Sheikh Ponda: Lazima tupambane na Yusufu Manji arejeshe Mali zote za Waislamu alizoiba!

Ana hoja nzuri ,ila atamkosea mtukufu wa magogoni kuhusu hapo kutofata sheria za mahakama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii habari ilikuwa enzi za utawala wa Raisi JK. Ponda alishapata haki alizostahiki ikiwepo kupigwa risasi na kulala segerea kwa siku zisizojulikana.

Sasa hivi Manji anahukumiwa na mbabe mwenzie angalau hizo mali za waislamu hazijarudishwa ila kiburi chake kinaisha.
 

Attachments

  • 998d6b5efe3a32cd0296c737877d403d.jpg
    998d6b5efe3a32cd0296c737877d403d.jpg
    38 KB · Views: 22
Sheikh Ponda amesema yeye ni kiongozi mkuu wa Kuokoa mali za Waislamu hivyo atahakikisha mali zote za Waislam zilizoporwa zinarejeshwa mikononi mwa Waislam.

Amesema zoezi hilo lina anzia kwa Wez Mafisadi ambao ni Waislamu na Wamepora mali za Waislam kwa kigezo cha kwamba wao pia ni Waislamu.

Amesema Fisadi wa Kwanza ni Yusufu Manji ambaye amepora eneo la Waislamu Chang'ombe na kumupatia Abdallah na kukalia kwa mabavu!!!

Amesema leo wamekwenda neneo hilo na kuvunja Ukuta na kuingia ndani na kujenga Msikiti haraka na Ibada ikafanuika hapo kumushukuru Allah.

Amesema wameshamwandikia barua Mufiti kutaka kufanyike Stock taking ya mali za Waislamu ili kubaini mali zilizo ibiwa kupitia BAKWATA huku viongozi wa BAKWATA wakishabikia CCM.

Kwenye operation hiyo Ponda amesema hawatafuata Sheria za Mahakamani bali watatumia Sharia.

Waislamu wanapaswa kuyaondoa matatizo kwa mikono yao yao wenyewe!!!!!!!!!!!!!!

Kiongozi wa Jumuia na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Issa Ponda Issa akitoa msimamo kuhamasisha waislam kwenye Zoezi la kuokoa Mali za Waislam .

Kiongozi wa Jumuia na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Issa Ponda Issa ( wa pili kulia)
. Wengine ni viongiozi wa jumuia hiyo, Shabaan Mapeyo (kulia), Hamadi Iddi Almara ( kushoto) na Suleiman Khamis.
Huyu mzee anatafuta namna ya kutoka.
Manji alinunua eneo hilo kwa wamiliki halali wa eneo hilo na mkataba hali wa mauzo. Mwenye mali alichukuwa fedha na manji alipewa hati. Sasa hapa wizi wa manji umetoka wapi?
Kama kuna wakuwajibishwa basi waliouza ndiyo hasa wanastahili kuitwa hivyo na hata hivyo bw Manji naye akauze kwa mtu mwingine kwa mkataba halali. Hapa mwizi ni nani? Umri unaendana na busara lakini ikiwa vinginevyo inatia ukakasi kidogo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom