Hujui ukitaja Yesu majini yanakimbia? Wao ni sehemu ya ibada.. Ibada jini![/QUOTE]
Nimeipenda hiyo. Kumbe hata Qur'an inayatambua majini. Nimeinasa hiyo. hebu cheki aya hizi: sura ya 72
1. Sema (Ewe Muhammad): Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema:
Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!,
2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi.
3. Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana.
4. Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu( ya kuwa Mwenyezi Mungu ana mke na mwana).
5. Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu.
11. Na hakika katika sisi wamo walio wema, na wengine wetu ni kinyume na hivyo. Tumekuwa njia mbali mbali.
:Najifunza kuwa wale wanaosema Yesu mwana wa Mungu- wanarejelea maneno ya wale mapepo wachafu a.k.a majini waovu ambao Yesu aliwafukuzia kwenye nguruwe. Majini wema wanamuabudu Mola wao kana Yesu alivyokuwa akimuabudu Mola wake.
Tuvumiliane wandugu!! Kile usichokijua kwa mwenzio ni mwanga wa saa nane Mchana.