Sheikh Ponda aahirisha Mkutano wake kuhusu mali za BAKWATA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,765
218,381
1683034511921.png

Picha: Sheikh Ponda

Bismillah Rahman Rahiim

Sheikh Ponda Issa Ponda ambaye leo alitangaza mkutano wa kuzungumzia mali za BAKWATA na Wanahabari huko Buguruni, Ameahirisha. Pia soma: Sheikh Ponda aita Waandishi wa habari, Kuongea kuhusu Mali za BAKWATA

Taarifa iliyosambazwa mchana huu imeeleza kwamba Mkutano huo umeahirishwa hadi utakapotangazwa tena , kwa vile baadhi ya nyaraka za kuthibitisha Mali za Bakwata zinaendelea kukusanywa

Wabillah Tawfiq

Screenshot_20230502-173205.png
 
Attachments

  • PRESS KIGALA HOTELI.pdf
    74.4 KB · Views: 1
View attachment 2607361
Picha: Sheikh Ponda

Bismillah Rahman Rahiim

Sheikh Ponda Issa Ponda ambaye leo alitangaza mkutano wa kuzungumzia mali za BAKWATA na Wanahabari huko Buguruni, Ameahirisha. Pia soma: Sheikh Ponda aita Waandishi wa habari, Kuongea kuhusu Mali za BAKWATA

Taarifa iliyosambazwa mchana huu imeeleza kwamba Mkutano huo umeahirishwa hadi utakapotangazwa tena , kwa vile baadhi ya nyaraka za kuthibitisha Mali za Bakwata zinaendelea kukusanywa

Wabillah Tawfiq
Nenda ponda nenda uislam siyo siasa athana na huyo mufti wa muandamo wa mwezi binafsi nitakupa ushirikiano wa shamba la bakwata kule mabwepande, rufiji na singida
 
Back
Top Bottom