Sheikh Ponda: Lazima tupambane na Yusufu Manji arejeshe Mali zote za Waislamu alizoiba!

acheni uchochezi,makafiri wa kubwa nyie

Sheikh ISSA PONDA na Watu Wengine 50 Mahakamani Kisutu Leo

SHEIKH ISSA PONDA NA WATU WENGINE 50 WAPANDISHA KIZIMBANI MAHAKAMA YA KISUTU LEO

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam,Sheikh Issa Ponda, leo amepanda kizimbani na watu wengine 50 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwashawishi baadhi ya Waislamu kuvamia Kiwanja katika eneo la Chang'ombe jijini Dar es Salaam, kuwashawishi Waislamu kutojitokeza katika zoezi la Uandikishaji katika Sensa ya Watu na Makazi.
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam,Sheikh Issa Ponda, na watu wengine 50 wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka mbalimbali

Katibu wa baraza la Waislam Tanzania Shekhe Issa Ponda amepandishwa kizimbani leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam na kusomewa mashitaka matano.​

Alifikishwa mahakamani hapo na kupoandishwa kizimbani na watu wengine 49 akiwemo bibi wa miaka 100 kwa msafara wa magari ya polisi na ving'ora likiwemo gari la maji ya machozi kwa kasi ya ajabu na kushushwa haraka. Hata hivyo baada ya kukana mashitaka yao walirudishwa rumande baada ya kukosa dhamana.

Ponda, aliyewasili peke yake, alipelekwa moja kwa moja katika chumba cha mahakama na kuunganishwa na washitakiwa wenzake. Wote walisomewa mashitaka hayo mbele ya hakimu Stewart Sanga na wakili wa serikali Jumanne Kweka.

Wote kwa pamoja walidaiwa kula njama, na katika maelezo ya kosa walidaiwa Oktoba 12, mwaka huu katika eneo la Chang'ombe Markasi katika Wilaya ya Temeke jjijni Dar es Salaam walikula njama ya kutenda kosa.

Shitaka jingine wanadaiwa wote kwa pamoja kuingia kwa nguvu kutaka kufanya makosa, huko huko Chang'ombe kwa jinai na bila sababu za msingi walivamia Ardhi katika kiwanja kinachomilikiwa na kampuni ya Agritanza kwa nia ya kujimilikisha isivyo halali

Shitaka la tatu walidaiwa kujimilikisha kwa nguvu, maelezo ya kosa walidaiwa wote kwa pamoja walivamia kiwanja hicho pasipo kuwa na uhalali na katika hali ya uvunjifu wa amani, walijimilikisha mali hiyo ambayo ni mali halali ya kampuni ya Agritanza.

Aidha katika shitaka la nne ambalo ni la wizi kati ya Oktoba 12 na 16 mwaka huu, washitakiwa waliiba vifaa vya ujenzi walivyovikuta katika kiwanja hicho vyenye thamani ya shilingi 59,650,000 ambavyo ni kokoto, nondo na saruji mali ya kampuni ya Agritanza.

Shekhe Ponda peke yake ameshtakiwa kuchochea kwa nia ya kuhamasisha utendaji kosa katika maeneo tofauti kati ya Oktoba 12 na 16 mwaka huu, kama katibu wa baraza la Waislam Tanzania, huko Temeke eneo la Chang'ombe, jijini Dar es salaam.

Washtakiwa wote walikana mashtaka hata hivyo walirudi rumande kwa sababu hakimu aliyepangiwa kusikiliza kesi hiyo hakuwepo na hivyo kusomwa mbele ya hakimu Sanga ambaye alisema hana mamlaka.

Mkurugenzi wa mashitaka nchini (DPP) amewasilisha hati ya kuzuia dhamana ya Shekhe Ponda kwa kile alichotaja kuwa ni kwa usalama wa Ponda na pia kwa maslahi ya Jamhuri. Kesi hiyo itatajwa Novemba mosi mwaka huu na kwamba upelelezi haujaamilika.

Pamoja na jitihada za wakili wao Juma Nasoro kuwaombea dhamana wateja wake lakini jitahada hizo ziligonga mwamba

Msafara wa zaidi ya magari kumi uliondoka na washitakiwa hao huku likiwemo gari lile la maji ya machozi maaskari wa barabarani, askari magereza na fidifosi huku Ponda akiwekwa katika gari la vioo vya giza kama alivyoletwa.

