Sheikh Ponda apandishwa kizimbani Morogoro

Sheikh Ponda apandishwa kizimbani Morogoro

Embu wacheni Masihara! Ina maana Shekhe Ponda anaenda gerezani akiwa kavaa Msuli? Hivi sheria inaruhusu?

Hakika labda wamuweke Sero yake mwenyewe vinginevyo jamaa watajisevia kidhungu wanaiita SELF SERVICE!! Pole Ponda.
 
DSC03308.JPG


Kodi zetu zinachezewa kweli kweli iweje huyu mchochezi apatiwe kifungo cha nje ?.Kama hakimu wa Kisutu angetimiza wajibu wake saa hizi angekuwa analima mpunga au anapasua mawe gerezaniiii.



Unakumbuka mashitaka aliyotuhumiwa nayo mara ya kwanza ambayo wewe unayaita uchochezi? Ilikuwa ni kuvamia kiwanja cha mtu na upotevu wa mali. Sasa sijui kuvamia kiwanja na uchochezi vina uhusiano gani?
 
Mimi nilifikiri atapelekwa Zanzibar kwa mashitaka ya kuwaambia watu waachane na ccm kumbe kapelekwa morogoro kwa kosa la kuwaambia waislamu wasikubali kamati za ulinzi misikitini? Ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya magamba na policcm.
 
sion uchochez katika hayo aliyoyasema,
na wala sion sababu ya msingi ya kunyimwa dhamana kwa hayo aliyoyasema,
iweje ukweli uitwe uchochez?

kama huoni makosa ya ponda basi inabidi ukapimwe ubongo ,au hayo maandishi mnayoyasoma kuanzia kulia kuja kushoto yanawafanya muwe mambumbumbu
 
Halafu mbona hilo shati habadilishi? Nakumbuka alilazwa MOI na hilo hilo shati
 
ha! ha! ha!

...hebu nionyeshe kiswahili "sanifu" yanaitwaje?

kiswahili fasaha ni Jela,umoja ni JELA WINGI NI JELA
MFANO JELA IMEJAA
WINGI ITAKUWA JELA ZIMEJAA
JELA NI NOMINO AU JINA LILILO KWENYE NGELI YA I-ZI
 
Siwaelewi watu wanaoshangaa kwa nini waislamu hasa/uislamu unachukia sana wakristo/ukristo. Bwana Yesu Kristo akuja duniani kukomboa ulimwengu kutoka mikononi mwa shetani, ila kila anayemwamini, na kumpokea na kuokoka anakua si mtumwa tena wa dhambi na anafanyika mtoto wa Mungu. Sasa ili ukombozi wa mwanadamu ukamilike ilibidi atoe uhai wake na kumwaga damu yake msalabani kama mwanakondoo wa kuchinjwa (John 1:29).
Hivyo kupitia kifo chake msalabani na baadaye ufufuko wake ndio katupatia ushindi wa milele dhidi ya shetani na majini yote.
The bitter truth: philosophy yoyote (au dini yoyote au mtu yeyote) inayopinga Yesu Kristo kufa msalabani pale Calvary inatoka kwa SHETANI. Na shetani alianza propaganda hizi tangu Bwana Yesu akiwa hai! Utakumbuka siku moja Yesu aliwaambia wanafunzi wake juu ya kifo chake kitakavyokua na Petro (shetani alikua amemwingia) akapinga, Yesu alimwambia: nenda nyuma yangu SHETANI!
Matthew 16: [SUP]21 [/SUP]From that time on Jesus began to explain to his disciples that he must go to Jerusalem and suffer many things at the hands of the elders, the chief priests and the teachers of the law, and that he must be killed and on the third day be raised to life. [SUP]22 [/SUP]Peter took him aside and began to rebuke him. “Never, Lord!” he said. “This shall never happen to you!” [SUP]23 [/SUP]Jesus turned and said to Peter, “Get behind me, Satan! You are a stumbling block to me; you do not have in mind the concerns of God, but merely human concerns.”

COnclusion: Shetani hajaacha hadi leo kukataa kifo na ufufuko wa Bwana YESU..

Guess who is the originator of ANY RELIGION of CONCEPT denying the death and resurrection of Jesus for the salvation of mankind.........!!!


http://www.youtube.com/watch?v=_LTLl6UE25I
 
hakuna mwislam anaweza kueshimu dini nyingine mbali na uislam maana kufanya hivyo ni kukubaliana na mtu anaesema tatu mara mbili ni saba badala ya sita eti kwa sababu yeye amesema, ukristo sio dini wala yesu hakuwa mkristo huo ndio msimamo wa waislam

Du! Kama hvo ndivo mnavoamini bac ipo kazi
 
Nadhani mleta mada umeleta picha ila huna maelezo... Nijuavyo mimi amesomewa mastaka ma tatu...sasa wewe unakuja na staka moja!!

Bangoo
staka duh kiswahili kigumu au watumia ka tochi?
 
Last edited by a moderator:
Raha sana, chopa kwenda na kurudi! Uwanja wa Golf Morogoro uitwe 'Shehe Ponda Memorial Airport'
 
Huu ni uonevu wa hali ya juu unaofanywa na serikali ya CCM. Wao ndio wamempiga risasi na sasa wanamfungulia mashtaka ya kijinga , ambayo hakimu yeyote mwenye akili timamu atayarushia mbali. ("Kitu kinachonishangaza hapa ni ukimya wa Waislamu!") Nadhani kama Rais wa nchi jina lake lingekuwa John au James, nadhani pasingekalika.
note: kwny mabano.
ulitaka waislam wafanye nn?? acha kutoka povu!!
 
Sijui kwa nini mlenga shabaha alikosea kupiga badala ya mbavuni akapiga mkonono... Tungekuwa tunazungumza jambo lingine sasa!
Hakuna kitakachosalia katika dunia hii. Sote sisi ni marehemu watarajiwa. Anayetoa uhai ni M.Mungu, kila kilichohai kitakufa siku ambayo Mola ameikadiria na si vinginevyo hata kama binadamu huyo atawindwa kwa kiwango chochote kile. Kwa wale wanaoamini dini, kuna siku ya hukumu, siku ambayo kila mtu atalipwa kwa mujibu wa matendo aliyofanya. Haki ya kila aliyedhulumiwa atarudishiwa siku ya malipo, na dhambi kwa kila aliyedhulumu itamwangamiza siku hiyo ya hukumu. Tutahukumiwa na Hakimu wa haki asiye na upendeleo wa rangi,kabila,wala itikadi. Kitakachokuokoa ni kwa kiwango gani ulifuata yale aliyokuamrisha na kuacha yale aliyokukataza.
 
Kama mashitaka yenyewe ndiyo hayo basi aminini kuwa jamhuri itaanguka vibaya kwenye kesi hii ilimradi tu Shehe Ponda awe na mawakili wazuri!,


Nchi hii inatawaliwa na wendawazimu kweli!
 
He he hee! Safari hii Ponda ameamua kuwachukua wanasheria makafiri, kwani ndio wasomi. Wale wanaomaliza Muslim University of Morogoro wasubiri Mahakama ya Kadhi!
 
Halafu mtu kama huyu ndiye Lipumba anaiamrisha Serikali imwachie mara moja bila masharti. Sijui ajenda na malengo hasa ya CUF kama "chama cha siasa" ni yapi.

Uzee unakusumbua.
 
Jamani wadau nimeshangaa sana Polisi kuwa wana uwezo wa kusafirisha watuhumiwa Dar Moro,ninashangaa kwani wananchi wakiwa na shida vituoni huambiwa kuwa Polisi hawana mafuta. Leo chopper limeruka toka Dar to Moro na Sheikh Ponda,wanaogopa aibu waliyoipata Tbr kupeleka washitakiwa wa Igunga,hivi hawa ndo wangekuwa mahakimu wangetumaliza,huu ni ufisadi wa jeshi la Polisi,nimekereka sana,tena sana
 
Back
Top Bottom