuma yake?
Kwa nini hawamchukulii hatua?
Najiuliza tu.....
 
Sheikh Ponda amesema yeye ni kiongozi mkuu wa Kuokoa mali za Waislamu hivyo atahakikisha mali zote za Waislam zilizoporwa zinarejeshwa mikononi mwa Waislam.

Amesema zoezi hilo lina anzia kwa Wez Mafisadi ambao ni Waislamu na Wamepora mali za Waislam kwa kigezo cha kwamba wao pia ni Waislamu.

Amesema Fisadi wa Kwanza ni Yusufu Manji ambaye amepora eneo la Waislamu Chang'ombe na kumupatia Abdallah na kukalia kwa mabavu!!!

Amesema leo wamekwenda neneo hilo na kuvunja Ukuta na kuingia ndani na kujenga Msikiti haraka na Ibada ikafanuika hapo kumushukuru Allah.

Amesema wameshamwandikia barua Mufiti kutaka kufanyike Stock taking ya mali za Waislamu ili kubaini mali zilizo ibiwa kupitia BAKWATA huku viongozi wa BAKWATA wakishabikia CCM.

Kwenye operation hiyo Ponda amesema hawatafuata Sheria za Mahakani bali watatumia Sharia.

Waislamu wanapaswa kuyaondoa matatizo kwa mikono yao yao wenyewe!!!!!!!!!!!!!!

Huyu jamaa hachokii!!!
 
.
Stock taking ya mali za makanisa yaliyoharibiwa leo zitafanywa na ni lazima Ponda na genge lake wazilipe laa sivyo njia waliyoiendea Ngaliba na Mazinge naye ataifuata.
Hizo mali za waisilamu haziwezi patikana bila kuyaharibu makanisa na kufanya wizi? Huyu Mkongo tusipoangalia atasababisha vita nchini.
.
 
Back
Top Bottom