THURSDAY, OCTOBER 18, 2012 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG[/FONT]
 
sheikh ponda amesema yeye ni kiongozi mkuu wa kuokoa mali za waislamu hivyo atahakikisha mali zote za waislam zilizoporwa zinarejeshwa mikononi mwa waislam.

Amesema zoezi hilo lina anzia kwa wez mafisadi ambao ni waislamu na wamepora mali za waislam kwa kigezo cha kwamba wao pia ni waislamu.

Amesema fisadi wa kwanza ni yusufu manji ambaye amepora eneo la waislamu chang'ombe na kumupatia abdallah na kukalia kwa mabavu!!!

Amesema leo wamekwenda neneo hilo na kuvunja ukuta na kuingia ndani na kujenga msikiti haraka na ibada ikafanuika hapo kumushukuru allah.

Amesema wameshamwandikia barua mufiti kutaka kufanyike stock taking ya mali za waislamu ili kubaini mali zilizo ibiwa kupitia bakwata huku viongozi wa bakwata wakishabikia ccm.

Kwenye operation hiyo ponda amesema hawatafuata sheria za mahakamani bali watatumia sharia.

Waislamu wanapaswa kuyaondoa matatizo kwa mikono yao yao wenyewe!!!!!!!!!!!!!!

Kiongozi wa jumuia na taasisi za kiislamu tanzania, issa ponda issa akitoa msimamo kuhamasisha waislam kwenye zoezi la kuokoa mali za waislam .
kiongozi wa jumuia na taasisi za kiislamu tanzania, issa ponda issa ( wa pili kulia)
. Wengine ni viongiozi wa jumuia hiyo, shabaan mapeyo (kulia), hamadi iddi almara ( kushoto) na suleiman khamis.
hongera ponda ondoa ufisadi wa bakwata majizi wa mali za waislam , mali hizi walikabidhiwa baada ya kuvunjwa na nyerere jumuiya iliyokuwa ikishughulika na mambo ya wasilam
na hawa bakwata wamehujumu hizi mali kwa kuziuza moja baada ya moja
na cha kushangaza kova kwa makelele ya makanisa na propaganda za magazeti ya kigalatia ana wacha kazi yake ya kusimamia haki analinda mafisadi
kweli nchi hii ina kila aina ya mafisadi...

Ponda wapo wengi nyuma yako ...hawa wezi wataondoka..na hii kesi ndio pahala pazuri pa kuanzia kuonesha majizi wa mali za waislam wanavo hujumu mali zao
kiwanja hichi ni kwa ajili ya kujenda shule na chuo kikuu leo wanamuuzia manji?
Na wanakuja watu magalatia wana suppot wizi huu ?

Hapa ndio maana tunampenda ponda..amejitolea uhai wake kwa ajili ya kutetea maslah ya wailam
 
yaan hyo ponda angedai bila kuchoma hayo makanisa,ningemuunga mkono!bt kwa hili la makanisa no,npo na kova
 
hongera ponda ondoa ufisadi wa bakwata majizi wa mali za waislam , mali hizi walikabidhiwa baada ya kuvunjwa na nyerere jumuiya iliyokuwa ikishughulika na mambo ya wasilam
na hawa bakwata wamehujumu hizi mali kwa kuziuza moja baada ya moja
na cha kushangaza kova kwa makelele ya makanisa na propaganda za magazeti ya kigalatia ana wacha kazi yake ya kusimamia haki analinda mafisadi
kweli nchi hii ina kila aina ya mafisadi...

Ponda wapo wengi nyuma yako ...hawa wezi wataondoka..na hii kesi ndio pahala pazuri pa kuanzia kuonesha majizi wa mali za waislam wanavo hujumu mali zao
kiwanja hichi ni kwa ajili ya kujenda shule na chuo kikuu leo wanamuuzia manji?
Na wanakuja watu magalatia wana suppot wizi huu ?

Hapa ndio maana tunampenda ponda..amejitolea uhai wake kwa ajili ya kutetea maslah ya wailam

Mimi nitamuunga ponda mkono japo c mwislam,km 2,ajenda ya kuchoma makanisa icngekuwepo,coz hakuna wa tz wanaofurahia huu ufisadi,ila nashangaa wenzetu mnaona km wakrito tunafaidi wakati cc wenyewe hatuitaki hyo ccm
 
Mtu akikwambia una akili kama za Ponda basi amekutusi tusi kubwa hasa.

