watu wengine hawana akili, waache walane wao kwa wao. hapo manji watamtoa macho...waislam hawanaga umoja, wanapigana wao kwa wao ndo maana hawanaga akili ya maendeleo.
Kumbe Tanzania kuna jamii imeendelea?thanx for the info
nimecheka hdi nikaanguka!KAMA RAISI WA NCHI HII ANGEKUA MTU KAMA PONDA, NADHANI HATA KAGAME ANGETUHESHIMU. JAMAA IS ACTION MAN. HANA MUDA WA KURUMBA. SHEIKH PONDA TUKO PAMOJA NA WEWE. FANYA KAZI ALIOKUTUMA MWENYEZI MUNGU. KOMESHA UDHALIMU WA HAWA BAKWATA, WAMESHA TUTIA HASARA SANa.
hv wakati vinauzwa walikuwa wapi wakina ponda?
Kweli wewe ni Bongolala. Ili kuuamsha ubongo wako, wewe pamoja na waislam wengine mnapaswa mujiulize hivi ninyi Waislam mmeifanyia nini BAKWATA na siyo kuhoji BAKWATA imewafanyia nini nyie! Can't you think, heh?ponda ana hoja za msingi,hembu wakristo semeni bakwata inawanufaisha vipi waislam?hakuna hospital,university etc
Sheikh Ponda anasema "zoezi hilo lina anzia kwa Wez Mafisadi ambao ni Waislamu na Wamepora mali za Waislam"!
Baada ya hapo zoezi linaenda wapi? Mbona kama naona huu ni mkakati mpana?