Hivi kama Kiwanja kiliuzwa na BAKWATA, na aliyekinunua alinunua kihalali na ana hati, UAMSHO wa Bara walitakiwa wamdai BAKWATA au mnunuzi?

Hivi kweli kuna mtu anaamini kuwa kiwanja kinaweza kupatikana kwa fujo na maandamano zaidi ya kuibana BAKWATA irudishe fedha za watu na yeye arudishe kiwanja?

Be wise with speed, a fool at forty, is a fool indeed.
 
Sheikh Ponda amesema yeye ni kiongozi mkuu wa Kuokoa mali za Waislamu hivyo atahakikisha mali zote za Waislam zilizoporwa zinarejeshwa mikononi mwa Waislam.

Amesema Fisadi wa Kwanza ni Yusufu Manji ambaye amepora eneo la Waislamu Chang'ombe na kumupatia Abdallah na kukalia kwa mabavu!!!

Amesema leo wamekwenda neneo hilo na kuvunja Ukuta na kuingia ndani na kujenga Msikiti haraka na Ibada ikafanuika hapo kumushukuru Allah.

Amesema wameshamwandikia barua Mufiti kutaka kufanyike Stock taking ya mali za Waislamu ili kubaini mali zilizo ibiwa kupitia BAKWATA huku viongozi wa BAKWATA wakishabikia CCM.

Kwenye operation hiyo Ponda amesema hawatafuata Sheria za Mahakamani bali watatumia Sharia.

Waislamu wanapaswa kuyaondoa matatizo kwa mikono yao yao wenyewe!!!!!!!!!!!!!!

Kiongozi wa Jumuia na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Issa Ponda Issa akitoa msimamo kuhamasisha waislam kwenye Zoezi la kuokoa Mali za Waislam .
Kiongozi wa Jumuia na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Issa Ponda Issa ( wa pili kulia)
. Wengine ni viongiozi wa jumuia hiyo, Shabaan Mapeyo (kulia), Hamadi Iddi Almara ( kushoto) na Suleiman Khamis.

Very interesting......Muislamu (Yusuph MANJI) kaiba mali ya waislamu na kumpa Muislamu (Abdallah) na muislamu(Ponda) anataka kurudisha mali za waislamu kwa waislamu..........sijui kuchoma makanisa kunaingiaje hapo
 
hongera ponda ondoa ufisadi wa bakwata majizi wa mali za waislam , mali hizi walikabidhiwa baada ya kuvunjwa na nyerere jumuiya iliyokuwa ikishughulika na mambo ya wasilam
na hawa bakwata wamehujumu hizi mali kwa kuziuza moja baada ya moja
na cha kushangaza kova kwa makelele ya makanisa na propaganda za magazeti ya kigalatia ana wacha kazi yake ya kusimamia haki analinda mafisadi
kweli nchi hii ina kila aina ya mafisadi...

Ponda wapo wengi nyuma yako ...hawa wezi wataondoka..na hii kesi ndio pahala pazuri pa kuanzia kuonesha majizi wa mali za waislam wanavo hujumu mali zao
kiwanja hichi ni kwa ajili ya kujenda shule na chuo kikuu leo wanamuuzia manji?
Na wanakuja watu magalatia wana suppot wizi huu ?

Hapa ndio maana tunampenda ponda..amejitolea uhai wake kwa ajili ya kutetea maslah ya wailam

Acha povu na kutetea ujinga.

Yaani ulivyokosa akili unasema hadharani kuwa unamshangaa Kova? Kwa hiyo we unaona ni sahihi kila anayedai kiwanja basi akaukusanye ukoo wake kijijini waje wavunje nyumba na uzio kugombea viwanja na mapanga?

Mimi mwanzo nilifikiri kiwanja kile kilivamiwa, kumbe mnajua kiliuzwa, sasa mgomvi wenu ni mnunuzi au aliyekiuza? Unajua nyinyi mnapenda mno shari. Shida yenu wengi ni mambumbumbu na hamna kazi ya kufanya.

Eti makanisa yanatetea wizi, wizi gani, ule wa kuiba vinanda na kompyuta makanisani mliofanya juzi?

Ponda atanyea debe sasa, naona wakati wake wa kuaa uraiani umetamatika, na nyinyi wengine msio na kazi wala utashi wa kusoma mtafuata. Nani alisema mjinga anaweza kuwaongoza watu kwa haki? Bila aibu unaunga mkono fujo na kuita ndio haki, hivi ndio mnavyofundishwa madrassa eti?
 
acha povu na kutetea ujinga.

Yaani ulivyokosa akili unasema hadharani kuwa unamshangaa kova? Kwa hiyo we unaona ni sahihi kila anayedai kiwanja basi akaukusanye ukoo wake kijijini waje wavunje nyumba na uzio kugombea viwanja na mapanga?

Mimi mwanzo nilifikiri kiwanja kile kilivamiwa, kumbe mnajua kiliuzwa, sasa mgomvi wenu ni mnunuzi au aliyekiuza? Unajua nyinyi mnapenda mno shari. Shida yenu wengi ni mambumbumbu na hamna kazi ya kufanya.

Eti makanisa yanatetea wizi, wizi gani, ule wa kuiba vinanda na kompyuta makanisani mliofanya juzi?

Ponda atanyea debe sasa, naona wakati wake wa kuaa uraiani umetamatika, na nyinyi wengine msio na kazi wala utashi wa kusoma mtafuata. Nani alisema mjinga anaweza kuwaongoza watu kwa haki? Bila aibu unaunga mkono fujo na kuita ndio haki, hivi ndio mnavyofundishwa madrassa eti?

sishangai...mtu mzima kuabudu sanamu....basi hapo sina cha kuongeza
 
[h=2]PICHA & HABARI;
Sheikh ISSA PONDA na Watu Wengine 50 Mahakamani Kisutu Leo[/h]
THURSDAY, OCTOBER 18,
2012

SHEIKH
ISSA PONDA NA WATU WENGINE 50 WAPANDISHA KIZIMBANI MAHAKAMA YA KISUTU
LEO

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za
Kiislam,Sheikh Issa Ponda, leo amepanda kizimbani na watu wengine 50
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu
mashtaka mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwashawishi baadhi ya Waislamu
kuvamia Kiwanja katika eneo la Chang'ombe jijini Dar es Salaam,
kuwashawishi Waislamu kutojitokeza katika zoezi la Uandikishaji katika
Sensa ya Watu na Makazi.

Karandiga
lililowabeba Sheikh Issa Ponda na wenzake

Wanahabari
wakiwa kazini

Wanahabari
wakirekodi kuwasili kwa Sheik Issa Ponda Mahakamani Kisutu
leo

Katibu
wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam,Sheikh Issa Ponda, na watu wengine 50
wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam
kujibu mashtaka mbalimbali

Mmoja
wa washtakiwa akitelemshwa kutoka kwenye
karandinga

Katibu wa baraza la Waislam Tanzania Shekhe Issa Ponda amepandishwa
kizimbani leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es
salaam na kusomewa mashitaka matano.

Alifikishwa mahakamani hapo na kupoandishwa
kizimbani na watu wengine 49 akiwemo bibi wa miaka 100 kwa msafara wa
magari ya polisi na ving’ora likiwemo gari la maji ya machozi kwa kasi
ya ajabu na kushushwa haraka. Hata hivyo baada ya kukana mashitaka yao
walirudishwa rumande baada ya kukosa dhamana.

Ponda, aliyewasili peke yake, alipelekwa
moja kwa moja katika chumba cha mahakama na kuunganishwa na washitakiwa
wenzake. Wote walisomewa mashitaka hayo mbele ya hakimu Stewart Sanga na
wakili wa serikali Jumanne Kweka.

Wote kwa pamoja walidaiwa kula njama, na
katika maelezo ya kosa walidaiwa Oktoba 12, mwaka huu katika eneo la
Chang’ombe Markasi katika Wilaya ya Temeke jjijni Dar es Salaam walikula
njama ya kutenda kosa.

Shitaka jingine wanadaiwa wote kwa pamoja
kuingia kwa nguvu kutaka kufanya makosa, huko huko Chang’ombe kwa jinai
na bila sababu za msingi walivamia Ardhi katika kiwanja kinachomilikiwa
na kampuni ya Agritanza kwa nia ya kujimilikisha isivyo
halali

Shitaka la tatu walidaiwa kujimilikisha kwa
nguvu, maelezo ya kosa walidaiwa wote kwa pamoja walivamia kiwanja hicho
pasipo kuwa na uhalali na katika hali ya uvunjifu wa amani,
walijimilikisha mali hiyo ambayo ni mali halali ya kampuni ya
Agritanza

Aidha katika shitaka la nne am
 
Asipogomba aa kuwekwa ndani ponda haoni raha uraiyanikumnamkera sana kamata fungia tu
 
Back
Top Bottom